Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahahah, pmj na hiyo striker wa papatu papatu hata mmoja atafaa sana, Sturudge angekuwa bado ana akili kama kipindi yuko na akina Suarez tungesema ngoja ataongoza jahazi lkn siku hizi kawa kiumbe wa pacha tu na mwoga mwoga


Sturridge Ni injuries ndizo zilizomuondoshea Confidence Yake
 
Aliye wa prove wrong ni WW na wenzako na slogan yenu ya Klopp OUT
Mm na watu wachache sana ndiyo tulikuwa tunawafundisha kuwa Kopp anajenga tema,kama Klopp kakuta team yote mbovu na hawezi badiri team yote ktk msimu mmoja!
Team imeanza kukaa vyema sasa naona mnaanza rundikia watu wengine maneno yenu yawe yao!
Klopp out yenu bado ipo?
 


Hiyo [HASHTAG]#KLOPP[/HASHTAG] OUT ulitubunia na Kutubambikia Wewe, Lakini hatukusema Sisi.....

Sisi Tulikuwa Tukimlalamikia na Kumlaumj Klopp Kuwa Kakumbatia Wachezaji Wabovu tu.

Na wewe Ndiye Uliyekuwa Ukitetea Hao Wachezaji Wabovu.

Na Ukishatetea Unakuja Na Maneno ya Kutusingizia Kuwa eti tunasema [HASHTAG]#KLOPOUT[/HASHTAG].

Hebu Pitia Post zetu Kuanzia Mechi ya Kwanza August 2017 Mpaka mechi ya Mwisho May 2018 uone kama Utakuta hicho Kitu Klopp Out.

Bali Ndani Ya Post Zako ndiyo Muna Hiyo Klopp Out uliyotubambikizia Kuwa eti tunasema Sisi.
 


Na istoshe Kama Utakuwa Unahifadhi Kumbukumbu! Baada Ya Mourinho Kumnunua Pogba Klopp Alitamka Maneno Ya Kuwa Hatotumia Pesa Nyingi Kwa Kununua Wachezaji.. Na Badala Yake Alishikilia Msimamo Wa Kuboresha Wachezaji aliowakuta na Kununua Average Players ili Kuwaboresha.

Hapo Ndiyo Tukaanza Kumlaumh Mpaka Alipobadilisha Msimamo Kwani Sisi Hatukutaka Kuwa Ni Academy ya Kuboresha Wachezaji ili Kina Barcelona Waje Wachukue.. Bali Tulichotaka Sisi Ni Makombe tu.
 
Bado tunahitaji striker mmoja au wawili strikes wa vurugu vurugu pale mbele na wa kulazimisha wale papatu papatua


Kuna Dogo amekuwa promoted nadhani,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Jina lake anaitwa Rhian Brewster
 


Ninakubaliana nawe kwa zaidi ya 100%


Mtu beki unakuwa unavaa jersey namba 6 kweli? Wakati anaecheza namba sita anahangaikia namba ya jezi?
 
Ok guyss. that's great in here!
Naomba kupata more info kuhus ishu ya Fekir..

we're so happy kuhusu Allison but personally nadhani deal ya Allison inaweza ikawa ni kigezo kikubwa cha kumpata Fekir, tumespend more than 60m kwa keeper, cant see FSG spend another 50m kwasasa unless wauze baadhi ya deadwoods.

Then, nilisoma sehemu kuwa Lyon wants 2 installments kwenye malipo but we want 5 installments, hence Aulas anagoma kurudi kwenye table ya mazungumzo.

We have had the best window but if hatutampata Fekir au a complete number 10, then i won consider this window as a 10/10 window, we need a number 10 (PC replacement) and a good CB.

the issue of Ward getting tiped to be LFC no 1 goalie and getting sold 4 days later, bado inanipa matumaini kuhusu Fekir, but kama tukimiss out, then i dont know how nitarecover from that.
 
Jamani inamaana huyo Dogo Rhian Brewster ndio kawa promoted na kuingia kwenye squad moja kwa moja au bado ni Academy member ? Huwa niko shallow kidogo kwenye issues hizi CC: MosDef

kishakuwa promoted, his agent ameplay part kubwa sana.

Wilson ataondoka kwa mkopo nadhani, naona Klopp bado hajaridhishwa na huyu kijana, but nadhani kama ni loan apelekwe kwenye team ambayo inashiriki EPL pia,

youngsters ambao naona wanaweza kufata nyayo za Trent, ni Brewster, Curtis Jones na Camacho. i'd say masterson too, but hao watatu ni the most talented hasa Curtis Jones.

nadhani Klopp will use Brewster a lot this season kutokea Bench.
 

kama Allison akiflop nadhani he will be sacked

pia niliona mahali kuwa Archterbeg is the reason why Buvac left LFC. dont know if its true though
 
Wilson kashaenda derby kwa mkopo na Ryan Kent pia kashatua rangers
 

De Gea, Manuel and Oblak are on their own level (first tier), and kwangu mimi DDG is the most decorated Gk of his generation.

lets wait kuona Allison akiprove his price tag kwenye EPL kabla ya kumuweka kwenye hiyo tier, patience is the key.

I'd say for now (NOW), Allison yupo kwenye 2nd tier pamoja na kina Thibaut/Ederson/Ter Stegen
 
Wilson kashaenda derby kwa mkopo na Ryan Kent pia kashatua rangers

think the kid wont make it at LFC

amd its dissapointing

anastahili kupewa nafasi but i guess Klopp and Ljinders wanaona kitu ambacho sisi hatukiona kwa Wilson
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…