Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Fabinho also made 46 interceptions in Ligue 1 this season - at least 11 more than any player at Liverpool. Quite clearly an upgrade in the middle.
 
...huo upepo ukiendelea utabadilisha matokeo !? Wewe matak@ kweli !


Usipoteze Muda na Nguvu Nyingi Kubishana Na Huyu!
Huenda Ameshasahau Kuwa Timu Yake Ya Arsenal imeshindwa Kufurukuta Mbele Ya Atlantico De Madrid Katika Kale Kakombe Kambuzi Cha Europa.
 
Usipoteze Muda na Nguvu Nyingi Kubishana Na Huyu!
Huenda Ameshasahau Kuwa Timu Yake Ya Arsenal imeshindwa Kufurukuta Mbele Ya Atlantico De Madrid Katika Kale Kakombe Kambuzi Cha Europa.
sawa mtu wa tatu tatu fainali...
@Sevilla
@@Madrid
 
Bakayoko
 
Premier league ni league ya kiushindani kama Uefa...ndio maana now days hakuna team inayocjukua mara mbili

Hivi unajua kuwa crystal palace kikosi chao kinazidi gharama kikosi cha Atletico madrid ..sunderland kipindi inashuka daraja ilikuwa inalingana na Atletico madrid kwa gharama ya kikosi na networth ya club

PREMIER lg sio lelema kama league zingine..ndio maana ni gharama hata kuiona kwenye tv unlike Bundasliga..SeriaA,La liga ambazo haki za kimatangazo hata startimea/azam tv wanaonesha kama ilivyo ndondo cup
 



Hoja yangu kwenu ni kwa nini tofauti na club karibia zote tajiri katika ligi mbalimbali zinachukua ubingwa wa ligi constantly, ila nyinyi mwaenda mwaka wa saba huu bila kuchukua ubingwa wa EPL. Unachomekea UEFA wakati mimi sijataja popote issue UEFA hapa.

Ina maana mpaka sasa hujajua relationship ya uwezo wa kifedha wa timu na mafanikio au?
 

Hii ni sahihi kabisa..PL huwezi fananisha na La Liga wenye tim 3 tu au League 1.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…