Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,157
- 14,119
punguza povu kijana...kuumiza key player kwan ulitegemea salah angezuia yale magoli..unfortunately uefa sio chai..sasa wewe uliona madrid walikua na mpira gani pale?yaani timu kubwa inaingia uwanjani na option ya kuhakikisha wanamuumiza key player ndio ishinde?hata watford hawanaga hizo mbinu za kijinga.mapaka mlikua wengi sana,timu zenu zilishatolewa siku mingi nyie mnabaki kushadadia
Liverpool kafungwa na kipa Karius
Mapenzi yenu kwa Madrid yanafanya muwe vipofu!
Benzema kama sio bao la kupewa alifanya nn hadi anatoka?CR alifanya nn?
Bao pale ni la Bale na sisi la Mane
1-1 bila upuuzi wa Karius
Milner anaweza kucheza kama RB,LB,DM & CM
Ulitaka mfungwe kwa sababu ya nani ?
beki anayemkaba ronaldo halafu anawaacha wachezaji wengne huyo ni mbususu..Goli la Benzema linafungwa na washambuliaji wanaoijua kazi yao tu. Mwenyewe kasema, he knew what Karius was going to do. Ni akili ya kimpira imetumika pale, wakati beki zilikuwa busy kumkaba CR7.
Mkuu Ikiwa Utakubali Nakushauri Tuongelee Kuhusu Usajili na Matayarisho Ya Next Season.
Achana na Mechi Ya Fainali na Kelele Za Haters.
Tufanye Yameshapita Coz Hata Tujadili Hile Mechi Kiasi Gani Basi Hatuwezi Badilisha Kitu.
Ni Ushauri tu Wa Kawaida.
Tumepiga ndege Watatu kwa jiwe moja FABINHO anaweza kucheza Holding .Right back .na Hata Wingback
We are Liverpool hahahaha
Well done Manager
Kloppppppp
Target za United msimu huu viungo ni Fred & Savic last season Fabinho alikuwa target Raisi wa Monaco aligoma kuwauza Lemar & Fabinho Jose akahamia kwa MaticTumeanza vyema kwenye usajili
Fabihno alikuwa anatakiwa Man U nadhani kaichagua Liverpool sababu anataka kucheza mpira
hahaha duh! aiseeeKwa hiyo tunaenda kwenye penati ??
NI tofauti na FABINHO Mkuu .MILNER kuna nafasi nyingine anacheza Kwa sababu ya kujituma na nguvu kazi yake lakini sio kwa uwezo.Milner anaweza kucheza kama RB,LB,DM & CM
nadhani usajili wa fabinho tafsiri yake ni kwamba nathyne clyne na emre can wataondoka liverpool, kama liverpool itaongeza wachezaji wengine wanne wenye uwezo wa kuwaondoa wachezaji wa kikosi cha kwanza cha sasa hivi basi mutakuwa na uwezo wa kusimama na real madrid muda wowote.Fabinho Tayari, Mr Mared Cards (Keita) Tayari, Fekir is Loading.......
FEKIR - FABINHO - KEITA
Kama Namuona HENDO anarudi Sunderland hivi!! 😀😀😀
nadhani usajili wa fabinho tafsiri yake ni kwamba nathyne clyne na emre can wataondoka liverpool, kama liverpool itaongeza wachezaji wengine wanne wenye uwezo wa kuwaondoa wachezaji wa kikosi cha kwanza cha sasa hivi basi mutakuwa na uwezo wa kusimama na real madrid muda wowote.
usajili wa fabinho unaonyesha wazi ya kwamba jurgen ameachana na sajili za kipumbavu zilizokuwa zikifanywa na makocha waliopita.
hahahahahahahahahaaaaa hawa makocha wakiingereza wanashangaza sana aina yao ya usajili.
david ngog
danny ings
charlie adams
lalllana
henderson
andy carrol
konchesky
Hakuna cha photoshop hapo mzee, hii comparison waliifanya sky sport kuelekea game yetu na yenu, ile mechi Rashbeck alikalaza na viatu ka TAA.Mkuu Hiyo Kwa 100% Najiridhisha Kuwa Ni Photoshoped!
Karibia Kila Siku Huwa Tunamsifia Degea Ndiyo GK namba Moja Kwa Sasa Duniani! Iweje Kuibuke Comparison Hiyo from Nowhere? Ingelikuwa Huyu Karius Kaidakia Mechi Ya Simba vs Yanga Basi Dar angepasikia tu...
MALAGHANAGHANAFYALE unatakiwa ukubali mpira ni mchezo wa makosa, kila timu ikiwa perfect uwanjani basi tunaweza kushuhudia mechi ikichezwa milele bila mshindi kupatikana.
Golikipa akizembea mnafungwa, beki zikizembea pia mnafungwa, kuna kipindi akina lovren walikua wanafanya makosa yaliyokua yanawapa ushindi wapinzani, mwisho wa siku mnakubali mmefungwa, nini kinakua kigumu kukubali kufungwa kwa makosa ya nyandu tozi karius?
Kumbuka makosa ya mchezaji mmoja mmoja ndio yanaigharimu timu.
kwenye miaka yake 20 ya mafanikio umewahi kujiuliza kwa nini sir alex ferguson hakuwa na mafanikio makubwa kwenye ligi ya mabingwa.Tena Kwa Sasahivi Ukitaka Ukose Mafanikio Basi Chukua Makocha Wanaotoka SCOTLAND, WALES au ENGLAND. Kwakweli Wabritish Kwa Soka la Sasa hivi Hawana Maana Tena na Baada Ya Kustaafu Sir Alex Fergurson Basi Makocha Wa Kibritish Watapotea Katika Ramani Ya Soka na Timu Za Kiiengereza Zitaendela Kufundishwa Na Wageni (Mourinho, Klopp, Guardiola, Pochetino, Conte na Emery).
Tatizo Kubwa la Wabritish Wanafeli Katika Usajili sijui Hata Kwanini!!!!