Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

FEKIR best friend posted this pic on his instagram.

its on people.
 
Attachments

  • fekirr.png
    fekirr.png
    40.9 KB · Views: 57
LOL Captain Marvelous we were just chatn' about the possible signing of a new CB, and now nimeona reliable red fan akisema kuwa we'll sign Jamaal Lascelles wa Newcastle.

Damn, will be a very good signing. very good signing.

Klopp building a monstrous team Aisee.

lets hope its true.
 
Drinkwater had Kante behind him and Mahrez infront of him.

Y'all undermining the influence of Ngolo Kante kwenye PL, he's undoubtedly one of the best MFs kuwahi kucheza kwenye PL.

he won back to back PLs, huku influence yake ikionekana kwenye team zote mbili.

you cant compare influence ya Kante na Henderson.

A good manager wins titles kwa kutengeneza defense nzuri, and you know for a fact kuwa leicester won the league kutokana na defense yao kuwa nzuri, and thats because of Ngolo Kante. na huwezi kuita bahati, hamnaga bahati kwenye league titles, games 38, na kati ya hizo games 12 dhidi ya top 6 teams (home and away). Kante alivyoondoka Leicester, team nzima ilifall apart, his influence ilionekana wazi.

Mpira haunaga bahati Aisee, football is how you set up your tactics.
Usiwe muongo kante aliposajiliwa toka huko france alikuwa anajulikana na huyo mahrez?
 
Keane/Scholes/Butt/Beckham/Neville etc wakati Fergie anawapa nafasi kwa mara ya kwanza nani alikuwa anawajua?

wakati Houllier anawapa nafasi kina SG/Owen/Carragher nani alikuwa anawajua?

wakati Poch anampa Nafasi Harry KANE, na kumsajili kijana kutoka Mk Dons Delle Ali nani alikuwa anawajua?

wakati Klopp anawasajili kwa bei ya kutupa kina Lewandowski/Sahin/Gundogan/Kagawa/Pizschek/Hummelz/Subotic etc nani alikuwa anawajua?

Acha kukariri mpira.
 
Sasa mbona unajijibu mwengewe?

Kwa hiyo spurs ambavyo hawatwai makombe hawana viungo wa maana?
 
notion yako hapa ilikuwa ni kuwa kwasababu kante na mahrez walikuwa hawajulikana kabla ya leicester hawawezi kuwa na influence kwenye team zao au kwenye league.

soma post yako vizuri. then anzisha arguments za maana.
 
Wewe si umesema lallana na jordan sio watu wa kubeba ubingwa nakuuliza ktk mpira kat ya kante na wakina lallana nani alianza kujulikana ktk mpira? Mmesajili viungo hao ambao umemwaga cheche kwa hiyo tutegemee liverpool kubeba ubingwa kwa kuwa wakina jordan na lallana watakuwa hawana tena namba?
 
notion yako hapa ilikuwa ni kuwa kwasababu kante na mahrez walikuwa hawajulikana kabla ya leicester hawawezi kuwa na influence kwenye team zao au kwenye league.

soma post yako vizuri. then anzisha arguments za maana.
Ndugu kwanza naona kama unajichanganya mwanzo kule kwenye post yako umesema liverpool haiwez kubeba ubingwa kwa kuwa na viungo aina ya lallana na hendo,

Tumekuuliza kiungo cha leicester nani alitegemea kingebeba ubingwa na kuwa bora? Ktk timu 6 kabla ya kuchukua ubingwa kuna kiungo cha leicester kingepigiwa kura kuwa kiko vizur?

Umeleta hoja kwamba kiungo cha wakina scholes kilifanya vizur lakin unafaham kuwa sir alex aliwahi kuambiwa hata beba chochote kwa kuwa na kikosi cha watoto?

Sasa hayo maneno aliyoambiwa sir alex hamna tofauti na wewe unae dharau wakina lallana kwa kuwa kasajiliwa keita na fabinho ambao bado hatujaona impact yao ktk timu unajichanganya mpira una maajabu yake kuwa na akiba ya maneno.
 
