Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama mpira ndio hivyo mngekuwa mnawafunga kila siku,ujui mpira mkuu

Liverpool ya 2005 ilienda kuchukua uefa na ilikuwa mbovu hivyo hivyo na kwenye ligi ikashika nafasi ya 5,lakini uefa kachukua
wewe usifananishe liva ya 2005 na ya sasa.

Liva ya sasa ina wachezaji ambayo wazuri lakini sio wapambanaji.

2005 liva ilikuwa na kikosi kibovu lakini kilikuwa na wapambanaji wa ukweli.

Refer chelsea iliyobeba uefa pale Arena.

Hivyo usifananishe liva ya sasa ambayo inategemea wachezaji wawili, ambao wakipotezwa tu basi timu nzima inapotea.

Pia kumbuka Madrid huwa hana cha kupoteza akiwa fainali.
 
Wewe Jamaa historia haisaidii chochote kwa sasa. Na wala hakuna anayefuatilia historia. Au unadhani itazuia msifungwe?

Wewe baki na history zako ...Madrid yeye atabaki na kombe!
 
Bado Halijatick na Hakuna Chochote Kilichoelezwa Kutoka Kwa Wahusika Bali Kila Upande Umekanusha Taarifa Za Kufanya Makubaliano! Ni Rumours tu.....

Kama Kuna Mazungumzo Yoyote Yanaendelea basi Ni Undisclosed mpaka sasa.


Ila Klopp alikuwa anamfukuzia?
 
So mess na b wako Ronaldo wamechukua nn mwaka huu?
 
Oooh, kumbe ukicheza na Salah basi kazi ndio imeisha!! Sasa Casemiro atacheza nae hata akienda kunywa maji, atamsindikiza kisha kina Modric na Kros watachezesha timu!
Mechi imeshaisha!!
.....tafuta maji unywe basii !
 
"Liverpool will pay around £52.75million for Naby Keita after RB Leipzig miss out on Champions League qualification"
 
Liverpool XI:
Karius
Alexander-Arnold
Lovren
Van Dijk
Robertson
Henderson
Wijnaldum
Mane
Salah
Firmino
Solanke


Substitutes:
Mignolet
Clyne
Klavan
Moreno
Lallana
Ings
Woodburn


Leo Sadio Mane atakuwepo Katika Midfield area badala Ya Front three ambao Kwa Leo Ni Mo-Dom-Bobby
 
@MoSalah This Season:

PL POTY
Football Writers' POTY
PFA POTY
Liverpool POTY
African POTY
Arab POTY
⚽ PL Top Scorer

Liverpool POTM
PFA POTM
PL POTM
UCL POTM

The Egyptian King
 
Mohamed Salah has won 33 individual accolades during his first season at Anfield. Unreal.
 
Final. Day. Of. The. Season.

Arsene Wenger
Michael Carrick
Per Mertesacker
Angel Rangel
Robert Huth

Plenty more farewells to be had...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…