one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,325
Fabinho Tayari, Mr Mared Cards (Keita) Tayari, Fekir is Loading.......
FEKIR - FABINHO - KEITA
Kama Namuona HENDO anarudi Sunderland hivi!! πππ
Mthingi = msingipoint nyingine ya mthingi mabro ni kupata Forward mwingine mwenyewe anaweza kutegemewa...
maana Bobby anaenda kucheza WC Urusi.
amecheza mthimu mzima atakuwa mchovu kiathi.
na wote tunajua Danny Ings anafanyaga nn na Solanke wake.
Mthingi = msingipoint nyingine ya mthingi mabro ni kupata Forward mwingine mwenyewe anaweza kutegemewa...
maana Bobby anaenda kucheza WC Urusi.
amecheza mthimu mzima atakuwa mchovu kiathi.
na wote tunajua Danny Ings anafanyaga nn na Solanke wake.
Kwa hiyo tumeenda dakika 120 sio? Goli ni 1-1 ndani ya dakika 90 mshindi bado hajapatikana kule madrid wamepewa kombe feki original lazima mbebe liverpool .Liverpool kafungwa na kipa Karius
Mapenzi yenu kwa Madrid yanafanya muwe vipofu!
Benzema kama sio bao la kupewa alifanya nn hadi anatoka?CR alifanya nn?
Bao pale ni la Bale na sisi la Mane
1-1 bila upuuzi wa Karius
Liverpool wanacheza mpira ni kweli ila mwisho wa msimu hamna kitu mikononi klopp ni genius ktk miaka yake mitatu huu wa nne anausaka.Tumeanza vyema kwenye usajili
Fabihno alikuwa anatakiwa Man U nadhani kaichagua Liverpool sababu anataka kucheza mpira
Duuuh! Sawa ndugueehaha. thawa Oni Sigala. ni mazoea tu thio mbwembwe
Labda sio madrid hata man city mteja wao klopp alishindwa kumfunga fainali ya carabaoAnachojaribu kutuaminisha ni:
SALAH angekuwepo dakika 90 na golini angekuwepo MIGNOLET basi wangeshinda kombe lile.
eehaha. thawa Oni Sigala. ni mazoea tu thio mbwembwe
Acha kudanganya watu wewe,mnasingizia goalkeper mlizidiwa mbinu za kimchezo,alafu utajisifiaje kuwa unatimu nzuri wakati msimu mzima umeisha bila hata kombe la mbuzi!,mafanikio ya timu yoyote duniani ni kushinda makombe,siyo blabla zenu hizo.
Kwa hiyo tumeenda dakika 120 sio? Goli ni 1-1 ndani ya dakika 90 mshindi bado hajapatikana kule madrid wamepewa kombe feki original lazima mbebe liverpool .
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]nadhani usajili wa fabinho tafsiri yake ni kwamba nathyne clyne na emre can wataondoka liverpool, kama liverpool itaongeza wachezaji wengine wanne wenye uwezo wa kuwaondoa wachezaji wa kikosi cha kwanza cha sasa hivi basi mutakuwa na uwezo wa kusimama na real madrid muda wowote.
usajili wa fabinho unaonyesha wazi ya kwamba jurgen ameachana na sajili za kipumbavu zilizokuwa zikifanywa na makocha waliopita.
hahahahahahahahahaaaaa hawa makocha wakiingereza wanashangaza sana aina yao ya usajili.
david ngog
danny ings
charlie adams
lalllana
henderson
andy carrol
konchesky