Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Inafurahiaha sana kwangu kujua sasa mmebadirika kuwa anayetukosesha ubingwa Liverpool ni mm na wala sio Hendo wala Lovren!Huu ni ushindi mkubwa sana kwangu kwa kuweza kuwabadiri mawazo yenu yasiyo sahihi!
Lovren hao mnao wasema wakali akina Messi wametulia
Hendo akcheza mechi zote na kacheza vyema
Tuonane EPL na karibuni sana kwenye uchambuzi wa haki wa soka usio na bias kama mlivyokuwa kabla sijawabadirisha