Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,895
- 11,288
Kama kucheza UCL final ni ndoto yaa napenda sana aina hii ya ndoto!Kuishi kwa ndoto ni muhimu kuna muda hutimia ndoto huwa kweli
Nampiga Madrid nachukua UCL
Kama kucheza UCL final ni ndoto yaa napenda sana aina hii ya ndoto!Kuishi kwa ndoto ni muhimu kuna muda hutimia ndoto huwa kweli
I heard, it is almost 90% ya yeye kutua Anfield.After final tutajua.Fakir loading..........................
Jordan Henderson claims leaving Liverpool was “never an option” for him❌![]()
How important is the midfielder to Jurgen Klopp and his team?
![]()
Ili Kuthibitisha Kuwa Duniani Kuna Kitu Kinaitwa 'Bahati' basi Ni Huyu Henderson, Fellaini na Zappacosta ndiyo Watu Waliobahatika Katika Mpira Kwani Hawana Sifa Yoyote Ya Kucheza Timu za Top 6 isipokuwa Bahati tu imewabeba ila ukweli usiopingika Ni Kuwa Hawa Ni Wachezaji Wa Midtable Teams.
Kwahiyo Huyu Hendo Lazima Aseme Hivyo Kuwa Hana Mpango Wa Kuhama Liverpool Kwani Anajuwa Wazi Kuwa Ukitoa Liverpool Hakuna Timu Yoyote inayomtaka! Kwahiyo akiamua Kuhama Ataangukia Kwakina West Hama na Bournemouth ndiyomana anang'ang'ania Liverpool.
Tunaanza kuwashambulia tena wachezaji wetu walio pambana kutufikisha Kiev?Hao mnao waona bora zaidi ya Hendo wapo Kiev?
By the way,Hendo anapewa jezi na kocha Klopp anayejua soccer management kuliko mtu yyt hapa na hata hatupo close kumfikia!
Capt Hendo ni kiungo bora kabisa wa soka duniani kwa sasa na kaiongoza team yake kucheza final Kiev
Period!!
Robo ndiye beki hodari wa kushoto EPL as we speak now,nani alijua Robo ata perfom hivi?Kila Nikiangalia Dalili Za Usajili Kwa Timu Ya ARSENAL, CHELSEA, SPURS, MAN UNITED NA LIVERPOOL! Basi Tuna Safari Ndefu Kumkamata Man City Next Season!!
Yani City Timu yote Aliyonayo Basi Muarabu Anammiminia Mkwanja Mrefu Pep Guardiola Kuzidi Kuimarisha Timu Kiasi Ya Kwamba Hata Yule Fundi Joginho Tuliyekuwa Tunagombeana Na Man United Pep Ameshatia Mguu kati!!!
Mwakani Man City Anamaliza Kazi Mapema Kuliko Mara hii!
[HASHTAG]#FSG[/HASHTAG] lazima Waingie Sokoni Kikamilikamili Kuimarisha Timu at least Three areas Ndiyo tutaweza Angalau Kuonesha Ushindani Kwa Man City.