pa tuongeze mtu wa aina ya salah na mane ili kuwareplace wanapokua na injuries tu,mchezo umekwisha hapo.kila position iwe na wachezaji wawili wa kubadilishanaHapo Nikueka New GK na Kumreplace Lovren Kwa CB mwengine itakuwa Tayari Tumeshamaliza Kazi.
View attachment 789188
kumbe unajua sio chai?Timu yako ilikua wapi wakati Liverpool inacheza na Madrid?punguza povu kijana...kuumiza key player kwan ulitegemea salah angezuia yale magoli..unfortunately uefa sio chai..
timu yako manchester ilikua wapi wakati liverpool anacheza na madrid?sevilla tu kawachakaza,mmeshazoea makombe ya mbuzi UEFA mtaiwezea wapi?Hata hatujapigwa thana........... View attachment 788467
.timu yako manchester ilikua wapi wakati liverpool anacheza na madrid?sevilla tu kawachakaza,mmeshazoea makombe ya mbuzi UEFA mtaiwezea wapi?
kama alivyowafanya Cotinho!!! [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huu Usajili Wa FABINHO sio siri umenipa Ukakasi Kwani Katika Wachezaji Ambao Kwa Upande Wangu Ni Most Untrusted Basi Ni Wa Amerika Ya Kusini (Walatini).
Hawa Hupita UENGEREZA na ITALY Kwa Ajili Ya Kuivizia BARCELONA na REAL MADRID tu.
Tena Walivyowajanja Mtazame NEYMAR, alipojiona Mbele Ya MESSI hawezi Kuwa MAIN MAN Wa Timu! Basi Kakubali Kuhama Kwenda Shit Team ya PSG. Wengi Kwa Kutokujua Ubabaishaji Wa WaAmerika Ya Kusini Wakadhani NEYMAR amejitupa Msituni.
Kumbe Mchizi Kashacalculate Zamani (Sijui Kama Hakuwa PCM huyu) Kuwa Umri Wa Ronaldo Next Season Ni 34years Kwahiyo Anaelekea CHINA au AMERICA na Hata Akibaki hatakuwa MAIN MAN Wa Timu.
Hapo Ndiyo Kaamua Kuivizia Real Kwa Daraja la PSG kwani alijua Ni Vigumu Kutoka BARCELONA kwenda REAL moja Kwa moja Kwahiyo Kaamua Kupitia PSG.
Kwahiyo Hawa Jamaa Wana Kila Mbinu Ya Kufanya ili Kuelekea Kwa REAL au BARCELONA.
Hata Mimi Siwapi umuhimu sana Wa Kuwasajili.
Wewe Watazame DE GEA, HAZARD, GRIEZMAN na Hata Alivyokuwa ROONEY wanavyowaniwa/Walivyowaniwa Kwa Muda Mrefu na BARCA & REAL unadhani Hao Wangelikuwa Wabrazili au Wana asili tu Ya KIBRAZIL kama alivyikuwa CR7 unadhani Wangelikuwa Wamo Katika Timu Zao?
Hapa Kwa FABINHO tuendelee KUBETI tu Asije akawa WORLD CLASS abaki Hivyo Hivyo Underrated Kwani Busquet umri unamuacha Mkono, Ikifika Muda Wa Kutafutiwa Replacement Basi itakuja umia Timu yoyote Ya Kiiengereza au Kitaliano iliyo na DM ambaye Ni Muamerika Ya Kusini aliye na Kiwango Bora.
uandikaji huo wanao sana wanawake.Mthingi = msingi
Mthimu = msimu
Kiathi. = kiasi
Acha mbwembwe kwenye lugha adhimu ya kiswahili.
Liverpool wanacheza mpira ni kweli ila mwisho wa msimu hamna kitu mikononi klopp ni genius ktk miaka yake mitatu huu wa nne anausaka.
Msimu uliopita kabeba ueropa na carabao unachobisha ni nini?Aaaah wapi, Kwa hiyo Mourinho ndani ya miaka miwili ijayo atachukua Ubingwa sio? Kwa lipi?
Msimu uliopita kabeba ueropa na carabao unachobisha ni nini?
We dogo ni mdogo sana ktk soka najitia aibu kujadiliana na ww ktk soka fuatilia toka mwaka 2000 had 2009 hao barcelona na madrid kama walikuwa wakitamba ktk mpira wa ulaya maana yangu mpira una vizazi vyake kama barcelona ya wakina xav na ya sasa zinafanana? mpira huwa una transition period sio kila mwaka utakuwa mwamba madrid alikaa muda gan bila la liga osha tongotongo bwana mdogo ki mpira bado mdogo sanaTambieni ubingwa wa ligi, We club tajiri kuliko zote Duniani unaenda mwaka wa saba huu hamjachukua Ubingwa wa EPL. Matajiri wanaokufatia (barca&Los Blancos) wanapokezana ubingwa wakialternate mwaka mmoja au miwili ila nyie mmekalia kurusha tu maneno. Club tajiri kuliko zote italy inachukua Ubingwa wa ligi almost kila mwaka, Club tajiri kuliko zote Germany inachukua ubingwa wa bundesliga almost kila mwaka, Club tajiri kuliko zote ufaransa inachukua ubingwa wa france almost kila mwaka and the same goes for many many!
Ulivyo mchanga utajir wa club vina uhusiano gani na makombe? Spurs yupo kumi bora ktk vilabu tajir unataka kusema ni timu kubwa na yenye mafanikio barani ulaya kwa matàji kuishinda Ac milan?Tambieni ubingwa wa ligi, We club tajiri kuliko zote Duniani unaenda mwaka wa saba huu hamjachukua Ubingwa wa EPL. Matajiri wanaokufatia (barca&Los Blancos) wanapokezana ubingwa wakialternate mwaka mmoja au miwili ila nyie mmekalia kurusha tu maneno. Club tajiri kuliko zote italy inachukua Ubingwa wa ligi almost kila mwaka, Club tajiri kuliko zote Germany inachukua ubingwa wa bundesliga almost kila mwaka, Club tajiri kuliko zote ufaransa inachukua ubingwa wa france almost kila mwaka and the same goes for many many!
timu yangu ilikuwa ikishuhudia jinsi mtu anavyoshikishwa kidevu..kumbe unajua sio chai?Timu yako ilikua wapi wakati Liverpool inacheza na Madrid?