wegman
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,470
- 2,095
Taarifa mbaya hii.Liverpool midfielder Alex Oxlade-Chamberlain atarudi uwanjani Mwezi Wa November

Taarifa mbaya hii.
Naunga mkono hojaCountdown..........11 days to go!
Hello hello!!
Fans wenzangu mliomo humu, am really excited kadri tunavyoikaribia the D-day .....26 May (UCL Final LFC vs R Madrid).
So mimi nina wazo kama mtaona linafaa....
Natambua inawezekana wengi wetu wana uwezo wa kukaa ma-home kwao au kwenye joints nyingine na kuangalia hii game, but kwa ajili ya kuienzi timu yetu mimi napendekeza tujumuike kama familia ya LFC kama ifuatavyo:
1. fans kwenye kila mkoa tufanye utaratibu wa kupata open space/yard moja kubwa hivi
2. tufanye mpango wa kupata big screen(s), (z)isimikwe kwenye hiyo open space
3. fans tujumuike hapo kwa wingi tukiwa na jerseys, scarves, flags za klabu yetu
4. yaani kuwe na kimuhemuhe cha kufa mtu. tu recreate atmosphere itakayoshabihiana na ile ya Anfield
Kuna utamu wake katika kushangilia pamoja - au kinyume chake!
If it sounds appealing to all of us, tupendekeze coordinator(s) kwa ajili ya maandalizi (costs, etc). mimi naanza kwa kumpendekeza maestro King Ngwaba kama chief coordinator.
Angalizo: unless mtu binafsi atapenda mwenyewe, hakutakuwa na utambulisho wa washiriki - iwe kwa majina halisi au hizi ID's zetu humu JF.
Countdown..........11 days to go!

Wazo Zuri lakini Kwasasa Nipo Chuoni (University) somewhere so, kuoganaizi na fellow Fans inakuwa Shida Cuz Hata Roommates wezangu wote Ni Manures.
Mkuu bado zile Banda zako na GPA nazifanyia tathimini ilitakiwa ubakizwe chuoni aisee...Kelele nyingi kumbe bado Undergraduate, fala
Kelele nyingi kumbe bado Undergraduate, fala
Kurudi shule ni jambo zuri sana!Acha ujinga Mimi Sio Fresh From School na Wala si Mtoto Kama unavyodhani. Nilimaliza Advance tokea 2004 Bali Niliona Bora Kazi Kuliko Chuo Kwa Kipindi hicho.
Kurudi shule ni jambo zuri sana!
2004 mm ndiyo namaliza Bachelor yangu
Kumbe wewe ni dogo sana lkn mchambuzi mzuri wa soka!
Kurudi shule ukiwa na mimvi changamoto sana, unaenda kukaa room moja na vitoto vilivyotoka kubalehe juzi.
Jamaa kwa makadirio ana miaka 35.
Kusoma chuo ukiwa Mzee kuna mawili.
Either uwe kichwa sana.
Ama uwe bogus sana.
Wazee wengi wanaorudi kusoma undergraduate shule zinawashindaga. Nawaonaga pale CoET.
Labda awe anasoma makozi ya Linguistic vyuo vya Open University na SAUT hapo sawa.
Anorld ndani ya WC
Unajisahau, Mipango sio matumizi mkuu.Tunampiga Madrid
Tuna sajili watatu wapya wa maana
Keita anakuja
Emre Can the traitor anaondoka
Tunachukua EPL
What an achievement?
Kuishi kwa ndoto ni muhimu kuna muda hutimia ndoto huwa kweliTunampiga Madrid
Tuna sajili watatu wapya wa maana
Keita anakuja
Emre Can the traitor anaondoka
Tunachukua EPL
What an achievement?
countdown....6.5 days to go.Countdown..........11 days to go!