Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

ACT anaweza kutoa ushauri kwa UKAWA - hapa UKAWA wanaweza kuupokea ushauri bila suspicion yoyote.
lakini UKAWA wakipewa ushauri huo huo na CCM, hakuna namna inabidi UKAWA wachanganye na za kwao!!

kama umeilewa hii hypothesis, utaelewa mantiki ya swali langu hili hapa chini...

je, mkuu, wewe ni shabiki wa timu gani ili tujue kama katika ulichotushauri wana LFC kuna ulazima wa kuchanganya na za kwetu?
Arsenal fan
 
Mimi mwenzenu Kwa Blunder ya Jana basi Karius ameniacha Speechless! Yani sijui nipo which side!!!!! "Nimuamini a Nisimuamini?"

I don't know why but kuna something from nowhere inanisukuma Kuwa "Karius anadeserve Second Chance" na Huenda akarecover....

Lakini at the same time nahisi huyu jamaa Ataturudisha Europa Kwa 100% Kwa Kututoa Nje Ya Top Four kwani Ni Vigumu Kuboreka.

Lemme Wait an see Nini Kitatokea!! Liverpool Kama Haitasajili New GK basi Nitajenga Some Hope Kwa Karius Kuwa anaweza Akaperform Katika Ubora baada Ya Kugain Confidence.
 
Na Sasahivi Officially Liverpool imeshaanzisha Mazungumzo na Stoke City Kwa Ajili Ya Usajili Wa Xherdan Xhakiri lakini Naona Na Wao Stoke Wanajaribu Kutumia this Opportunity Kuanzisha Friendship na Liverpool Kwa Ajili Ya Kumvizia Henry Wilson Wapewe Kwa Mkopo Kutokana Na Zipo Zaidi Ya Timu 5 zinazomuania Dogo Wapewe Kwa Mkopo.
Ningeshauri Atolewe Woodburn na Solanke Kwa Mkopo na Abakishwe Wilson na Ojo.
 
Hivi Nani Anaweza Kunipa Takwimu Sahihi Kuhusu Henderson Kapiga Complete Passes Ngapi Katika First Half?
 
yeye na Trippier wanaongoza kwa key passes (5).
Modric na wenziwe wawili wanafuatia (4).

Good! Hata Hivyo Nilikusudia Complete Passes and Not Key Passes.

England Wanaweza Shinda Hii Game Coz Vijana Wana Ari Sana.
 
Yani Kuanzia Dakika ya 70 mpaka 90+3 Nimemuhesabia Hendo Kapiga Complete Passes (Not Total Passes) 5, ambazo 4 kati ya Hizo Ni Back pass, No 1 tu ndiyo Forward Pass.
 
Southgate tokea aanze Kuimanage hii England Kwa Mara Ya Kwanza Anafanya Kosa la Kiufundi Kwa Kumuingiza Rashford Humu Uwanjani! Yani Jamaa Ni Headless Chicken.
 
YuleYule Walker Ameshatagisha Goli.... Croatia 2 - 1 England... Now TAA anahitaji Chance Kwa Ajili ya Euro 2020
 
Southgate Ndiyo Anashtuka Sasahivi Kuwa Walker Ni Uchochoro? 😀😀😀
 
Yaani kocha kumtoa HENDO tu daaaaah kaivuruga timu na kipigo kimewahusu dah kweli jamaa anajua
 
Baada Ya Waingereza Kufunga Goli La Kuongoza, Croatia Wameprove right hule msemo usemao "Form is temporary but class is permanent " baada ya Kuibuka na Ushindi dhidi ya Waingereza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom