Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Nakumbuka siku nilisema/niliponda Mou kujionda dhidi ya Liverpool yenye mido kama Henderson na hao uliowataja VS Herrera,Matic na Pogba mashabiki wa Liverpool wakaniona mjinga na kuisifia sana mido yao.Kwa Nilichokiona Katika Msimu Uliomalizika Wa 2017/18
√ Timu inahitaji Usajili Wa Minimum ya Wachezaji 5 Kwa Two Windows (Summer & Winter)
√ Nafasi Zinazohitajika Kusajiliwa Ni:
• Goal Keeper
• Centre Back (Partner Wa VVD)
• Defensive Midfielder
• Attacking Midfielder
• Striker
* Formation inatulazimu iwe:
New GK
TAA - (New CB) - VVD - ROBBO
Keita - (New DM) - BOBBY
SALAH - (New STRIKER) - MANE
Kwenye Hili Eneo La Midfield Ndiyo Linatakiwa Lifanyiwe Mabadiliko Kwa 100%. Tuweni Wakweli Huwezi Shinda Taji Kwa Mido ya 'GINI - HENDO - MILNER'. Hawa Wote Watatu Wanahitaji Kufanyiwa Mabadiliko.
√ Kuna Wachezaji Ni Lazima Waruhusiwe Kuondoka:
• Lallana
• Mignolet
• Clyne
• Klavan
• Ings
• Origi
• Sturridge
Hapo tutakuwa Angalau Tunaweza Kuonesha Ushindani Wa Kuwa Tuko Tayari Kubeba Silverware.
Lakini Kwa Kikosi Hichi Cha Kuwa Atoke Salah Aingie Lallana,
Atoke Mane Aingie Solanke! Basi Tusidanganyane Hatuwezi Beba Kombe Hata La Ndondo Cup.
√ Pia Hatuwezi Shinda Kombe Kwakumtegemea Salah Pekee.
MY TAKE: NI JAMBO LA AIBU KWA MSHABIKI WA LIVERPOOL KULALAMIKA TUMEFUNGWA KISA KAUMIA SALA! Ridiculous!!!!!
Hili Jukumu letu Kuwa na Back up Ya Kila Mchezaji! Backup Ya Salah Mara Nyingi Huwa Ni Solanke au Ings ambao Hawa Wote Ni Shitholes.
Kwahiyo Tusilete Excuse Yoyote Tunapopoteza Mchezo Bali Tukubali Kuwa Hatupati Mafanikio Kwa Sababu Ya UFINYU WA KIKOSI CHETU (Depth).
Naamini Klopp Atajifunza Na Kufanya Mageuzi.[/I]
Mkuu sidhani kama umenielewa, kwa hapa bongo ushabiki upo wa aina nne n.k 1)kushabikia timu 2)kushabikia mchezaji fulani 3) kushabikia kocha fulani 4) wazee wa kubeti...Hili ni kosa kubwa sana. No wonder Liverpool kafungwa 3-1. Kwa mtazamo wako umeidharirisha Liverpool kwa kiwango cha SGR
Ni Kweli Madrid Walicheza Uzuri as a Team Lakini individually Mchezaji Kama Ronaldo, Kroos Na Modric hawakuwa Na Mchezo Mzuri.
Sasa hapo mkuu nimekuelewa, na sio ushabiki tu wa kipanzani kubeza jitihada zilizofanywa. Kwa uliyoyaeleza ni kweli kabisa, ni jambo la ajabu mchezaji mmoja akiumia timu nzima inakuwa hoi, ninajaribu kufikiri bila VVD kusajiriwa sijui hali ingrkuwaje.Mpira ni dkk90 (normal time). Kwa hiyo kama mchezaji unatakiwa kuwa mchezoni kwa DKK zote mara baada ya kipenga cha kwanza kupulizwa. Usijifiche nyuma ya dkk20 kuamua sura ya mchezo wa Jana. Liverpool wamekuwa na msimu mzuri lakini bado wana safari ndefu kidogo kujenga kikosi bora na imara. Poleni sana.
Kama lalana sio sehemu ya kikosi cha Liver, muacheni kwa nini mnaumiza vichwa kifikiri wakati majibu yako wazi kabisa??Sasa Lalana ni sawa na Salah?
Asante sana kwa uchambuzi mkuu, wengine wanakoment kwa chuki tunimebahatika kuangalia mechi nane za liverpool msimu huu na mechi nne kati ya hizo ni pale walipokutana na timu zinazotoka jiji la manchester.
niwe mkweli mimi ni mshabiki wa manchester united na katika maisha yangu sijawahi kuipenda liverpool lakini napaswa niwapongeze kutokana na jitihada zao walizozionyesha msimu huu na kututoa kimaso maso timu za uingereza kama tunavyofahamu kwa miaka 5 hakuna timu ya uingereza iliofika fainal kwenye michuano ya ligi ya mabingwa.
