ninavyoongelea ishu ya Echo, its so serious, this newspaper have driven so may top talents away from Liverpool, and the main suspects ni wale wale wakiongozwa na Ian Doyle pamoja na racist James Pearce, no wonder Neil Jones decided to leave that newspaper, i mean agenda zao kwa baadhi ya wachezaji ndo zimepelekea mauzo ya gazeti lao kushuka kwa more than 70%
Echo's main players are Henderson, Lallana, Milner, Lovren, Solanke (waliobaki kwenye squad), these players hata wacheze vibaya vipi, huwezi kuona bad ratings from the Echo, (hata siku moja)
Mfano wa kwanza: mchezji yeyote ambaye anacheza number moja na Henderson huwa anakuwa direct ni adui wa Echo, tuliona kwa Emre Can, Can didnt leave our club kwasababu ya contract disputes, he left kwasababu ya agenda za Echo, and bad enough, hawa kina pearce waliweza kuwaamisha baadhi ya fans kuwa Emre is lazy and not a good player. they forced Emre out of the door because alikuwa anatishia uwepo wa Hendo Liverpool, jaribu kuimagine now, kama Emre angekuwepo pamoja na Faby na Naby, Hendo angecheza wapi?
Mfano wa Pili; juzi baada ya game ya Torino, Ian Doyle gave Fabinho a 5/10 rating, kisa alikosa penality, but kama umeangalia ile game ni kuwa Fabinho played very well, but Echo wanasema he's been shit tangu pre season imeanza, and funny enough, Hendo alicheza dk 30, and all we saw was his back and side ways passes and his aimless long balls to a 5'5 foot tall Shaqiri, but he was rated higher than Fabinho for no apparent reason, not only that the Echo have been attacking Fabinho tangu siku ameanza pre season bila sababu yeyote ya msingi, because they want to unsettle him, ili mtu wao aendelee kucheza number six. but they think Klopp was a fool kwa kuspend more than 45m for him.
Mfano wa Tatu: the Echo issued a lot of articles saying Sturridge was mentally weak kutokana na injuries zake na hafai kubakia LFC, but Lallana kwa kipindi cha miaka miwili iliyopita amemiss more games than Sturridge, lakini huwezi kuona article yeyote kutoka kwa Echo ikisema kuwa he's mentally weak na hafai kuwa LFC, msimu wa 2013/14, Sturrigde gave us best moments as a Liverpool striker along side Suarez, but tell me Lallana kawahi kuisaidia hii team kwa kitu gani?, always been shite, but only Strurridge is attacked by the Echo.
Mfano wa Nne: Solanke and Ings msimu uliopita kwa pamoja wamefunga magoal mawili tu, but Echo ilikuwa front line kuwaamisha watu kuwa Origi was not good enough and Solanke and ings can be a good back ups , wanakwambia Solanke is still young and needs time, but remember when Origi was 20 Echo walikuwa wanamuattack kila kukicha, funny enough Origi was scoring goals for us when he was 20, but he was attacked because the coaches preffered him over Ings at that time, and after the arrival of Solanke things got worse, Klopp didnt want to let Origi go out on loan, but Origi pleaded to him to let him go because article za Echo zilikuwa ni nyingi sana, and luckily they even succeed at convincing people that Solanke was a good signing.
Mfano wa Tano; nakumbuka kuna game yetu moja ambayo Balotelli aliswap shirt na mchezaji wa team pinzani wakati wa Half-time, kesho yake James Pearce akaamka na news ambayo ilikuwa ni front page news kuwa Baloteli anatakiwa aombe msamaha kwa kuswap jersey wakati wa half-time, few years later Flanagan was caught beating up his girlfriend, even got taken to court, but we didnt here a single news from the Echo, and after few days, they came out with the article, saying Flanagan needs forgiveness and LFC can easy his frasturations by giving him a new contract, but remember these are the same people who wanted Sakho out of the Club for just using fat burners, and their false articles ndo zilizopelekea uhusiano wa Klopp na Sakho kuharibika kabisa.
Mfano wa Sita: they called Sterling greedy for wanting a pay rise on his contract, and funny enough ni kwamba a top talented prospect wanted a pay rise kutoka kwenye 15k aliyokuwa analipwa baada ya kuplay a big part kwenye msimu wetu wa 2013/14, but few years later they were publishing new articles kila siku begging the club kumpa Lallana a new contract, Lallana signed a new contract worthy 120k per week for doing next to nothing on the pitch.
Mfano wa Saba: they campaigned for Lovren to be voted as a player of month baada ya kuwa abused na fans kwa his blunders against Spurs, but few months later they were so silent on Karius's abuses, and they started to link LFC with every Keeper in the world, till today am so glad Klopp was ready to give Karius a new chance despite Echo's propagandas, but after that game against Tranmere, he thought he needed to buy a new GK for Karius own good, lakini hiyo haikutosha kwa Echo, kwani walianza kupublish articles kuwa Karius wasnt happy at Klopp for buying a new GK and that he's refusing to hand a number 1 jersey to Allison, yote haya yalikuwa ni kwaajili ya kumuondosha Karius golini ili mtu wao Migs abaki, but Klopp decided to remain with Loris as his number 2. and on top of that, they didnt even report jinsi Lovren alivyokataa kuhand his shirt number to Fabinho, but they felt it was necessary to to report tu ishu ya karius.
mifano ipo mingi sana and bad enough top reds and good reds all over the world huwa wanaamini hizi agenda, ni mara chache sana kumkuta top red au good red anampenda Owen/Torres/Masch/Suarez/Sterling/Coutinho/Can/Riera etc. kwasababu tu ya kukubali agendas za Echo na kushindwa kuelewa kuwa these players are humans too na wana dreams pia, Klopp is still in contact with Coutinho mpaka sasa but ECHO will make you believe Klopp hates Coutinho. Klopp ni sportsman, anajua suala la dreams, you're talking about a manager who was contacted by greatest British manager of all time Ferguson kuombwa akaifundishe United, pia kila mtu alikuwa anajua baada ya Klopp kuikataa United angeenda Bayern, but he rejected Bayern too, na akakubali bila hata maongezi marefu kuja kuifundisha a struggling LFC, so kwa mantiki hiyo Fergie anatakiwa kumchukia Klopp kwa kukubali kufundisha the team he despised for years? au Bayern wanatakiwa kumchukia Klopp kwa kuiditch Club ya nyumbani na kwenda UK?, ITS ALL ABOUT DREAMS man, but Echo na Top reds huwa hawaelewi hiki kitu. now kuna agenda kubwa sana ya Fabinho inaendeshwa na ECHO na soon kuna fans hapa duniani wa LFC watajump into the bandwagon, na mpaka tunakuja kushtuka Fabinho will be gone, hatujawahi kuwa na a specialist DM for almost 10 years, Klopp went extra miles to get this man for us, so let him settle in peace.