Lakini hajajichanganya kwa kuwazarau kina lalana maana tunao myaka kadhaa na wameshindwa kama yule hendo kashindwa hata na babu milner.

Tunategemea mapya kutoka kwa wapya maana tulionao wameshindwa.

Natamani Glujic awe mbadala wa Keita ili hendo asicheze kabsaa

Kapten gani mwenyewe hata kupiga pasii za magoli hawezi achia mbali kufunga?
 
Drinkwater had Kante behind him and Mahrez infront of him.

Y'all undermining the influence of Ngolo Kante kwenye PL, he's undoubtedly one of the best MFs kuwahi kucheza kwenye PL.

he won back to back PLs, huku influence yake ikionekana kwenye team zote mbili.

you cant compare influence ya Kante na Henderson.

A good manager wins titles kwa kutengeneza defense nzuri, and you know for a fact kuwa leicester won the league kutokana na defense yao kuwa nzuri, and thats because of Ngolo Kante. na huwezi kuita bahati, hamnaga bahati kwenye league titles, games 38, na kati ya hizo games 12 dhidi ya top 6 teams (home and away). Kante alivyoondoka Leicester, team nzima ilifall apart, his influence ilionekana wazi.

Mpira haunaga bahati Aisee, football is how you set up your tactics.
Mungu anakuona mkuu,wakati kante na mahrez wanasajiliwa hapo leicester wewe ulikuwa unawafahamu....milner na hendo walikuwa bora kuliko huyo kante na mahrez
Hivi mkuu kwa mfano ile fainali dhidi ya madrid liver wangeshinda ungesemaje?bahati au kina milner wangekuwa bora tena muda huo?maana hao unaowadharau wewe ndio walioifikisha timu fainali.........katika ubora wao liver ya XABİ ALONSO na STEVEN GERRALD lakini EPL waliishia kuliona kwa majirani tu au nao walikuwa wabovu? Haya hao kina kante na drinkwater wamekosa hata big4 msimu huu ina maana ni wabovu?MATİC,POGBA,HERRERA hawajabeba chochote msimu huu je hawa nao wabovu?DEMBELE,DİER,WANYAMA,ERRİCKSEN haya ni magarasa???????????sometime bahati ipo kwenye soka kataa kubali

#FİKİRİ KWANZA
 
Ndugu kwanza naona kama unajichanganya mwanzo kule kwenye post yako umesema liverpool haiwez kubeba ubingwa kwa kuwa na viungo aina ya lallana na hendo,

Tumekuuliza kiungo cha leicester nani alitegemea kingebeba ubingwa na kuwa bora? Ktk timu 6 kabla ya kuchukua ubingwa kuna kiungo cha leicester kingepigiwa kura kuwa kiko vizur?

Umeleta hoja kwamba kiungo cha wakina scholes kilifanya vizur lakin unafaham kuwa sir alex aliwahi kuambiwa hata beba chochote kwa kuwa na kikosi cha watoto?

Sasa hayo maneno aliyoambiwa sir alex hamna tofauti na wewe unae dharau wakina lallana kwa kuwa kasajiliwa keita na fabinho ambao bado hatujaona impact yao ktk timu unajichanganya mpira una maajabu yake kuwa na akiba ya maneno.

na notion ya jibu langu likawa kuwa, ingawa nobody expected Leicester kuchukua ubingwa, but at the end of the day they won the league kwasababu ya balanced midfield yao iliyotengeneza a good defensive side.

so with that being said, ni kuwa focal point ya Leicester kuchukua ubingwa ilikuwa ni influence kubwa waliyo kuwayo kwenye midfield.

and oh! Lallana yupo LFC tangu mwaka 2014, na mpaka leo hii amefanikiwa kuwa na wakati mzuri (form) kwa kipind cha miezi minne tu, msimu wa 2016/17. so kwanini nisifurahie pale team inaposign upgrades?
 
