Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Umeeleza vizur sana ila tutabishana kwa kutetea timu zetu tu hii ndo point ya timu zote kuchanua na kusinyaa.
 
Kwani kiungo cha wakina drinkingwater pale leicester city kuna mtu alijua kinabeba ubingwa? Some time mpira ni bahat tu ila sio kiungo cha wakina lallana
 
Kwani kiungo cha wakina drinkingwater pale leicester city kuna mtu alijua kinabeba ubingwa? Some time mpira ni bahat tu ila sio kiungo cha wakina lallana
Mkuu hili nilimwambia huyo akabaki kuduwaa tu hana cha kusema.....
 
Mkuu hili nilimwambia huyo akabaki kuduwaa tu hana cha kusema.....
Nimeshangaa sana jamaa kwa hoja yake mfu kabisa sasa sijui madrid wanakosaje la liga kwa wale viungo wao.
 
Japo mpira hautabiriki kimatokeo,team yetu ya LFC ikipangwa vizuri tunabeba EPL FA .
Keita number 6, Mane (7) Fabinho(8) Tumekamata kiungo chote.
Firminho (9) Fekir(10) Mooh (11) tutafunga zaidi ya goals 3.

Kila mwaka ni wa liverpool.
 
Sorry wadau, hivi according to FFP rules inatakiwa Usajili usivuke paundi milioni ngapi vile kwa Club yetu ya Liverpool? I mean kwa huu mwaka , given kwamba tumeearn karibia pauni milioni 80 UEFA ukiachilia mbali mapato mengine mengine
 
Miongoni mwa Jambo linaloniuzi Zaidi Ni Kukutia Transfer News Kwa Don Balon na Bild.......
 
ni kweli makocha wetu idara ya kipa na idara ya ulinzi ni deep sheets...unakumbuka kuna kipindi mipira ya kona na adhabu we couldnt defend hata iweje dakika 90+ tutafungwo tangu Rodgers na on n off kipindi cha Klopp...
Hili na kocha wa kipa ni serious mess nakumbuka Peter Chek alivyokua anahamia Ganaza aliomba pia mmoja ya kocha wa makipa wa Chelsink nae aungane nae ila waligoma kabisaa....itabidi wakati Klopp anafikilia kununua wachezaji atazame na hao makocha wa overral defence area...
 
Klavan unless atake kuodoka mwenyewe sioni Klopp akimuuza...yule ni squad player and he dont demand acheze kila mechi yeye akipangwa au asipangwe hua hana shinda...
Grujic msimu ujao wanamtoa tena kwa mkopo na Cardif wameonyesha nia...Wilson na hao kinda wengine kutolewa kwa mkopo itategemea kama Klopp atawapata Fekir, Dembele n.k
Milner, Henderson wakiwa squad players sio mbaya...
Gomez awe groomed acheze nafasi yake sio mara beki wa kushoto mara kulia hatuliaga...
Mabeki wa kununuliwa so far sijaona wakitajwa tajwa kama idara zingine..Maguire wa Leister angekua a nice addition to the squad...
Nwa ngoja tusbiri mpaka dirisha linafungwo ndio tuta judge kama Klopp anaitaka Premier au la na mengine
 

Problem is Klopp ana roho nyepesi sana.

nadhani huwa anajiskia vibaya sana kutimua watu, afu ukichulia wamemzidi umri.

but if he wants to succeed big time at LFC, anatikiwa awe ruthless sana.

watu kama kina Artcherbeg siyo wa kuwakeep kwenye team kabisa.
 

I think we need to Give Grujic a go now, he's a good player, anahitaji nafasi tu.

nadhan hata tukiwapata Fekir na Dembele (?), we'll still need these kids for the cup games, next season tutakuwa kwenye competitions 4, na tunakiwa kuaim kupata kombe pia, so tunahitaji kuwa na squad depth ya kuridhisha Aisee. Brewster need a chance, this kid is special. juzi niliona Yan Dhanda kaondoka, we really need to give these kids nafasi kwenye squad.

Gomez is a natural CB, but i dont thik Klopp anamuamini enough kumchezesha eneo la CB, and honestly anaweza akawa loaned this summer. lets wait and see
 
yeah akitaka mafanikio lazima akumbali lawama kwa wengine ambao ataona wanachangia timu kufanya vimbaya..
Msaidizi wake mpaka sasa hajarejea japo hakuna tamko la team kama kaodoka mazima au ni likizo...ukumbuke Klopp mwenyewe alikua anamuita "The Brain" akimaanisha jamaa ni nguzo ya mafanikio yake tangu wapo Mainz, BvB na hatimae Anfied sasa kama huyo akodoka mazima kama yule wa Murinyo itabidi Klopp apate mbadala wake alike...
Dirisha hili kwa Klopp ni muhimu kwake maana atakua judged mwisho wa ligi msimu ujao ikiisha, hivyo naaamini atajipanga vyema.
 

Buvac will be a big loss kama asiporudi. lets wait and see kuona kama atarudi au La, inaonekana kulikuwa na misunderstanding baina yake na Klopp, but ni watu wazima i believe wanaweza kusort kasoro zao, na pia Buvac aliondoka katika kipindi muhimu sana cha msimu wetu Aisee. hope watarudi na kuwa sawa kama zamani.

but kama asiporudi nadhani Klopp atamuita tena Pep Ljinders.
 
Kwani kiungo cha wakina drinkingwater pale leicester city kuna mtu alijua kinabeba ubingwa? Some time mpira ni bahat tu ila sio kiungo cha wakina lallana

Drinkwater had Kante behind him and Mahrez infront of him.

Y'all undermining the influence of Ngolo Kante kwenye PL, he's undoubtedly one of the best MFs kuwahi kucheza kwenye PL.

he won back to back PLs, huku influence yake ikionekana kwenye team zote mbili.

you cant compare influence ya Kante na Henderson.

A good manager wins titles kwa kutengeneza defense nzuri, and you know for a fact kuwa leicester won the league kutokana na defense yao kuwa nzuri, and thats because of Ngolo Kante. na huwezi kuita bahati, hamnaga bahati kwenye league titles, games 38, na kati ya hizo games 12 dhidi ya top 6 teams (home and away). Kante alivyoondoka Leicester, team nzima ilifall apart, his influence ilionekana wazi.

Mpira haunaga bahati Aisee, football is how you set up your tactics.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…