Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Naona unakaza ubongo.....namaanisha coutinho ana nafasi kubwa ya kubeba titles kubwakubwa huko barca kuliko liva....Sore loser!
Mpira umekuwa sasa unachambuliwa kama Shehe Yahaya!
Una uhakika gani kama Barca watachukua UCL nyingi na Coutihno au atachukua nyingi Laliga?
Una uhakika gani kama Klopp haiwezi irudisha ile Liverpool ya 1980?
Tumempiga Pep, Mungu mtu wenu wa soka na tunamfagia Jumanne na waite hao Barca unao waogopa!
City mko nae ligi moja mmezoeana.......kuhusu kumfunga pep mbona alikojolewa nyingi2 na madrid ya cristiano...na pia mbona aliwekwa nyingi2 na barca ya messi....?
Kumfunga city si kubeba uefa....city hawezi pona kwa madrid....pia hawezi kupona kwa barca.....
Use your common sense....