ujio wa jurgen klopp kama mwalimu wa liverpool umeleta mageuzi makubwa sana kwa klabu hiyo hususan aina ya soka wanalocheza la kumiliki mpira na kutokumpa adui nafasi ya kukaa na mpira kwa muda mrefu lakini udhaifu mkubwa alionao jurgen klopp ni kwamba inaonekana bado anaamini uwezo wa kifedha wa liverpool ni sawa sawa na uwezo wa kifedha wa timu yake ya zamani ya dortmund kwenye soko la usajili.
alipokuwa dortmund alijenga timu nzuri sana lakini tatizo ni kwamba dortmund walikosa back up ya wachezaji wenye uwezo wa kuleta mabadiliko pindi wanapopata nafasi ya kikosi cha kwanza, ukivuta kumbukumbu mpaka msimu wa 2012/2013 ambao dortmund walifika final na hata msimu uliofuata utagundua ya kwamba kilichowarudisha nyuma dortmund ni kutokuwa na wachezaji wa kutosha ambao wana ubora ukilinganisha na wapinzani wao kama bayern munich.
kwenye wachezaji 25 borussia walitegemea zaidi miujiza ya wachezaji 11 ambao ni lewandowski, marco reus, gundogan, gotze, subotic, hummels, weidenfeller, bender, kehl, blaszczykowski, schieber na groskreutz.
inamaana wachezaji 12 waliobakia walikuwa na viwango vya kawaida sana jambo ambalo lilipelekea dortmund kukosa mipango B pindi wanapokutana na timu zenye wachezaji wa viwango vya juu.
nampenda klopp kwa tabia yake ya kutokuacha kumpa nafsi mchezaji mwenye uwezo haijalishi ana umri mdogo, nimekua nikiwaonea wivu liverpool pindi ninapowaona vijana wawili alexander arnold na robertson wanapopata nafasi kwenye kikosi cha kwanza na wakicheza soka la kiwango cha juu sana kuliko hata walinzi wa pembeni wa timu ninayoishabikia, nawashauri liverpool wawape vijana hawa maslahi mazuri ili waondokane na tamaa ya kutaka kuondoka kwenye timu hiyo na hatimae yakatokezea kama ya rahem sterling, ashley cole na kyle walker. kiukweli huyu andrew robertson amenishangaza sana aina yake ya soka analocheza na kunifanya nitafakari hivi huyu beki wetu ashley young anacheza mpira wa aina gani?
andrew robertson hakupaswa kuzaliwa kwenye visiwa vya uingereza.
nimeona andiko la King Ngwaba akilalamika kuhusiana na liverpool kuwa na wachezaji wengi wenye viwango vya chini ukilinganisha na wapinzani wao real madrid, mimi nadhani ugonjwa wa kuwa na average player wengi kwenye kikosi si la liverpool peke yake kwa sababu hata manchester united, chelsea na arsenal pia ugonjwa huu upo na ndio maana msimu huu manchester city akabeba ubingwa kwa tofauti ya pointi 20 dhidi ya wapinzani wake.
liverpool wanahitaji wachezaji watano wenye kuendana na soka la kasi na kumiliki mpira ndipo wataweza kusimama na timu kama real madrid.
pia klabu inapaswa ipunguze wachezaji ambao ni liability ili kuwapa nafasi young player kutoka reserves team.
- mlinzi wa kati ambaye atasaidiana van drjik ambaye ndiye usajili bora wa mwaka huu.
- kiungo wa pembeni ambaye ataongeza ushindani dhidi ya sadio mane, jaribu kufikiria timu ya real madrid wana uwezo wa kumuanzisha bale, isco au asensio na wakapata matokeo mazuri.
- mshambuliaji mwenye uwezo wa kufunga magoli 20 kwa msimu nadhani edin dzeko bado ana uwezo wa kucheza liverpool.
- kiungo mshambuliaji ambaye hajazaliwa uingereza, nakusudia asicheze mpira wa kiingereza ambao ni wa kutokupenda kumiliki mpira.
- nafasi ya goal keeper pia iangaliwe kwa umakini.
ni imani yangu ya kwamba liverpool wamepoteza pambano lakini hawajapoteza vita.
kama kweli tunataka kupambana na real madrid basi makocha wa timu zetu wawe na uono wa kusajili wachezaji mahodari na kuacha kusikiliza porojo za vyombo vya habari vya uingereza za kuwasifikia average player kutoka taifa lao.
aigoooooooo nimeota manchester united tumemsajili andrew robertson
[HASHTAG]#ynwa[/HASHTAG]
Nakumbuka siku nilisema/niliponda Mou kujionda dhidi ya Liverpool yenye mido kama Henderson na hao uliowataja VS Herrera,Matic na Pogba mashabiki wa Liverpool wakaniona mjinga na kuisifia sana mido yao.
Kabla ya game yenu nilijaribu kuvuta picha viungo wenu na wale wa Madrid wala sikupata shida kujua tayari mmepoteza game,nilichokuwa sijui ni idadi ya magoli tu.
Yani hapa kuna Modric+Casamiro+Toni halafu majogoo mna Milner+Henderson+Wijnaldium..ni muujiza gani unaweza kutumika hapo?
