Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,882
- 10,193
Defoe si ndio Muingereza mwenyewe! FA inawalinda sana wachezaji wa Kiingereza. Mtu kama Joe Barton pamoja na fujo zote walikuwa hawamfanyi kitu hafi hii mara ya mwisho walipomfungia, au kwa kesi ya John Terry na Suarez zilikuwa na tofauti gani? ila angalia adhabu zilikuwa tofauti kabisa!
Barton alifungiwa game 12,RIO alifungiwa miezi 8 kwa kukosa kupima drug test.Kumbuka Suarez alishamng'ata mchezaji mwenzake huko AJAX na alifungiwa mechi 7,cha msingi ni klabu kumsaidia SUAREZ kwani anaonekana ana matatizo