Klop kaniudhi sana kumtoa Salah... dah... haya mataliano hayachelewi kutufanya yalichomfanyia Barca... too bad!
Upo mkuu?utabiri wako nauaminia mkuu.
in Klopp we trust, hii ni semifinal Roma wamejitahidi uwezo wao umeishia pale, hapa ni Klopp kujipanga kuwatuliza hawa Roma kwao design ileee ya Porto..Sabu Ya Salah ilikuwa ifanyike after 85min lakini Klopp alijiamini Sana.
By the way Tukutane Kiev Kwani Klopp si Mjinga Wa Kutojipanga.
Ndicho ambacho kinachonipa uhakika hata nami kwamba Liver akose kabisa goli hata kwao si rahisi na mbaya zaidi hata ugenini Liver anashinda.Ninachomkubali Liverpool hana cha ugenini wala nyumbani kuna watu walitabiri mapema kabisa kwamba Roma atawafunga magoli ya kutosha lkn Leo imekuwa tofauti!!!!
Naamini kabisa kilichomkuta man city ndo kitakachomkuta Roma nyumbani kwao!.klopp siyo mjinga mtamtambua vizuri siku yenyewe.
I have a dream.
May your dream come true...Huwezi kuelewa lengo la kocha hapo kama angeendelea kucheza yangeweza kumfanyia rafu ili akose mechi ijayo,amini nakwambia Liverpool tunavuka mpaka fainali kiulaini kabisa
I have a dream.
Nahofia yasitokee yaliyoitokea Barca. Tatu bila, we are done... just like that!Mkuu Liverpool inasafu nzuri ya ushambuliaji mkuu Usijali roma lazima atoke tu,lazima tu score tu
nimejaa kama pishi la mchele mkuu. Mane wako katumbukiza kitu!Upo mkuu?
Yani wewe bado hujaifahamu AC Roma tu hahaha ..subiri utajuta kukutana nao.
Bado nina gemu moja na wewe. Jiandae
Barca ilikuwaje mkuu??? Hii mijamaa ikiwa kwao usii-underestimate kabisa.Haha dah wachawi awaiishi yani tupate bao 5 tukose goli la ugeninini labda sio liva hii[emoji119][emoji119]
Tunatoboa mkuu,fainali inaweza kuwa kati ya liver na Bayern,Ndicho ambacho kinachonipa uhakika hata nami kwamba Liver akose kabisa goli hata kwao si rahisi na mbaya zaidi hata ugenini Liver anashinda.
Potelea mbali akose mechi ijayo lakini tuwe tumewatandika 7. Nilikuwa naamini kabisa leo Salah alikuwa aondoke na mpira wake mbele ya timu yake ya zamani.Huwezi kuelewa lengo la kocha hapo kama angeendelea kucheza yangeweza kumfanyia rafu ili akose mechi ijayo,amini nakwambia Liverpool tunavuka mpaka fainali kiulaini kabisa
I have a dream.
Roma anafungika kwao kirahisi halafu atapanic atafungwa nyingi zaid kwaonimejaa kama pishi la mchele mkuu. Mane wako katumbukiza kitu!
tushaenda Kiev mkuu. Roma hata kwake tutampiga tu inaonekana.
Pamoja na kwamba hatutakiwi kudharau lakini kwangu sikuwahi kufikiri kama Barca ni timu tishio kwa Liver.Barca ilikuwaje mkuu??? Hii mijamaa ikiwa kwao usii-underestimate kabisa.
Hata hapa wachawi wapo..wanazungka tu angan...WASHASHINDWA LIVERPOOL THE CHAMPSHaha dah wachawi awaiishi yani tupate bao 5 tukose goli la ugeninini labda sio liva hii[emoji119][emoji119]
Hivi Kwanini Watu Wengi Wameifanya BARCELONA Kuwa Ndiyo Reference Ya [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] Kwa Timu Yetu? Huyu Barcelona Kaanza Lini Kuwa Role Model Wetu?
Acheni Kuifananisha Liverpool na Vitu Vya Kijinga.
Sisi Hatuangalii 2nd Leg Bali Tunachoangalia Final tutakutana nani!!!!!
Barca sio Liver mkuu, Lazima tutatumbukiza na kwaoBarca ilikuwaje mkuu??? Hii mijamaa ikiwa kwao usii-underestimate kabisa.
Naomba ufafanuzi kidogo mkuu how is it disadvantage kwa Roma??Roma baada ya kuwatoa Barca kila mmoja anajua uwezo wao, Liverpool anaenda kule akijua jamaa ni wakali.
So hii ni disadvantage kwa Roma.