Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

James Milner injury latest as Liverpool midfielder misses out two weeks ahead of Champions League final
 
Ligi Leo imeisha! Nilichogundua:

Kama Timu haitofanya Usajili Kwa CENTRE BACK, MIDFIELD na MSHAMBULIAJI basi Hata Akija Naby Keita, Mwakani Tusubiri tena Kugombania TOP FOUR lakini tusitegemee Kubeba EPL, Kwa Kikosi Hichi Cha Wachezaji Hawa Hatuna Timu Ya Kubeba EPL.

Kwanini Nimetaja Mshambuliaji Wakati Tuna Mane, Salah na Bobby??

Ukweli Ni Kwamba Katika Michezo Yetu Minne iliyopita (vs Everton, WBA, Roma na Stoke) ambayo Salah Hakuwa Katika Performance Nzuri na Haluweza Kufunga Basi Hatujashinda Yote...
So, Kumbe Salah akimiss Michezo isiyozidi Minne Kwa injury basi Ni Problem Kubwa Kwani Waliobakia Ubunifu Wao Ni Mdogo.

So, Ni Lazima Tupate Striker Mbunifu Wa Kutoa Ushindi from Nowhere.

Kwasasa Tujipongezeni Kuwa Angalau Tumepata Nafasi Ya Kucheza UCL next Season! ILA TUKUMBUKE KUWA, UKWELI USIOFICHIKA NI KWAMBA TROPHY = 0..
KWAHIYO BADO HATUJAPATA MAFANIKIO YOYOTE MPAKA SASA KWANI KUJISIFU KUWA LIVERPOOL IMESHAPATA MAFANIKIO KWA KUKAMATA NAFASI YA NNE NI MEANINGLESS. TUSUBIRI FAINALI YA CL IWAPO TUTABEBA KOMBE BASI HAPO NDIYO TUTAANZA KUHESABU MAFANIKIO KWANI MAFANIKIO NI MAKOMBE TU NA SI NAFASI YA NNE.
umenena vyema mkuu,pambaneni kwelikweli
 
Hatuhitaji wote hao kuchukua EPL mwakani bali tunahitaji OX na Lallana wawe wazima kisha aje Keita na beki wa kati tu kucheza na VVD!
Team ilifanya vibaya sababu ya final ya UCL,mechi na WBA na Stoke ziliangukia katikati ya final ya UCL!
Team hii inachukua EPL bila wasi wasi wowote ule na usajili mpya mmoja tu wa beki wa kati na uzima
wa akina OX
 
mkuu Lallana nadhani huyu awe super sub ila sio kumtegemea kwa mechi kama za msimu huu vs Swansea, Vs Everton, Vs Stoke, Vs Westbrom na Vs Manure Utd....Klopp inabidi aingie sokoni kupata striker mmoja,kiungo mkabaji na beki pia maana Matip na Lovren sio salama sana msimu mzima
 
LIVERPOOL PLAYER RATINGS

Loris Karius 7

Looked snazzy and bright in his lovely new yellow goalkeeper kit. Touched the ball a few times.
 
Trent Alexander-Arnold 8

Raided forward at will down the right, had a storming time and did his bit defensively. What a first full Premier League season for the youngster.
 
Virgil van Dijk 7

One pass early on to Alexander-Arnold had the crowd purring, but there were hearts in mouths when he later went down holding his back. The big Dutchman recovered and cruised through this.
 
Dejan Lovren 8

Well up for this one, crunched into tackles, read the game well and emphatically powered in his header for Liverpool's second. His partnership with Van Dijk grows.
 
Andy Robertson 8

As ever, a willing outlet down the left and delivered the cross for Lovren's header. Was still busting a gut in the closing stages and thoroughly deserved his goal.
 
Jordan Henderson 8

Dominated midfield and dictated play, particularly during the opening quarter as the Reds probed for the opener. Has really stepped it up during the business end of the season.
 
Gini Wijnaldum 7

Kept things ticking over in midfield and even found chance to burst forward for one chance that Ryan held. All about maintaining momentum for Kiev, this.
 
Roberto Firmino 7

Played in a slightly deeper role behind Solanke, wasn't involved quite as much as usual but still showed some clever touches and sent two fine opportunities over the crossbar. Replaced late on.
 
Mohamed Salah 9

Marked tightly but still able to wriggle clear, and could have had a penalty before slotting home his record-breaking strike. Missed another great chance, set up Solanke's goal and was a bit gutted to be substituted.
 
Sadio Mane 7

A strange old game for the Senegalese, who was playing through an injury. His movement was brilliant but some of his decision-making rather less so. Shot when he should have passed, passed when he should have shot. Saving it for Real Madrid.
 
Dominic Solanke 7

The first half was a matter of what might have been, so willing and close to clicking in with his team-mates. But that thunderous goal, his first for the club, will have lifted such a weight off his shoulders.
 
Hatuhitaji wote hao kuchukua EPL mwakani bali tunahitaji OX na Lallana wawe wazima kisha aje Keita na beki wa kati tu kucheza na VVD!
Team ilifanya vibaya sababu ya final ya UCL,mechi na WBA na Stoke ziliangukia katikati ya final ya UCL!
Team hii inachukua EPL bila wasi wasi wowote ule na usajili mpya mmoja tu wa beki wa kati na uzima
wa akina OX

Umeongea Vyema!
Ila Lallana Ni 30years halafu Ni injury prone Kama Sturridge! Hawezi Kutimiza Hata Mechi 10 za EPL Kwa Msimu Mzima wakati swala la Kuwa atapona Ni gumu kwake.
Hapo tuombe Emre Can asaini Mkataba Mpya tu ili tupate Can-Keita-Ox huenda ikamake sense.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom