Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Philippe Coutinho
sold for £142M

Nabil Fekir (£52M),
Fabinho (£43.7M)
Naby Keita (£52.75M)
bought for £148.45M
 
Martial kakifanya nini epl,au hujui hata kama huyu jamaa anasugua benchi huko united?

Martial utamuweka rank sawa na nani ukiachana na Hazard kwenye Vilabu ifuatavyo: Arsenal, Chelsea, Tottenham ???
 
a title winning line up for LFC next season...
 
Attachments

  • IMG_20180609_081015.jpg
    IMG_20180609_081015.jpg
    15.8 KB · Views: 42
Hiyo knee issue kumbe ni jamaa alipata injury miaka mitatu iliyopita kwenye international sasa kwa nini wasimkubalie sababu sidhani kama ni tatizo ambalo halina mwarobaini au tatizo lipo kwenye hiyo issue versus bei?
 
Gharama inashuka na atatangazwa leo baada ya kufungwa stock market ya france itakua mida ya saa mbili usiku nadhani
 
Hiyo knee issue kumbe ni jamaa alipata injury miaka mitatu iliyopita kwenye international sasa kwa nini wasimkubalie sababu sidhani kama ni tatizo ambalo halina mwarobaini au tatizo lipo kwenye hiyo issue versus bei?

Hii Jana Kusimama Kwa Kutangazwa Fekir ingawa Alifanya Vipimo Vya Afya na Kufanya interview na Liverpool imekuja na Sababu Mbili ambazo Wadadisi Wanasema Moja Ya Sababu Hizi ndiyo iliyostopisha Kuendelea Na Mchakato.

1.) Mkuu Mimi si Mtaalamu Wa Maswala Ya Kiuchumi Kwasababu Sikusomea Fani Hiyo! Lakini OL Msimu Wa 2017/18 Wa ligi Yao unamalizika Leo! Na unaanza Rasmi 1st July.
Kwahiyo angelitangazwa Jana Basi Hela ingeliingia Kwenye Account ya Hesabu ya Last Season ambayo Kuna Na Hela Ya Lacazzete Jambo ambalo Kwa Wataalamu Wa Uchumi Ndiyo Wanaofahamu ingeathirika Vipi Timu pamoja na Share holders.

Lakini iwapo atatangazwa Leo au After World Cup (1st July) basi Hela itaingia Katika Account ya Hesabu za Next Season jambo ambalo Ni Faida Kwa OL.

2.) Kuna Wanaosema Kuwa Mchakato umesimama Kutokana na Fekir Kufeli Vipimo Vya Afya baada Ya Kugundulika Ana Serious Problem Katika Goti lake.

Sababu Zote Hizo Hakuna Hata Moja iliyokuwa Confirmed.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom