Sio kupossess, sema Liver walianza mpira presha ikiwa juu sana kutokana na media na mashabiki wao, walitiwa chachu kubwa kwamba wanaweza kufanya lolote kwa Madrid, nilijua hawawezi kwenda vile mpaka mwishoSijajua mpira uliangalia dk ya ngapi, dk za mwanzo Liverpool wali possess kuliko Madrid kutoka mwanzo mpaka salah alipoumia mpira ukabadilika kabisa Madrid wakaanza kutawala na hata wale watangazaji waliliona hili na Waka coment mambo mawili lack of maturity na timu kutokuwa na kiongozi na hata kabla kipindi cha pili, mmoja wa wale wachambuzi aka comment kwamba, liver wamekosa kiongozi na wachezaji wake hawajapevuka na ndicho kilicho wagharimu liver japokuwa walijaribu kuchomoa goli, lkn hawakuwa mchezoni baada ya salah kutoka, wote walipoteana.yaan jana Madrid wamshukuru huyu fala Ramos, ndiye aliyesabisha haya lkn jana Ronaldo, modric, marcelo nk wote walipotea lkn alivyoumia salah, tu hata effect ya marcelo uliiona. Kwa kifupi walioamua mechi ni watu wawili Ramos na marcelo ambao wote jana macho yao yalikuwa kwa salah.
Zidane pia ni kocha bora, amewasoma liver ndani ya dk 30 za mwanzo huwa wana press sana. Hivyo hata Mo Salah angekuwapo, tempo ingeshuka tu baada ya hapo. Na liver ukiwazuia dk 30 au 40 za mwanzo, pumzi hukata.Hata nami ndicho nilichokiona kwa sababu hata Madrid ilikuwa inapanda kushambulia kwa kiasi kidogo sana ila baada ya Salah kutoka ndipo kazi ilipoanzia kwa Madrid.
....wakati uwezo wa kusoma game hana !Alikuwa na pressure ya kuwafunga madrid chap chap
Nakubaliana na wewe kabisa na ndio maana alimwanzisha isco (ili kuneutralize pressure) badala ya baleZidane pia ni kocha bora, amewasoma liver ndani ya dk 30 za mwanzo huwa wana press sana. Hivyo hata Mo Salah angekuwapo, tempo ingeshuka tu baada ya hapo. Na liver ukiwazuia dk 30 au 40 za mwanzo, pumzi hukata.
Wengine chuki tu zimewajaa achana nao mkuu. Timu imefika hadi fainali then wanaibeza wana akili sawasawa kweli hao,Kwani namba mbili nimeandika nini!? Usikurupuke na kujiongelesha kama unataka bwana..
Mkuu sijui unaongea nini, wote tumeona mpira, Real Madrid walikuwa kwenye possession for the entire 90 minutes. Na ndio kosa walilofafanya Liverpool, huwezi kumwacha opponent wako apige mpira saa zote, lazima upoteze game. Kwa hiyo sikubaliani na wewe eti Real Madrid walikuwa wanarukaruka, nilichoona mimi Liverpool walipaki bus, sijui nani alikuwa mshauri wa Klop, Mourinho?
Hicho ulichoongea ndicho nilichokikumbuka jana mkuu pindi Salah anatoka na nilikutumia kama sehemu ya reference kwenye umati. Sina kumbukumbu kama kuna mechi Liver alishinda bila ya Salah kucheza au kuambulia droo baada ya Salah kutolewa (hii siongelei mechi za Liver dhidi ya Stock City au hizi zilizokuwa karibu na mechi za robo na nusu fainali za UCL).Niliwahi Kucomment Mara Nyingi Tu Kuwa Timu Yetu inahitaji Classy Striker wakuweza Kubadilisha Mchezo Kwasababu Tunapomkosa Mo Salah tu Huwa Hatuna Ubunifu Tena Wala Plan B.
Kwasababu Goli la Kwanza la Benzema Ni Kweli Real Hawakulipata Kwa Pressure Yoyote! ilikuwa Ni Zawadi tu.
Lakini Magoli Ya Bale Yote Real Wameyapata Kutokana Na Kutufanyia Pressure Kubwa Kwa Kuwa Muda Mwingi Wapo Golini Kwetu sisi tukiishia Kubutuwa Na Kupoteza Mipira.
Huwezi Kumtoa Mo Salah Kwa Sub Ya Lallana hapa tusidanganyane wala Mtu asilazimishe Kutuaminisha Kuwa Kuumia Mo Salah Hakukua Na Athari! Mwanzoni Nilijaribu Kujiaminisha Kuwa Haina Athari Kwa lengo la Kujishusha Pressure Lakini Ukweli Tumeuona.
Mtazame Firmino baada Ya Kutoka Salah tu Kageuka Mzururaji Kama Panya Rodi.
Tunahitaji Usajili Wa Nguvu Huu Ndiyo Ukweli.
Liverpool uwezo walikuwa nao na walicheza vizuri na kufanikiwa kuwabana Madrid dk 20 na ndio yule muhuni Ramos alitambua hilo na kwa makusudi alimuumiza salah. Hatimaye marcelo akawa free na kama mfuatiliaji wa Madrid marcelo ndio source ya magoli ya Madrid, lkn dk 20 za mwanzo kuanzia casamiro, modric, kroos, Ronaldo hawakuonekana kabisa.Sio kupossess, sema Liver walianza mpira presha ikiwa juu sana kutokana na media na mashabiki wao, walitiwa chachu kubwa kwamba wanaweza kufanya lolote kwa Madrid, nilijua hawawezi kwenda vile mpaka mwisho
Mkuu ukiweka chuki pembeni, kwani Liver kuanza mpira kwa presha ya juu ilianzia jana kwa Madrid??Sio kupossess, sema Liver walianza mpira presha ikiwa juu sana kutokana na media na mashabiki wao, walitiwa chachu kubwa kwamba wanaweza kufanya lolote kwa Madrid, nilijua hawawezi kwenda vile mpaka mwisho
Ni Kweli Madrid Walicheza Uzuri as a Team Lakini individually Mchezaji Kama Ronaldo, Kroos Na Modric hawakuwa Na Mchezo Mzuri.
TV yako ina kilema?
Kabla ya Salah Liverpool was better side uwanjan!Baada ya Salah kuumia ndiyo Madrid wakafufuka!
Mechi imeamriwa na howlers mbili za Karius na si vinginevyo!
Kama unatafuta game ya kuisifia Madrid tafuta mechi ingine sio hii
Timu ya walevi.
Nyie hammpendi kipa mlitaka avunjike mikono kwa kudaka lile shuti. Kosa la mabeki wenu
Hata nami ndicho nilichokiona kwa sababu hata Madrid ilikuwa inapanda kushambulia kwa kiasi kidogo sana ila baada ya Salah kutoka ndipo kazi ilipoanzia kwa Madrid.