Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tumekuwa na usajili mzuri sana
Fekir hakuja sababu ali fail medical nafasi yake akaja Shaqiri
Ings kaenda Soton
Nimefurahi Nathan Philips na Jones Curtis na Camacho kubaki
Pia nimefurahi Dan kufufuka lkn ama Origi au Solanke lzm mmoja aondoke na napendeza Solanke auzwe
Tujiandae kula,tupo vyema msimu huu

Kumkosa Fekir Pia Kuna Faida Kwa Liverpool!
Pesa iliyokuwa Anunuliwe Fekir Ndiyo iliyonunuliwa Alisson. Nadhani Tungelimnunua Fekir basi Tusingelinunua Kipa Na Tungebaki Na Karius wetu.
Lakini Kumkosa Fekir tukapata Kipa basi Ni biashara Nzuri zaidi.
 
Waandishi Mashuhuri Wa Liverpool Kutoka Liverpool Echo Wameandaa Vikosi Vyao Ambavyo Wanahisi Ndiyo Bora zaidi Kwao.

Kikosi Cha James Pearce

0_lfc-team1(1).jpg
 
Kumkosa Fekir Pia Kuna Faida Kwa Liverpool!
Pesa iliyokuwa Anunuliwe Fekir Ndiyo iliyonunuliwa Alisson. Nadhani Tungelimnunua Fekir basi Tusingelinunua Kipa Na Tungebaki Na Karius wetu.
Lakini Kumkosa Fekir tukapata Kipa basi Ni biashara Nzuri zaidi.
Sasa golini hatuna wasi wasi kabisa,tuna kipa wa ukweli!
Golini pakitulia chances ya kufanya vyema ni kubwa
Mwakani Karius anaondoka
Mwaka huu Mignolet anaondoka
 
Hawa Everton nao Msimu huu si Wakudharauliwa Hata Kidogo.
Wachezaji Wapya waliowasajili.

Richarlison (Watford)
Lucas Digne (Barcelona)
Joao Virginia (Arsenal)
Bernard (Shakhtar Donetsk)
Yerry Mina (Barcelona)
Andre Gomes (Barcelona, loan)
 
Kuna hati hati Fabihno kesho kutwa asicheze,sijui itakuaje sasa na Hendo ndiyo katoka likizo,pia beki itakuaje kama Gomez,Klanavar na Matip watakuwa hawapo OK?Atacheza Phillips?

Ni Kweli Upo Uwezekano Mkubwa Kuwa Fabinho Hatocheza Kutokana Na injury ingawa sio Kubwa.

Nahisi Mid yetu Watacheza Gini-Milner-Keita... Au Kocha itamfanya Afanye Maamuzi Magumu Amcheze Hendo, Hata Mimi Ningependa Afanye Kibongobongo Amcheze Hendo hivyohivyo! Yani iwe Hendo-Gini-Keita. Lakini Kwa Mechi ya Jumapili vs West Ham sio Ngumu Kivile kwahiyo Hata achezeshwe Grujic nahisi Kwangu Ni sawa tu Na tutashinda.

Kuhusi Beki Ni Kuwa Matip, Klavan Na Gomez Ni kwamba Hawa Wamepata injury ingawa sio Kubwa lakini Kwa Jumapili Klavan Na Matip hawatokuwepo Kabisa, isipokuwa Gomez yeye bado Kuna utata kuhusu hali Yake kama atakuepo au Hatokuepo.

Kwahiyo Klopp itambidi Afanye Maamuzi Magumu Amchezeshe Lovren Na VVD! Au VVD itabidi Amcheze Na N. Phillips.
Lakini Kuwa Mimi Klopp Ningemuanzisha VVD Na N. Phillips... Tukiwa tunaongoza mpaka Dakika ya 70 basi Nitamuingiza Lovren Kuja Kulinda.

