Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pep Lijnders tayari amesharudi Katika Bench la Ufundi Kuungana na Jürgen Klopp, Kuhusu Zeljko Buvac yeye bado hali tete na hakuna dalili ya Kurudi tena.
 
Liverpool FC can confirm that Pepijn Lijnders has returned to take up a role in the club's first-team coaching setup. (lfc)
 


Sevilla waliona kwamba wafanye mambo mawili ; la kwanza ni kumzuia Man U asitie mkosi kwa kubahatisha hata japo goli la kubahatisha kwenye uwanja wao. La pili waje wamfurumushie Man U pale pale OT. Na mna bahati maana huyo muarabu Ben Yedder alikuwa aondoke na mpira sema alidhani yuko Offside kwenye chance flani hivi.

Ilikuwa iwe Ben Yedder 3 Man U 1
 
Loser at final ! Yours at which stage !? Group stage ?
Sevilla waliona kwamba wafanye mambo mawili ; la kwanza ni kumzuia Man U asitie mkosi kwa kubahatisha hata japo goli la kubahatisha kwenye uwanja wao. La pili waje wamfurumushie Man U pale pale OT. Na mna bahati maana huyo muarabu Ben Yedder alikuwa aondoke na mpira sema alidhani yuko Offside kwenye chance flani hivi.

Ilikuwa iwe Ben Yedder 3 Man U 1
IMG_20180606_062831.jpg
 
I hope haitotokezea pengine popote Katika Sayari Hii Kuona Watu Wanajivunia Mafanikio Ya Wengine except Manure Fanboys.

Keep Moving! Endeleeni Kusherehekea Mafanikio Ya Real Ya Kubeba Champion League may be munashare Trophy.
Ladies and gentlemen, this is Liverpool fan talking this shit. Liverpool you are just west brome with history.

Sifurahii Madrid kushinda ila nashangilia Liverpool kupapaswa, hata angekua ajax ndio kakupapasa bado ningeshangilia tu.

Enjoy your L
 
Moses Simon to Liverpool
Liverpool are keen on signing 22-year-old Simon
from Gent after having scouted him thoroughly
during the past season, according to the
Liverpool Echo. The Nigerian scored six goals
and got three assists in Belgium in 2017-18, and
is reported to be worth around £10m. Simon
won't be at the World Cup though -- national
team coach Gernot Rohr left him out of the
squad as the winger has been suffering from a
hip injury.
Jonny Eva
 
Mungu anakuona mkuu,wakati kante na mahrez wanasajiliwa hapo leicester wewe ulikuwa unawafahamu....milner na hendo walikuwa bora kuliko huyo kante na mahrez
Hivi mkuu kwa mfano ile fainali dhidi ya madrid liver wangeshinda ungesemaje?bahati au kina milner wangekuwa bora tena muda huo?maana hao unaowadharau wewe ndio walioifikisha timu fainali.........katika ubora wao liver ya XABİ ALONSO na STEVEN GERRALD lakini EPL waliishia kuliona kwa majirani tu au nao walikuwa wabovu? Haya hao kina kante na drinkwater wamekosa hata big4 msimu huu ina maana ni wabovu?MATİC,POGBA,HERRERA hawajabeba chochote msimu huu je hawa nao wabovu?DEMBELE,DİER,WANYAMA,ERRİCKSEN haya ni magarasa???????????sometime bahati ipo kwenye soka kataa kubali


#FİKİRİ KWANZA

Milner
Wilj
Capt Hendo
Wametufikisha final ya UCL tena hao Madrid wakichukua ubingwa kwa upuuzi wa kipa Karius!
Nina amini kuwa akina Milner ni viungo wazuri kama tu akina Mahrez!
Akina Mahrez walifikia wapi UCL?
 
Jinsi Habari Za Kumsaini Xherdan Shaqiri zinavyokuwa Viral kwakweli Zinanipa Ukakasi! Hivi Shaqiri Ni Mtu Sahihi tunayemuhitaji?
 
Fekir makes Liverpool decision

Lyon playmaker Nabil Fekir has said that he is set on a move to Liverpool this summer, the Mirror reports.
A breakthrough in the deal is said to have been made, with OL softening their position on the France international.
Liverpool hope they will not have to pay more than £50 million ($67m) for the 24-year-old.
 
Raisi Wa Lyon Jean-Michel Aulas analichelewesha Dili la Nabil Fekir Kwa Makusudi Kwa Kutegemea Kuwa Mchezaji Huyo Atavutia Timu Nyengine Na Kuongezeka Thamani Pale Atakapo-Shine Kwenye World Cup ili Amuuze Kwa Pesa Nyingi Zaidi.

Lakini Amesahau Kuwa France inaanzisha Midfielders Corentin Tolisso, Paul Pogba na N’Golo Kanté! Kwahiyo Fekir Atakuwa na Lack of game time Jambo ambalo Halitomuongezea Thamani, Bali Huenda likamshusha Thamani Kwa Kuanzia Benchi Timu ya Taifa.

Huenda Yakawafika Kama Ya Thomas Lemar pale Last Season alipokuwa na Msimu Mzuri Mpaka Mzee Wenger Akabid £90m Kumnunua Bali Monaco Wakafanya Maringo Hatimae Msimu Huu Hakuwa na Performance Nzuri Jambo lililopelekea Thamani Yake Kushuka Mpaka £45m.

Wakati Fekir Mwenyewe ameshaweka Wazi Kuwa Haoni Pakwenda isipokuwa Merseyside ! Ni Vyema Wakamuuza Kabla Ya WC ili Kulinda Thamani Yake.
 
Jinsi Habari Za Kumsaini Xherdan Shaqiri zinavyokuwa Viral kwakweli Zinanipa Ukakasi! Hivi Shaqiri Ni Mtu Sahihi tunayemuhitaji?
Hii habari nilipoiona nilifikiri sana. Ila nikajipa moyo kuwa kwa kuwa hiki ni kipindi cha usajili basi tutasikia mengi. Hizi zitakuwa ni roumors tu.
 
Firmino : “I prefer not to comment on Sergio Ramos but he’s an idiot”

Ramos : “Its ok for him to call me an idiot but his teeth are brighter than the future of his club. Who’s the one who looks stupid here?”
IMG_20180301_191612.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom