Kadi za njano zote zinafutwa mnapo ingia nusu final LKN kadi nyekundu inakuwa carried over!hivi hizi kadi za njano kwa firminho,mane,vvd na anold hazina madhara kwenye next round?
Ni kweli maana Morinho na Klopp ni makocha tofauti wenye kariba tofauti, Lakini wote tunajua Morinho ni hatari zaidi.Mkuu hawa hawa viumbe mpe Mourihno watageuka vituko tu
Liverpool sasa ina kocha jamani
Unajua mashabiki baadhi wa Liverpool mnakuwaje sijui mkishinda, au Kwa kuwa hamjazoea hii hali???JOSE ni Mwalimu wa kuua VIPAJI.
Yeye anataka Mchezaji mpaka awe na jina.
Huwa hana Muda wa kutengeneza VIPAJI, kuendeleza VIPAJI, kukuza VIPAJI
Kumbe we mpuuzi wa mpira kihivyo, naona ushindi umekufanya uwe kipofu or ni hujui tu.Kiongozi.
Umeshindwa kunielewa.
Nimeweka mambo Matatu ambayo ni,
Kutengeneza VIPAJI, kuendeleza VIPAJI, kukuza VIPAJI.
Sifa hizo tatu nilizozitaja, JOSE hana hata sifa moja hapo
Sadio Mane 7
Unlucky to slip into Otamendi and be booked, and that bothered him for a bit. The Senegalese, though, didn't shirk a challenge or his responsibilities, and was still running hard come full time.
Baada Ya Kupewa Red Car Katika Mechi Dhidi Ya Man City na Klopp akawa Anamfanyia Rotation Alipotea Mchezoni Na Akawa Hana Consistency Kiasi Ya Kwamba Baadhi Ya Mashabiki Tukadhani Ndiyo Mwisho Wake..
Lakini Hatimae Amerudi Sadio Mane Halisi Akiwa Na Consistency Kamili na Kasi Mpya Kiasi Ya Kwamba Karibu Kila Ushindi Wetu Utakutia Yeye Ndiye Chanzo.