Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
keep dreaming bro, we are going to Kiev for the final...hapana chezea the mighty Reds Champions league babu....ofcz wengi ambao ni Ganaz,Manure,Manshit,Chelsink n.k mnatuombea njaa ila tunapambana na yetu.........A typical english man (ingawa ni Mtz), very optimistic but always comes down crashing!!
Poa bhana, tutatafutana yawezekana hata maada ya mechi ya Roma.
Hapo tutapata a minimum of 8 points...!MY PREDICTION
Gemu zetu 4 za [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] zilizobakia ni:-
4) √ WBA (A)
3) √ Stoke (H)
2) √ Chelsea (A)
1) √ Brighton (H)
Home (H) Ni 2 na Away (A) Ni 2.
Iwapo Tutashinda Mechi Zote 2 za Home na Kujikusanyia Points 6, na Katika Michezo 2 Ya Away Tukapoteza michezo yote 2 (WBA & Chelshit) basi Tutajikusanyia Points 6 Katika Hiyo Michezo 4.
Ukijumlisha Hizo Points 6 na 70 tulizonazo basi Tutapata Jumla ya Points 76.
POINTS 76 TAYARI TUTAKUWA TUMESHAMALIZA LIGI MSIMU HUU
Typical hater.... Umebakiza Kuota mapembe na mkia tu......A typical english man (ingawa ni Mtz), very optimistic but always comes down crashing!!
Poa bhana, tutatafutana yawezekana hata maada ya mechi ya Roma.
Loading...The ultimate prize
The most prestigious club level crown
UCL
...and he might surpass them as well coz kwenye league bado gemu nne halafu kwenye UCL bado gemu mbili za semi finals plus moja ya final if we go through. Total of six or seven games, at his current form hakosi goli sita/saba!Mo Salah has become only the third different player in Liverpool history to score 40+ goals in all competitions in a single season after Roger Hunt (1961-62) and Ian Rush (1983-84 and 1986-87).
Unstoppable
Endelea kupiga RAMLI tu...Apa asaiv naona mko wengi sana, au kisa timu inapata matokeo mazuri!? Baada ya gemu yenu na Roma muwe hivi hiv ..sio mnakuwa wengi timu ikifanya vizuri tu.
Hichi ni kipindi cha neema kwenu, kipindi cha majanga kinakuja mjiandae.
Na yeye kawapiga mara ngapi??
Yaani salah ndio atamkaba Marcelo mkikutana√ Wamekutana Mara 5 Katika [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]:
√ Liverpool Kashinda Game 3 Moja ikiwa ni Kombe uwanjani (Final) 1981.
√ R. Madrid Kashinda Game 2.
View attachment 746410
Hizi historia kwa sasa hazina faida yeyote ...tuone kama utafanya la maana uefa.√ Wamekutana Mara 5 Katika [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]:
√ Liverpool Kashinda Game 3 Moja ikiwa ni Kombe uwanjani (Final) 1981.
√ R. Madrid Kashinda Game 2.
View attachment 746410
Endeleeni tu kusubiria anguko letu ambalo unfortunately kwa msimu huu wa UCL hamtaliona...!......A typical english man (ingawa ni Mtz), very optimistic but always comes down crashing!!
Poa bhana, tutatafutana yawezekana hata maada ya mechi ya Roma.
Baelezee...keep dreaming bro, we are going to Kiev for the final...hapana chezea the mighty Reds Champions league babu....ofcz wengi ambao ni Ganaz,Manure,Manshit,Chelsink n.k mnatuombea njaa ila tunapambana na yetu...
Nyie Ganaz mchapeni Diego then muingie fainali na mbebe kombe tukutane Uefa msimu ujao ila kwa sasa kidume ni Livapool timu pekee inayowakilisha UK..
Yaani salah ndio atamkaba Marcelo mkikutana
Good observation ambayo I think wameshaiweka into consideration coz money might not be a problem ukizingatia mpaka saizi kuna dolari za kuingia nusu fainali...plus pesa ya Coutinho, plus pesa watakayotoa matajiri wa timu.[HASHTAG]#Klopp[/HASHTAG] in the pre-match interview: [HASHTAG]#LFC[/HASHTAG] doesn't have 25 players to call upon, which in a way forces him to select the same players week in week out. If we're going to challenge, we need a stronger squad, not just numbers.
Lallana no more × ......
Matip no more × ......
Sturidge no more × .....
Hao ↑↑ ni injury prone
Can dilemma × .....
Origi dilemma × .....
Klavan dilemma × .....
Hao ↑↑ hatma zao zipo mashakani hazijuilikani.
Hatuna Depth Kabisa Katika Front Three (Salah, Firmino na Mane) Kwani Kuwa na Solanke na Ings Haiitwi ni Depth.
Na Vile vile Kuondoka Kwa Coutinho, Kuumia Kwa Lallana na Sintofahamu Ya Can imeondosha Depth Kabisa Katika Midfield Kiasi Ya Kwamba Ni Milner Pekee Ndiye Back up ya Watu Watatu iwapo ataumia Mmoja Wao (Gini, AOC na Henderson), Na ikitokezea Wakiumia Wawili Kati Yao Basi Tutarajie U23 aje azibe Nafasi.
Na Centre Back pia Hatuna Depth Kwani Kabakia Klavan Pekee ndiye Back Up ya VVD na Lovren.
Only Full Backs ndiyo Tuna Mbala Zaidi Ya Wawili.
Sasa Kutokana Na Nguvu Nyingi Tunazotumia Season hii Kwenye [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] (Top Four) na [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] basi Next Season itatulazimu Klopp Asajili Wachezaji Ambao Wana Uwezo Wa Kuanza ili Tuongeze Depth Ya Kikosi Chetu! Vinginevyo Timu itakuja Kuchoka na iwe balaa.
Hizi historia kwa sasa hazina faida yeyote ...tuone kama utafanya la maana uefa.
Mara ya mwisho Liverpool kuingia semi final ya UCL ni mwaka 2007 ndio maana mnaongea sana ,wakati real Madrid amecheza semi Mara ya nane mfululizo.Madrid hawachongi sana sababu wanaona kawaida sana
Kwani mmeshaingia fainali??Endeleeni tu kusubiria anguko letu ambalo unfortunately kwa msimu huu wa UCL hamtaliona...!
Record ya Liverpool akiingiaga fainali ya UCL ni 5/6...ukiiweka kwenye percentage unapata 83.3%.
Arsenal mwaka 2000 alinusa final ya Uropa akapigwa na Galatasaray halafu mwaka 2006 mkaangukia pua kwa Barcelona!
...keep on wishing!Kwani mmeshaingia fainali??
Complacency ndio inaenda kuwatoa mapema kabisa kwa Roma.