Hv akiwepo fabinho,keita na huyu fekir tunayemtaka ambae ilisemekana ameshindwa medical still hendo ataendelea kupata namba??
LOL...Sometimes Kusoma Comments Najisikia Furaha Zaidi Kuliko Kum-Quote Mtu! 😀😀😀
Sijengi Picha Huyu Jamaa Shule alikuaje!!! Upo uwezekano Kuwa alibishana na Mpaka Principles/Theories/Laws za Scientists. 😀😀😀
Steven Gerrard huyu aliyeingia kwenye Top 3 ya list ya BallonD'Or mwaka 2005 analiganishwa na Henderson dah.

kaka kama ulivyosema "time will tell" .....in short Captain Steve delivered alipoweza mpaka anaodoka...sasa Hendo ni wakati wake tuombe uzima tuone naye atatuletea nini mpaka anaodoka...Beki wako tegemeo ni Kolo Toure utachukua vipi kombe?
Karius anawapa watu bao za hovyo tena mbili unachukua vipi kombe?
Hendo bado anacheza na makombe yanakuja nyumbani
Trophy is coming home
Hendo atanyanyua sana kwapa kwa Liverpool hii
mkuu Kuna watu WA ajabu duniani yaani hendo ndo umlinganishe na hero...Mbona huyo Hendo hajabeba hizo trash cups unazoziita wewe. Huyo Hendo hata acheze miaka milioni hafikii mafanikio ya Gerrard hata punje. Labda kwa kumlalamikia refa.
Sio haja recover ,mbona hamtaki kukubaliana na ukweli kuwa karius hatakiwi kuwa kipa, karius ni modo ,Karius bado hajarecover na zile mistakes za kwenye CL final.
if anything, these two friendlies zimeonesha ni kiasi gani confidence yake ilivyokuwa damaged.
we seriously need a new keeper, i like Karius but he wont be good enough, we need a top keeper. kwa state ya Karius right now, it will be a big mistake kuanza msimu mpya akiwa golini.
The club and Klopp need to do something about this.
Liverpool 3- 2Liver matokeo vip
ACT anaweza kutoa ushauri kwa UKAWA - hapa UKAWA wanaweza kuupokea ushauri bila suspicion yoyote.Sio haja recover ,mbona hamtaki kukubaliana na ukweli kuwa karius hatakiwi kuwa kipa, karius ni modo ,
Nitaendelea kutokubali kuwa karius anafaa kuidakia klabu kubwa kama liver, Toka siku ya kwanza anapewa nafas nilimkataa,
Na kuna sababu za liver kufika Fainal,
Lkn alijificha kwenye hicho kivuli watu hawakumuona ,mpaka mech ya fainal ndio eti watu wanakuja kugundua karius sio kipa
Nilishangaa sana , Nasemaje siku klopp atakapoamua kumuamin mignolet badala ya karius bas hatanunua kipa
Japo wengi hamumpend mignolet , lkn ukweli unabaki makosa ya karius na ya mignolet, ya karius yamezid kipimo,
Halafu Mignolet kaja kukataliwa na kocha kipind liver imepata balance ya beki , baada ya ujio wa VVD ambaye ni master kwa mipira ya juu, kupanga wenzake,
Na ndio maana kama ni mfuatiliaji mzuri utagundua toka aje VVD bas hata shoot on target kwa liver zilipungua, ndio maana kuna mech kibao Karius alikuwa ana maliza Bila kupigiwa on target, nyingine zinaisha kapigiwa on target 1-3, bas, akicheza kwa kuziotea bas shughuli imeisha,
Na ndio maana kuna mech kama ya tot anadaka mpira anautema kwenye hatari, wanyama anautia wavuni,lkn beki inamlinda Timu inapata matokeo ya kutofungwa.
Hii hali iliendelea hata UCL mech ya porto, man city ziliisha bila on target , mech za marudiano ni mech ya man city tu etihad ilikuwa mtihan kwake lkn shukran ziende kwa VVD NA WENZAKE, walimlinda na mech ikaisha salama,
Hofu ilikuja kuzuka mech ya pili kule roma, kumbuka ya kwanza haikuwa na on target za maana , aliendelea kulindwa na beki iliyo chini ya VVD, japo yy karius hakutaka kuitumia hiyo advantage Apambane na kina DEGEA kwa ubora,
Mech ya pili ya roma walikuwa wanapiga sana nje ya box, hapo baadh ya Mashabiki wakaanza kushtuka hapa Hamna kipa,
Mech ikaisha salama liver akasonga fainal, HII NDIO SAFARI YA KARIUS KUFIKA FAINAL.
Lakini siku zote za mwiz ni 40 , fainal kawazawadia magoli madrid
Japo BEKI YA LIVER ILICHEZA VIZURI KAMA SIKU ZOTE ILIVYOMLINDA, Kuanzia VVD,LOVLEN, ROBO, TAA wote walimdhibit CR7, NA genge lake.
Sasa ninaposikia eti KLOPP ANAMUAMINI TENA KARIUS adake msimu ujao nashangaa sana, MIMI SIO MWANA LIVER ILA ni moja ya klabu ninayoipenda na kuigmfatilia ,
Kwa hili alilofanya karius na Matus anayoporomoshewa Instagram, BASI KLOPP ataacha kibur chake na kurud sokon kutafuta kipa
Au ningemshauri amuamini Mignolet , ana udhaifu ila sio kama wa karius
Huyu ni Arsenal damu damuACT anaweza kutoa ushauri kwa UKAWA - hapa UKAWA wanaweza kuupokea ushauri bila suspicion yoyote.
lakini UKAWA wakipewa ushauri huo huo na CCM, hakuna namna inabidi UKAWA wachanganye na za kwao!!
kama umeilewa hii hypothesis, utaelewa mantiki ya swali langu hili hapa chini...
je, mkuu, wewe ni shabiki wa timu gani ili tujue kama katika ulichotushauri wana LFC kuna ulazima wa kuchanganya na za kwetu?
oh... i see.Huyu ni Arsenal damu damu
ahahah na ushauri wake ni kama nimeuelewa hivioh... i see.
naupokea ushauri wake maana sina tatizo sana na Arsenal.
Sio haja recover ,mbona hamtaki kukubaliana na ukweli kuwa karius hatakiwi kuwa kipa, karius ni modo ,