Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
mkuu unafurahia hv usajili mtu wa ligi 1
Hivi Yule Superstar Wa Chelsea Eden Hazard Amenunuliwa Kutoka Ligi Gani? Labda Kwanza tuanzie hapa.
mkuu unafurahia hv usajili mtu wa ligi 1
Great man Michael Edward
Better than Ian Ayre Heshima kwako
Man City WASIJIDANGANYE kama watachukua EPL
Tuombe tu uzima!
Back to elite status with league1 especially FRANCE players hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha bwaaaaaaaaahhhhhhhhh bakayoko,lacazette,pogba,e.t.c MABİSHOO HAO HAWANA MPANGONABIL FEKIR HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA
BACK TO ELITE STATUS
Mwaka gani kanunuliwa?na ni mchezaji wa timu gani ya taifa huyo?all in all 90% ya wachezaji wa ufaransa na ile ligi ni hovyo kabisa kwa miaka ya hivi karibuni...kwa ufupi ile ligi ni hovyo kabisa kucompare na na ligi nyingine kubwa za ulaya so kumjudge mchezaji kwa kigezo cha kuperfom ligi ile sio sahihi kabisaaaaaaa NEYMER JR mwenyewe kakiri kuingia chaka na anataka kukimbia kule....Hivi Yule Superstar Wa Chelsea Eden Hazard Amenunuliwa Kutoka Ligi Gani? Labda Kwanza tuanzie hapa.
Mwaka gani kanunuliwa?na ni mchezaji wa timu gani ya taifa huyo?all in all 90% ya wachezaji wa ufaransa na ile ligi ni hovyo kabisa kwa miaka ya hivi karibuni...kwa ufupi ile ligi ni hovyo kabisa kucompare na na ligi nyingine kubwa za ulaya so kumjudge mchezaji kwa kigezo cha kuperfom ligi ile sio sahihi kabisaaaaaaa NEYMER JR mwenyewe kakiri kuingia chaka na anataka kukimbia kule....
MUDA UTASEMA
Hao uliowataja wametokea league 1 ?au raia wa France?Suarez alitokea ligi gani kuja Liverpool? Salah alitokea ligi gani kwenda Chelsea?
Tulimnoa Torres, tukaja Suarez, tukaja Coutinho, tukaja Salah, tukaja Mane, tukaja Firmino...............Malizia mwenyewe
walionunuliwa kipindi cha nyuma ka hazard ndo wanashine...sahivi kina bakayoko no job hapo...Hivi Yule Superstar Wa Chelsea Eden Hazard Amenunuliwa Kutoka Ligi Gani? Labda Kwanza tuanzie hapa.
NGOLO KANTE ametokea wapiMwaka gani kanunuliwa?na ni mchezaji wa timu gani ya taifa huyo?all in all 90% ya wachezaji wa ufaransa na ile ligi ni hovyo kabisa kwa miaka ya hivi karibuni...kwa ufupi ile ligi ni hovyo kabisa kucompare na na ligi nyingine kubwa za ulaya so kumjudge mchezaji kwa kigezo cha kuperfom ligi ile sio sahihi kabisaaaaaaa NEYMER JR mwenyewe kakiri kuingia chaka na anataka kukimbia kule....
MUDA UTASEMA
ndo umeandika nn hapo?!?Suarez alitokea ligi gani kuja Liverpool? Salah alitokea ligi gani kwenda Chelsea?
Tulimnoa Torres, tukaja Suarez, tukaja Coutinho, tukaja Salah, tukaja Mane, tukaja Firmino...............Malizia mwenyewe
Soma vizuri msingi wa comment yangu nimesema ni 90% na hata hivyo hakuna sehemu niliyosema hao kina fekir na fabinho hawatashine ila nimetoa angalizo ni kamali kama ya 3mzuka tu......kutokana na status ya ligi ile ukilinganisha na ushindani wa huku.....mchezaji anayetoka epl kwenda league1 ni 99% au 100% kushine ila kinyume chake ni majanga kabisa.....rejea super mario,chamakh,lacazette,depay,n.kNGOLO KANTE ametokea wapi
They finished 25points above you, masikio yasizidi kichwaMan City WASIJIDANGANYE kama watachukua EPL
Tuombe tu uzima!
Hata ukitokea Ligi ya Azerbaijan kama Class is permanent hakuna kitakachobadilika Acha kujidanganyaSoma vizuri msingi wa comment yangu nimesema ni 90% na hata hivyo hakuna sehemu niliyosema hao kina fekir na fabinho hawatashine ila nimetoa angalizo ni kamali kama ya 3mzuka tu......kutokana na status ya ligi ile ukilinganisha na ushindani wa huku.....mchezaji anayetoka epl kwenda league1 ni 99% au 100% kushine ila kinyume chake ni majanga kabisa.....rejea super mario,chamakh,lacazette,depay,n.k
Hao uliowataja wametokea league 1 ?au raia wa France?
Soma vizuri comment yangu kisha jibu......labda hujui hao wachezaji wako walipotoka ngoja nikufahamishe kidogo mkuu,
Torres alitokea atletico madrid laliga spain,mane mumemtoa hapo southampton epl england,suarez vampire alitokea eradivise holland,salah mumemtoa as roma seria a italy na coutinho ni seria a milan italy pia
Katika wote uliowataja hakuna hata mmoja mliomsajili toka france.....
Sad, hakuna hata mmoja aliewapa kombe la maanaSuarez alitokea ligi gani kuja Liverpool? Salah alitokea ligi gani kwenda Chelsea?
Tulimnoa Torres, tukaja Suarez, tukaja Coutinho, tukaja Salah, tukaja Mane, tukaja Firmino...............Malizia mwenyewe
Mwaka gani kanunuliwa?na ni mchezaji wa timu gani ya taifa huyo?all in all 90% ya wachezaji wa ufaransa na ile ligi ni hovyo kabisa kwa miaka ya hivi karibuni...kwa ufupi ile ligi ni hovyo kabisa kucompare na na ligi nyingine kubwa za ulaya so kumjudge mchezaji kwa kigezo cha kuperfom ligi ile sio sahihi kabisaaaaaaa NEYMER JR mwenyewe kakiri kuingia chaka na anataka kukimbia kule....
MUDA UTASEMA