Ipo n ile ya sevila kwenye makundi. Ila yeye anatuambia n Dortmund. Wakati Dortmund ndo alikuwa anaongoza tatu moja sisi ndo tukashinda 4-3Hata Mimi hii Gemu inanichanganya.
Hivi kuna Gemu gani mpaka Mapumziko LIVERPOOL alikuwa anaongoza Goli 3-0, kipindi cha pili matokeo yakabadilika
Enzi za COUTHINHO na ORIGI kule UEFA ndogo
Mi nakumbuka Liver ilishinda 4-3 nyumbani ukichanganya la lile tuliloshinda kwao inakuwa ni matano dhidi ya manne ya DortmundJaribu kutafuta kumbukumbu vizuri
Hahahahah
Kuna kitu kinaitwa tactics. Ilikuwa ni mbinu tu.Jamani naombeni sababu za Liverpool kupoteza umiliki wa mpira kipindi cha pili ukilinganisha na kipindi cha kwanza, ukiondoa sababu ya Salah kutoka baada ya kuumia...!!!
Nilikosea kidogo tu.Liverpool 3 mancity 1
Jamani naombeni sababu za Liverpool kupoteza umiliki wa mpira kipindi cha pili ukilinganisha na kipindi cha kwanza, ukiondoa sababu ya Salah kutoka baada ya kuumia...!!!
Nilikosea kidogo tu.
Ijayo sasa man city 1 Liverpool 2
Na man city wataanza kupata goli
Hongela kwa ushindi mnono miss liverpoolNabadili jina sasa nitwe miss liverpool tu!!
Sisi ndiyo tulikuwa nyuma 3-1 tukaja kushinda 4-3 kwa bao la Sakho!Hata Mimi hii Gemu inanichanganya.
Hivi kuna Gemu gani mpaka Mapumziko LIVERPOOL alikuwa anaongoza Goli 3-0, kipindi cha pili matokeo yakabadilika.
Enzi za COUTHINHO na ORIGI kule UEFA ndogo