Sasa Ni Wakati Wa Klopp Kuwaondosha Matip Na Klavan Kwani Tunawalipa Mishahara Huku Tukiwa Tunawauguza Vitandani Kila Msimu badala ya Kuwatumia Uwanjani. Yani Matip Yeye Hata Kwenye Mazoezi basi anaumia.
 
Leo Manure Anatufungulia Pazia rasmi EPL nasubiri Mourinho baada Ya Mechi atasemaje manake Siku hizi anasilaha zake mbili za Malalamiko.

1) Kwanza Ni Kuilaumu Bodi Kuwa Haikumpa pesa za Usajili.

2) Pili Ni Kumlalamikia Klopp Kuwa Katumia pesa nyingi za Usajili! Utazani Wale Kina Pogba, Matic, Fred, Lindelof, Lukaku, Eric Bailly, Henrikh Mkhitaryan, Diogo Dalot, Lee Grant kahongwa tu Hakuwanunua.
 
Leo Manure Anatifungulia Pazia rasmi EPL nasubiri Mourinho baada Ya Mechi atasemaje manake Siku hizi anasilaha zake mbili za Malalamiko.

1) Kwanza Ni Kuilaumu Bodi Kuwa Haikumpa pesa za Usajili.

2) Pili Ni Kumlalamikia Klopp Kuwa Katumia pesa nyingi za Usajili! Utazani Wale Kina Pogba, Matic, Fred, Lindelof, Lukaku, Eric Bailly, Henrikh Mkhitaryan, Diogo Dalot, Lee Grant kahongwa tu Hakuwanunua.

Ni Kweli Upo Uwezekano Mkubwa Kuwa Fabinho Hatocheza Kutokana Na injury ingawa sio Kubwa.

Nahisi Mid yetu Watacheza Gini-Milner-Keita... Au Kocha itamfanya Afanye Maamuzi Magumu Amcheze Hendo, Hata Mimi Ningependa Afanye Kibongobongo Amcheze Hendo hivyohivyo! Yani iwe Hendo-Gini-Keita. Lakini Kwa Mechi ya Jumapili vs West Ham sio Ngumu Kivile kwahiyo Hata achezeshwe Grujic nahisi Kwangu Ni sawa tu Na tutashinda.

Kuhusi Beki Ni Kuwa Matip, Klavan Na Gomez Ni kwamba Hawa Wamepata injury ingawa sio Kubwa lakini Kwa Jumapili Klavan Na Matip hawatokuwepo Kabisa, isipokuwa Gomez yeye bado Kuna utata kuhusu hali Yake kama atakuepo au Hatokuepo.

Kwahiyo Klopp itambidi Afanye Maamuzi Magumu Amchezeshe Lovren Na VVD! Au VVD itabidi Amcheze Na N. Phillips.
Lakini Kuwa Mimi Klopp Ningemuanzisha VVD Na N. Phillips... Tukiwa tunaongoza mpaka Dakika ya 70 basi Nitamuingiza Lovren Kuja Kulinda.

Sasa Ni Wakati Wa Klopp Kuwaondosha Matip Na Klavan Kwani Tunawalipa Mishahara Huku Tukiwa Tunawauguza Vitandani Kila Msimu badala ya Kuwatumia Uwanjani. Yani Matip Yeye Hata Kwenye Mazoezi basi anaumia.
Sababu 3 frontmen bado wapo hata nyuma pale na VVD acheze Milner bado hamna wasi wasi
Mechi za kwanza ndiyo za kupiga bao nyingi
In Reds we trust!
 
jamaa kila kipa anaepitia kwenye mikono yake anakuwa mbovu ila huko walikotoka walikuwa wazuri tu mpaka tukawanunua.

No wonders Brad Jones alikuwa na career nzuri baada ya kuondoka Liverpool
Totally true..

Nashindwa kuelewa why wanashindwa ku trace kwamba makipa weng wanaharbikia mikononi mwake... e.g Mignolet hakuwa mtu wa kudrop kiwango chake mapema kias hiko!

I hope kwa Allison itakua different! Atamaintain
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom