Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,943
- 15,678
Man city hayumo fa, alishapigwa na wigan akaagaMkuu nafasi ya pili ni muhimu sana kama hujui. Man City anachukua PL na anaweza kuchukua FA. Mwanzo wa msimu ujso ile ngao ya hisani atacheza na nani??Jifikirishe hapa.
