Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naam ni wachache sana tuliokuelewa...
 
Ndo maana nimesema, Roma akijipendekeza kucheza mpira na kwa speed ili ashinde, basi, ndo atakufa kifo kibaya sana. Keep these my words brother .
mkuu embu niambie roma na barcelona ..mpira wa barca na liver una tofauti ipi, na formation ipi walitumia roma kumuua barca kwa 3 -0 na kumtoa japo walifungwa mechi ya kwanza..je hio formation hawawezi kuitumia hio hio kumuua liverpool kama ina cheza formation sawa na barca..?
 
Ndo maana nimesema, Roma akijipendekeza kucheza mpira na kwa speed ili ashinde, basi, ndo atakufa kifo kibaya sana. Keep these my words brother .
 
sawa sawa nmeuliza technically wala sio ushabiki
 
Kuna mashabiki walisema Liverpool Hachomoi kwa Man city Alivyopita sasa....Wakasema Hachomoi Kwa Roma Wameshinda wanasema Hachomoki kule Roma na wanapanga matokeo kabisaaa (3-0)...Hapo hapo kuna wengine wanasema...sawa ila fainali hachukui kombe....Sasa mwisho wa siku naamini hata wakichukua.....WATASEMA KOMBE HILO HALIFIKI ANFIELD.....SIJUI LITAPOTEAAAAAA........
 
Uko sahihi kwa maana mpira hauna adabu, na matokeo pia hayana adabu. Siongei kishabiki, naongea kiuhalisia, matokeo yoyote yanaweza kutokea, lakini swala la msingi ni kuwa, Roma asiruhusu Liverpool wakacheza mpira. Na yeye pia asicheze mpira kwa maana ya kutaka kurudisha zile goli na kupata ushindi, la hasha. Anachotakiwa kufanya Roma ni kucheza kama ameridhika na matokeo, kwa maana hiyo sasa, atawahadaa Liverpool na kisha kufanya mashambulizi ya kushtukiza. Rejea mechi alizofungwa Liver hasa ya Man U. Lakini Roma akianza na pressure, unajua mwenyewe Liver ndo mzee wa pressure. Keep these words.
 

Ndio wametumia jana wamefungwa hizo goli 5,

Roma out,roma ashinde kwa game plan ipi mkuu?

Roma alienda Anfield kushinda ,katumia plan aliyomfungia Barca akajua atapata matokeo.

Mashabiki ndio waonasema matokeo yatabadilika ila wakina dzeko mpira umeisha wanasikitika Maana hawana uhakika kwa Liverpool kama watapata matokeo wanayoyataka kule Italy,

Roma anashinda Italy kwa game plan ipi?

Klopp ni master class coach ,ukitawala kipindi cha kwanza cha pili anabadilika,hauwezi kutalawa vipindi vyote vya mchezo .

Roma akwenda Anfield kufungwa alienda kushinda ila ndio hivyo Liverpool wako vizuri,

Game ya kwanza roma na Barca,Roma magoli mawili walijifunga na kama uliangalia mechi Roma walikosa magoli wengi sana ya wazi,hiyo tu ilikuwa inatosha kuipa ushindi mechi ya marudiano.
 
Hahahahaha
 
technically answered wakuu shukrani
 

Barca walifunga goli 2 (2 jamaa walijidunga), Liverpool kafunga 5.

Liverpool ina Sadio Mane, Salah na Firmino, Barca wana Messi.
 
Jana walicheza hivyo ndo wamepigwa tano inabidi watumie mbinu ya kuitoa liver sio ile waliotumia tutawaongeza

Muhimu wachezaji wabaki salama mana hatuna m badala kwa atakae umia
 
Liverpool Kiev moja kwa moja anaye tufananisha na Barcelona ni MPUUUZI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu tuangalie na upande wa wachezaji hatuna waziada ikitokea la kutokea.

Tuombe salama tufike kunako stahili
 
Hongereni sana watani Jana mlikuwa motooo ila mmeniudhi kuruhusu hayo magoli mawili, watch out Roma wana roho ya Paka wasije kuwafyeka!!
Habali za masiku shemdarling.

Naamini walikusudia kufanya maajabu ya kutufunga pale na ndo mana walikuja mazima kwa mbinu zile walizo mtoa barca wameshindwa tayari.

Wanaweza kama tutapata upungufu wa wacheziji mana hilo tatizo letu kubwa

Mfano umeona alivyotoka Salah tu ikawa nafasi kwao kushambulia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…