Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Just thinking aloud....Nimesikia kuwa Yaya Toure anaondoka city mwisho wa msimu.For the sake ya kuongeza depth kwenye kiungo nilifikiri kama akija inaweza kuwa nzuri.....au?
What do you think?
.....mgonjwa wewe !Mimi ni mwanamichezo wewe, usinichagulie jukwaa. Hata jukwaa la leicester nachangia kule. Usiwe one dimensional sana kisa wewe ni liver, mbona unaonyesha utoto, liver fans wengi ni watu wazima na wanaojitambua, nakushangaa wewe kufura mwanamichezo mwingine kuwa jukwaa la liver.
Na pia, liver siichukii. Ni kwamba kwa msimu huu na pia hata walipolikosa kosa kombe la epl pale gerrard alipojikwaa, mashabiki wa liver huwa ni kero hivyo nami huwa nakuwa dhidi ya hao mashabiki na sio timu yenyewe.
Records of real Madrid in UCL
3.Tangu kubadilishwa jina kutoka European cup na kuitwa Uefa champions league,Real Madrid ni timu pekee katika timu zilizoingia zaidi ya Mara moja fainali kutopoteza mechi ya fainali
Real Madrid :final 6 win 6
Barca :final 5 win 4
Ac Milan :final 4 win 3
Bayern Munich : Final 5 win 2
Man united :final 4 win 2
Juventus : final 6 win 1
Liverpool :final 2 win 1
Ajax :final 2 win 1
Nb: kesho tutaendelea na record zingine .halla madrid
Records of real Madrid in UCL
3.Tangu kubadilishwa jina kutoka European cup na kuitwa Uefa champions league,Real Madrid ni timu pekee katika timu zilizoingia zaidi ya Mara moja fainali kutopoteza mechi ya fainali
Real Madrid :final 6 win 6
Barca :final 5 win 4
Ac Milan :final 4 win 3
Bayern Munich : Final 5 win 2
Man united :final 4 win 2
Juventus : final 6 win 1
Liverpool :final 2 win 1
Ajax :final 2 win 1
Nb: kesho tutaendelea na record zingine .halla madrid
Usikimbie tuLeo nakupiga tatu.
Leo nakupiga tatu.
Mkuu unamaanisha unachokisema????Kikosi kizuri sana alichopanga Klopp kwa leo. Klavan namkubali sana pamoja na Clyne. Nina mashaka na absence ya Mane, nahisi Chelsea watapanda sana sababu ya pengo la Mane
Mane hachezi leo? DuuuKikosi kizuri sana alichopanga Klopp kwa leo. Klavan namkubali sana pamoja na Clyne. Nina mashaka na absence ya Mane, nahisi Chelsea watapanda sana sababu ya pengo la Mane
Mkuu unamaanisha unachokisema????
Mkuu kama unakumbuka ile mechi ya Round ya pili na Tottenham alipopigwa tu Sub Mane basi Tootenham wakapanda sana na lau isingekuwa Jitihada binafsi za Salah Tungepigwa licha ya kuwa Anfield