Mungu anakuona mkuu,wakati kante na mahrez wanasajiliwa hapo leicester wewe ulikuwa unawafahamu....milner na hendo walikuwa bora kuliko huyo kante na mahrez
Hivi mkuu kwa mfano ile fainali dhidi ya madrid liver wangeshinda ungesemaje?bahati au kina milner wangekuwa bora tena muda huo?maana hao unaowadharau wewe ndio walioifikisha timu fainali.........katika ubora wao liver ya XABİ ALONSO na STEVEN GERRALD lakini EPL waliishia kuliona kwa majirani tu au nao walikuwa wabovu? Haya hao kina kante na drinkwater wamekosa hata big4 msimu huu ina maana ni wabovu?MATİC,POGBA,HERRERA hawajabeba chochote msimu huu je hawa nao wabovu?DEMBELE,DİER,WANYAMA,ERRİCKSEN haya ni magarasa???????????sometime bahati ipo kwenye soka kataa kubali

#FİKİRİ KWANZA

Tumsamehe tu mkuu hajui kama kuna muda mpira una maajabu yake barcelona ile ya 2009 had 2013 ilishindwa kubeba uefa back to back wanakuja wakina casemiro ambao kila hatua hawapewi nafasi kusonga wanafanya ya maana yeye anaongea tu kisa fabinho na keita ngoja tuone huenda yupo sahihi.
 
Good Job Kwa Firmino Kutupia Goli Leo Brazil vs Croatia ! Zidi Kuwaprove Wrong (lembu) Wanaoku-Underrate Uwezo Wako na Kumu-Overrate G. Jesus.

Yani G. Jesus ndani Ya Man City Kazungukwa na Mafundi Kama Silver, De Bruyne, Sane, Sterling na Fernandiho amezidiwa Kwa Magoli na Mtu aliyezungukwa na Hendo, Gini na Millner, Halafu anatokea Mtu anataka Kutuaminisha Kuwa G. Jesus Ni Bora Kuliko Firmino.
 
Lakini hajajichanganya kwa kuwazarau kina lalana maana tunao myaka kadhaa na wameshindwa kama yule hendo kashindwa hata na babu milner.

Tunategemea mapya kutoka kwa wapya maana tulionao wameshindwa.

Natamani Glujic awe mbadala wa Keita ili hendo asicheze kabsaa

Kapten gani mwenyewe hata kupiga pasii za magoli hawezi achia mbali kufunga?
Kante ana goli ngap na assist??
 
Good Job Kwa Firmino Kutupia Goli Leo! Zidi Kuwaprove Wrong (lembu) WanaokuUnderrate Uwezo Wako na Kumoverrate G. Jesus.

Yani G. Jesus ndani Ya Man City Kazungukwa na Mafundi Silver, De Bruyne, Sane, Sterling na Fernandiho amezidiwa Kwa Magoli na Mtu aliyezungukwa na Hendo, Gini na Millner, Halafu anatokea Mtu anataka Kutuaminisha Kuwa G. Jesus Ni Bora Kuliko Firmino.
Mi huyo dogo jesus asingepata namba mbele ya firmino mana firmino anafanya kazi nyingi sana anakaba, anafunga na kutengeneza magoli.
 
Good Job Kwa Firmino Kutupia Goli Leo Brazil vs Croatia ! Zidi Kuwaprove Wrong (lembu) Wanaoku-Underrate Uwezo Wako na Kumu-Overrate G. Jesus.

Yani G. Jesus ndani Ya Man City Kazungukwa na Mafundi Kama Silver, De Bruyne, Sane, Sterling na Fernandiho amezidiwa Kwa Magoli na Mtu aliyezungukwa na Hendo, Gini na Millner, Halafu anatokea Mtu anataka Kutuaminisha Kuwa G. Jesus Ni Bora Kuliko Firmino.
Mmoja kacheza game 37 za epl mwingine ana game 29, one is more clinical than the other..
 
firmino is a total package...

He scores, assists, defends , defects, distracts, tackles, presses etc.

His defensive stats are waayy better than lots of cm in Europe

Usilinganishe na tujitu twa ajabu
 
Mmoja kacheza game 37 za epl mwingine ana game 29, one is more clinical than the other..
One is a total.package and the other is a poacher
You can't sell firmino to buy Jesus
But you can sell Jesus to buy firmino
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom