Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

LEO NJIA NYEUPE TUNASHINDA 2 BILA!!!!!!!

Mbili chache sema tatu mzee!

Sema kibarua kigumu maana Roma waliweza kuiangamiza midfield ya Barca yenye Busquets na Iniesta sasa sijui itakuwa vipi leo kwa midfield ya kina Milner
 
Liverpool Katika Michezo Yake 9 iliyopita Ya Semi-Final Ya [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] :

√ Imeshinda Michezo 7
√ Imetoka Sare Michezo 2
√ Haijapoteza Hata Mchezo Mmoja

• Imeshinda Mchezo 3 Katika First Leg
• Imetoka Sare Mchezo 2 Katika First Leg
• Haijawahi Kupoteza Mchezo Katika First Leg

• Imeshinda Mchezo 4 Katika Second Leg
• Haijawahi Kutoka Sare Katika Second Leg
• Haijawahi Kupoteza Mchezo Katika Second Leg

IMG_20180424_124632.jpg
 
Leo Tupo Uwanjani Tunakipiga Na Roma!
Wengi Kati Yetu [HASHTAG]#Scousers[/HASHTAG] Wameshaamini Kuwa Tayari Tumeshamaliza Ligi na Tunabeba Kombe!
Lakini Mimi Mwenzenu Mawazo Yangu Ni Tofauti! Ninachoamini Mimi Kazi Hasa Ndiyo inataka Kuanza na Kwenye Mpira lolote laweza Kutokea pale usipopatarajia.
Kwahiyo siwezi kurelax Kwa Kutegemea Roma Tutamgonga Fasta na Final Tutapiga Mtu Kiulaini ili Tubebe Kombe Kibwegebwege.

Its too Early Kujiproud Kwa Ubingwa Kwasasa! Wacha Niangalie Upepo Unavovuma Kwani Klopp Ana Rekodi Mbaya Zaidi Ya Kupoteza Fainali.
 
Record inavunjwa, hatapoteza akiwa Liverpool
 
Mkuu kwa game ya Liverpool na Roma hii match ya kwanza ni ngumu kujua nani anafungwa .

Kwa walipo toka huko hizi timu inakuwa ngumu kusema nani anapoteza,watu wanashindwa kupima uwezo.

Hii inatokana kwamba hizi timu zote mbili watu walikuwa wanazichukulia poa,ila ndio hivyo zimetinga hapo nusu fainali nakuzitoa timu zilizokuwa zinaaminika ni kubwa.

Ila mtazamo wangu mimi Liverpool tunashinda leo bila wasiwasi .vijana wanacheza kwa morali ya hali ya juu sana.

Game za roma nilibahatika kuziona game ya kwanza na shaktah donesk walifungwa roma 2-1,wakaja kupindua matokeo Italy wakashinda goli moja lililofungwa na dzeko

Mechi iliyofuata ilikuwa na barca hii niliiona yote barca alishinda 4-1,walivyokuja Barca Italy jamaa wakapindua matokeo wakashinda 3-0,

Nilichokiona kwenye mechi za roma wanatumia sana mipira mirefu wakiwa wanaitaji matokeo ,mfano wa mechi ya barca ya pili kuanza tu mchezo mtu katoka pass ya goli yupo katikati ya uwanja yanii kwenye ule mshari wa kati piga hatua moja kuelekea golini kwa barca.

wachezaji wa roma wenyewe wanatuogopa walikuwa wanataka tusikutane nao Maana wakikutana na sisi wanajua safari yao imeishia hapo

Gary Mcallister alipohojiwa na hata management yote ya Liverpool wanakuwa wanawachukulia Roma kama timu kubwa sana wanakuambia wamewatoa barca sio timu ndogo kwa hiyo najua kabisa leo tunaingia uwanjani tukijua tunacheza na timu kubwa
 
Mkuu Joginho tumeshanyang'anywa na man city deal are closing

Hamna! Ni Rumours tu Hizo Lakini Bado Hajakaribia Kufunga Dili lolote na Man City.

Anaripoti Sam Carroll Wa Liverpool Echo: Napoli midfielder Jorginho was linked with a move to Manchester City earlier this morning on these very pages, and his agent has further fuelled speculation by hinting several clubs are interested in his client.

Joao Santos was appearing on Radio Marte this afternoon, and while I was listening in, he said: “We’ll talk about it at the end of the season, not least because there are four games to go and we don’t want to disturb anything right now.

“Given the way Jorginho has played this season, and his work with the Italian national team, it’s normal that there are important teams following him.

“But if I speak with four or five teams who like Jorginho, that doesn’t mean anything is done or that he’ll leave.”

Talk about a come and get me plea!
 
FT:

Losefool 0 Roma 2

Dzeko
Elshaarawy

Dzeko atakosa penat

Chezaji moja la liva litapewa redcard
 
Mbili chache sema tatu mzee!

Sema kibarua kigumu maana Roma waliweza kuiangamiza midfield ya Barca yenye Busquets na Iniesta sasa sijui itakuwa vipi leo kwa midfield ya kina Milner
Ha ha ha leo tunawatuliza tu na miguvu guvu yao!!!!!!!
 
Confirmed Liverpool Line Up: Start: Karius, Alexander-Arnold, Lovren, Van Dijk, Robertson, Milner, Henderson, Oxlade-Chamberlain, Mane, Salah, Firmino.

Subs: Mignolet, Clyne, Wijnaldum, Klavan, Moreno, Ings, Solanke.
 
Kikosi Kiko Poa ingawa Kwenye Midfield area Binge prefer Zaidi Gini Kuliko Milner.
AOC yuko Poa na inaonesha Wazi Kuwa Ameshajijengea Trust Kwa Klopp.

[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
[HASHTAG]#UshindiNdioDNAyetu[/HASHTAG]
 
Tetesi Zipo Kweli Kuwa Scouts Wa Liverpool Wanafatilia Progress ya Midfielders [HASHTAG]#Maddison[/HASHTAG] na Yule [HASHTAG]#Neves[/HASHTAG] Wa Wolverhampton.

Lakini Target Kubwa ipo Kwa Joginho na Yule Wa Real mwenye Jina gumu.
huyu Jorgino itakua mnada maana Manchester zote pia zinamtaka....Neves n Maddison vipajo vipo japo sasa ku.perfom week in week out wakiwa timu kubwa kama Liverpool.ndio.shindaaa....In Kloop we trust
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom