Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
siwapendi kabisa hao mashabiki wanaotuombea mabaya sijui ni kiherehere gani kinawaleta huku watu mmekaribishwa humu bado mnajifanya wajuaji kwann msiende kwenye majukwaa ya timu zenu
6th May nakutaka Liverpool nkupge nyng tyu
Safari hii tutamtegemea Mungu zaidi...Babu, kikosi cha aidha Bayern munich ama Real Madrid ni hatari sana....ni ngumu kuamini kuwa mtachukua kombe mbele yao.
Kingine mistake kubwa ya kocha wenu ipo kwenye Kumake substitution.
Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app
God forbid!Wasije tu wakajisahau wakawawanashambulia tu.nyuma wakaacha kuzuia
Hicho ndio chakuzuia wasipate goli mapema Maana mechi na barca walipata goli dak2 likawapa nguvu hilo.
Pole sana!FT:
Losefool 0 Roma 2
Dzeko
Elshaarawy
Dzeko atakosa penat
Chezaji moja la liva litapewa redcard
Yaani Salah saizi ni mfalme wa Liverpool...!Liverpudlians wamenichekesha sana sio kwa sifa hizo kwenye wimbo waliomwimbia Salah