Timu za uingereza karibia zote majanga hasa zile top 6 kikosi cha wachezaji 11 kikiwa uwanjani ktk bench zipo takataka tu angalia atletico,barcelona na madrid wanaokaliaga bench hatar tupu muda wowote kocha akifanya sub timu zao zinabadilika.Kwa Nilichokiona Katika Msimu Uliomalizika Wa 2017/18
√ Timu inahitaji Usajili Wa Minimum ya Wachezaji 5 Kwa Two Windows (Summer & Winter)
√ Nafasi Zinazohitajika Kusajiliwa Ni:
• Goal Keeper
• Centre Back (Partner Wa VVD)
• Defensive Midfielder
• Attacking Midfielder
• Striker
* Formation inatulazimu iwe:
New GK
TAA - (New CB) - VVD - ROBBO
Keita - (New DM) - BOBBY
SALAH - (New STRIKER) - MANE
Kwenye Hili Eneo La Midfield Ndiyo Linatakiwa Lifanyiwe Mabadiliko Kwa 100%. Tuweni Wakweli Huwezi Shinda Taji Kwa Mido ya 'GINI - HENDO - MILNER'. Hawa Wote Watatu Wanahitaji Kufanyiwa Mabadiliko.
√ Kuna Wachezaji Ni Lazima Waruhusiwe Kuondoka:
• Lallana
• Mignolet
• Clyne
• Klavan
• Ings
• Origi
• Sturridge
Hapo tutakuwa Angalau Tunaweza Kuonesha Ushindani Wa Kuwa Tuko Tayari Kubeba Silverware.
Lakini Kwa Kikosi Hichi Cha Kuwa Atoke Salah Aingie Lallana,
Atoke Mane Aingie Solanke! Basi Tusidanganyane Hatuwezi Beba Kombe Hata La Ndondo Cup.
√ Pia Hatuwezi Shinda Kombe Kwakumtegemea Salah Pekee.
MY TAKE: NI JAMBO LA AIBU KWA MSHABIKI WA LIVERPOOL KULALAMIKA TUMEFUNGWA KISA KAUMIA SALA! Ridiculous!!!!!
Hili Jukumu letu Kuwa na Back up Ya Kila Mchezaji! Backup Ya Salah Mara Nyingi Huwa Ni Solanke au Ings ambao Hawa Wote Ni Shitholes.
Kwahiyo Tusilete Excuse Yoyote Tunapopoteza Mchezo Bali Tukubali Kuwa Hatupati Mafanikio Kwa Sababu Ya UFINYU WA KIKOSI CHETU (Depth).
Naamini Klopp Atajifunza Na Kufanya Mageuzi.
Kumbe wewe King Ngwaba, aidha ni mbabaishaji au ukuangalia mpira. Hizi hapa chini ndio Luka Modrić's Champions League final stats by numbers:
100% tackles won
94% pass accuracy
88 touches
70 passes
4 take-ons
4 tackles
0 fouls committed
Dictating the play
Usiwe muongo kaangalie gemu waliyomtoa psg wachezaj wangapi hawakuwepo na alikufa nyumbani kwake psg.Ngwaba umepanic sana. Relax kwanza Kaka
Madrid hii Pamoja na kuwa na Top players wengi lakini akikosekana Key player mmoja tu kama Ramos timu ina teteleka tumeona game na Juve timu ilivyo struggle
Barcelona wana quality player wengi lakini mechi ya Roma Messi kapotezwa timu nzima ikapotea
Sallah ndio key player wa timu kwa sasa mipango yote ya ushindi wa timu .Movement za timu kwenye upande wa attack inaanzia kwake
Watu wa namna hii ni kuwapuuza tuUsiwe muongo kaangalie gemu waliyomtoa psg wachezaj wangapi hawakuwepo na alikufa nyumbani kwake psg.
Timu za uingereza karibia zote majanga hasa zile top 6 kikosi cha wachezaji 11 kikiwa uwanjani ktk bench zipo takataka tu angalia atletico,barcelona na madrid wanaokaliaga bench hatar tupu muda wowote kocha akifanya sub timu zao zinabadilika.
Mkuu sidhani kama umenielewa, kwa hapa bongo ushabiki upo wa aina nne n.k 1)kushabikia timu 2)kushabikia mchezaji fulani 3) kushabikia kocha fulani 4) wazee wa kubeti...
Sasa huyu CR7 hapa bongo ana mashabiki lukuki wengine hata Madrid hawana mpango nayo ila kwa Ronaldo hawambii kitu n.k na ukizingatia alikotokea kabla ya kutua pale ndio kabisaaa
utakua umenielewa....
We jamaa muongo sana akosekane ramos timu iyumbe? Unamfaliji mwenzio vibaya nimekwambia fuatilia key player wangapi hawakucheza gem ya psg kule france urudi hapaWatu wa namna hii ni kuwapuuza tu
Kushabikia Mchezaji Bila Ya Kuishabikia Timu ipo hiyo! Hata Mimi Ninaichukia Barcelona Kuliko! Na Kila inapocheza Huwa Naiombea ifungwe! Huitakia Ushindi Pale inapocheza Na Real tu. Lakini Mimi Ni Fan Mkubwa Sana Wa Leonel Messi Na Kila Mwaka Hutaka Achukue Balon D'Or