Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Wayaaaaaaaa 😀😀
Mumemuona lakini Kaita alivyokimbiza hule Mpira ???????? Halafu na ule mpasi jinsi vile alivyoutoa wawezasema sio real match Bali Ni Game tu ya PlayStation 😀
Huu ni mwaka wetu,si ndio?
Huu ni mwaka wetu,si ndio?
Bila shaka kabisa hapa ni kufunga goli nyingi kadiri tuwezavyo huku mbele goal difference itubebeSalah akitulia Kidogo tu basi ataondoka na Hat-Trik
Ndio kiujumla tumepiga kandanda safi kabisa!HT liverpool 2-0 Westham. Makosa madogo niliyona, cross za TAA hazifiki. Anashindwa kumwaga maji inavyotakiwa.
Uwepo wa Keita kumemfanya Ginni Kujiamini. Tumecheza vizuri kwa ukabaji ule naamini tutapata clean sheet.
Numbisa ahsante kwa vi gif vyako. Keep it up.
Jamaa ametosha kuvaa viatu vya Captain fantasticKeita ni bonge la saini aiseee