Yaani kocha kumtoa HENDO tu daaaaah kaivuruga timu na kipigo kimewahusu dah kweli jamaa anajua
Unadhani kwanini alimtoa?Southgate atajilaumu sana kwa kumtoa le capitain henderson maana duh.
Nilisema mimi ila huyo jamaa anagundu balaaMalafyale ulituahidi Kuwa England itampiga Croatia easy tu...
Na Ukasema itampiga yoyote Final Na Kuchukua Kombe.... 😀😀😀
Unadhidi Kujijengea Rekodi Hapa FB Kuwa Timu Yoyote Unayoinadi inabeba Kombe Basi inaishia Kupoteza Kombe hilo.....
Mkuu unagundu bays sana si Mchezo...
Hahaaaa nakumbuka mlimwambia eti ana gundu kila timu anayosema itabeba haibebiMalafyale ulituahidi Kuwa England itampiga Croatia easy tu...
Na Ukasema itampiga yoyote Final Na Kuchukua Kombe.... 😀😀😀
Unadhidi Kujijengea Rekodi Hapa FB Kuwa Timu Yoyote Unayoinadi inabeba Kombe Basi inaishia Kupoteza Kombe hilo.....
Mkuu unagundu bays sana si Mchezo...





Final ya madrid alitembea kila jukwaa liverpool wanachukua ndoo baada ya kichapo cha mbwa koko akaanza ooo kipa katuangusha amesahau kama mpira ni mchezo wa makosa na uzembeHahaaaa nakumbuka mlimwambia eti ana gundu kila timu anayosema itabeba haibebi![]()



Hii Mechi aluyeiua Ni Southgate Mwenyewe Akisaidiwa na K. Walker....
Huwezi Kumtoa R. Sterling ukamuingiza Rashford ambaye Ni Inconsistent..
Na Walker Magoli Yote Mawili Yametokana Na Bad Clearance Yake.
Huyo Dogo Rashford huwa ni mkamiaji tu ingawa ninakubali kuwa ni mchezaji mwenye kipaji. Pale mbele wangewekwa Sterling na Vardy kwa mtazamo wangu, Kane ni muharibu chance na huyo Dogo nae vile vile
yeye na Trippier wanaongoza kwa key passes (5).
Modric na wenziwe wawili wanafuatia (4).
Na Sasahivi Officially Liverpool imeshaanzisha Mazungumzo na Stoke City Kwa Ajili Ya Usajili Wa Xherdan Xhakiri lakini Naona Na Wao Stoke Wanajaribu Kutumia this Opportunity Kuanzisha Friendship na Liverpool Kwa Ajili Ya Kumvizia Henry Wilson Wapewe Kwa Mkopo Kutokana Na Zipo Zaidi Ya Timu 5 zinazomuania Dogo Wapewe Kwa Mkopo.
Ningeshauri Atolewe Woodburn na Solanke Kwa Mkopo na Abakishwe Wilson na Ojo.
as I mentioned earlier, am personally indifferent when it comes to this lingering Henderson debate.Nope man.
Henderson completed 0 key passes and made 0 interceptions.
Nakaribisha ukinyonga wenu kama sasa sio tena ubaya wa Hendo au Lovren bali ni gundu langu!Malafyale ulituahidi Kuwa England itampiga Croatia easy tu...
Na Ukasema itampiga yoyote Final Na Kuchukua Kombe.... 😀😀😀
Unadhidi Kujijengea Rekodi Hapa JF Kuwa Timu Yoyote Unayoinadi inabeba Kombe Basi inaishia Kupoteza Kombe hilo.....
Mkuu unagundu baya sana si Mchezo...