Nimekubali Kiongozi.
Alichokitaka KLOPP kimefanya KAZI.
KLOPP ni Mwalimu Mzuri sana.
Sema Mashabiki wa Liverpool walikuwa wanashindwa kumuelewa.
Mwalimu Mzuri Siku zote mpe Muda kwenye KLABU hata kama mtakua hamchukui MAKOMBE, cha kufanya ni kuvumilia.
MATUNDA Siku zote yanaonekana baadae
JOSE ni Mwalimu wa kuua VIPAJI.Mkuu hawa hawa viumbe mpe Mourihno watageuka vituko tu
Liverpool sasa ina kocha jamani
mkuu nimeipenda hio 6 times UCL kings tena hio game fainali itakua mapemaaaaaa6 times UCL kings
Arsenal 0 = UCL
Chelsea 1 = UCL
ManU = 3 UCL
ManCity = 0 UCL
Tottenham = 0 UCL
Arsenal = 0 00000000 UCL
mkuu nimeipenda hio 6 times UCL kings tena hio game fainali itakua mapemaaaaaa
Kiongozi.Kwa hakika tangu aje VVD upande wa ulinzi umeimarika sana, yale makosa yaliyo tu cost game ya Arsenal, Westbrom,Swansea n.k kwa sasa hayajatokea tena
Pep kwa mara ya kwanza amekua mdogo kama piliton lakini pia hata mashabiki wa Manshit sio wapiga kerere kama pale Kops end Anfiled...yaaani mashabiki wishaona kutupiga goli 4 bila ni pangumu...
kwa mwendo huu Klop naamini atatuteletea kikosi cha kuchukua EPL msimu ujao...
Tusubiri Ijumaa draw aje Roma, Real au Munich...hapa watakaaaa
Njoo ule raha huku dada
UCL ndiyo kombe letu
Niliwaambia wanafamilia Sifa zote kwa MunguNilikosea kidogo tu.
Ijayo sasa man city 1 Liverpool 2
Na man city wataanza kupata goli
Mkuu kama uliweka pesa kwa Mhindi now utakuwa unachekelea..[emoji119][emoji119][emoji122][emoji122][emoji122]Nilikosea kidogo tu.
Ijayo sasa man city 1 Liverpool 2
Na man city wataanza kupata goli
Kiongozi.
Ujue sio kitu rahisi kubadilisha Matokeo kama yale.
Kwenye Mashindano (Michuano) makubwa kama yale.
Kwa KLABU kubwa yenye FOMU nzuri Msimu huu, halafu Nyumbani kwao.
Kwa kweli KLOPP anastahili Pongezi nyingi sana
Wanalalamika ujinga, kipa akiwa hayupo golini na kuna mshambuliaji kabaki na beki hyo ni offside, sheria hamtaji golikipa wanatumia neno opponentMan City Wanalalamika Kuwa Goli lao limekataliwa! Lakini Wamesahau Kuwa Kabla Ya Kufunga Goli lao la Kwanza Raheem Sterling alimsukuma VVD ndiyo akachukua Mpira.
Huwezi tumikia mabwana wawili, yaani makombe mawiliBARCA Mungu mtu wa yule jamaa leo kawa OUT kwa Roma
Barca anafungwa bao 3-0 na hana shoot hata moja on target!
Barca huyu hawezi mfunga Liverpool yetu popote pale
Mafala wa Liverpool mmepumbazwa na matokeo mmesahau Klopp alitaka kuishusha daraja Dortmund[emoji13] [emoji13]JOSE ni Mwalimu wa kuua VIPAJI.
Yeye anataka Mchezaji mpaka awe na jina.
Huwa hana Muda wa kutengeneza VIPAJI, kuendeleza VIPAJI, kukuza VIPAJI
Siku hazigandiMafala wa Liverpool mmepumbazwa na matokeo mmesahau Klopp alitaka kuishusha daraja Dortmund[emoji13] [emoji13]
Mkuu sichezagi hizoMkuu kama uliweka pesa kwa Mhindi now utakuwa unachekelea..[emoji119][emoji119][emoji122][emoji122][emoji122]
Unajua MASHABIKI siku zote wanataka mabadiliko ya haraka haraka, kitu ambacho hakiwezekani kwa Mwalimu Mgeni. Labda tu huyo Mwalimu akute KLABU Wachezaji wake wamekaa vizuri, walishajengeka kitimu au wawe na UWEZO binafsi.Mkuu mm nilishtukia kama Liverpool sasa ina kocha kitambo sana wkt ule anafungwa fungwa lkn unaona kabisa team ina progress!
Wengi sana hapa hawakuwa na subira!Siwezi badili Klopp na kocha yyt hapa duniani
Mie na United damu damu mpaka kiama. Ukiacha hilo mnastahili kombe na hongera kem kem. Mpaka ninammiss Steven Gerrard.