Swahili Ambassador
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 204
- 245
Dakika ta 30..
Everton 0-0 Liverpool
Everton 0-0 Liverpool
Nimefungwa bao 9 na ww umepigwa bao 8 na inapoelekea zitafika 10+......think before you act....shame on urself...
Tushinde tu hii mechi. Ings kama akimaliza hii mechi salama kabisa itakuwa ni nzuri kwake.Very impressive this 45 minutes!
Tunashinda hii game na hawa hawa akina Solanke
Solanke bishoo sana hata pressing yake kama anacheza na U18
9-0!!!😱😱😱 unahadithiwa ww..Umekua mtabiri eti zinapo elekea!
Ww umefungwa 9-0
Mm nimefingwa 8-7
Mm nimeshinda mara 2 wao mara 1
Kufananisha Arsenal na Liverpool ni sawa sawa na Yesu na Kadinali Pengo nani eti atakaa mkono wa kuume wa baba!
Tulia dawa ipenye,Man City is OUT
Wakuu naomba link ya kuangalizia online...
Napenda tushinde hii mechi maana kumtegemea City amfunge Man u sio jambo sahihi kabisa.