Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

We jamaa muongo sana akosekane ramos timu iyumbe? Unamfaliji mwenzio vibaya nimekwambia fuatilia key player wangapi hawakucheza gem ya psg kule france urudi hapa
Hahahahaha ni key player wangapi hawakucheza Game ya Juventus kule Spain ukinijibu ni Mimi nitakujibu
 
Punguza hasira mkuu
 


King Ngwaba mbona uonekani kwenye thread yetu? Tunakumiss kule
 
Salah katoka tukasawazosha bao
Salah katoka Mane kawapeleka puta Madrid hata akapiga mwamba!
Liverpool sio team ya mtu mmoja na jana wameonyesha hivyo!
Jana kipa Oblak au hata Allson Madrid hatufungi
Kipa mwehu huyu kawapa ubingwa Madrid wala sio kuumia kwa Salah,tulistahili sisi tuongoze 1-0 na ingebadiri kila kitu kwenye soka
 
Nimeangalia tena hii game
Karius katuweza aisee!
Liverpool beki zimemzimisha CR na Benzema kama Watford tu
Lovren ktk ubora wake wa hali ya juu sana,VVD anacheza mipira ya juu na pembeni ndiyo balaa zaidi!
Hamna lolote la kutisha Madrid jana zaidi ya mabao mawili waliyo pewa kuchukua ubingwa
 
Kwa ulivyomwelezea, benchi linamuhusu world cup
 
Duh.! Hii ni kali ya mwaka
 


I Started Wondering, What Does that mean?
What Does That Signify?
Nonsense as usual!
 


Kipa kafanya makosa kwasababu presha ya game ilikuwa kubwa. Without to underestimate players like Mane and Fermino, Real Madrid were better side than Liverpool, I don't understand why they couldn't score more goals !
 


We jamaa unaongea nonsense as usual. Sasa mchezaji ana 88 touches unasema performance mbovu? He almost touched the ball in every minute of the game. Kama ile ndio performance mbovu, sijui angecheza vizuri ingekuwaje
 
I Started Wondering, What Does that mean?
What Does That Signify?
Nonsense as usual!
Acha ubishi mshikaji kakueleza ukweli,msikalie kujificha kwenye kivuli cha kuumia Salah na goli kipa wenu.Liverpool sio timu ya kuifunga Madrid kwa vyovyote vile na pale mmefika kibahati tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…