kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Tatizo la timu zinazoremba uingereza ndio hufanya man city awe mbabe.Klopp ni kocha mzuri sema ligi ya England hakuizoea,akiipatia watamkoma
Hata kwenye next game hata semi final I believe klopp atasumbua,huyu kocha ana uzoefu wakeKiongozi, ndivyo inavyokuwa.
KABUMBU ni Mchezo mmoja wa ajabu sana.
Tegemea chochote kutokea ndani ya Dakika Tisini (90)
Kweli kabisa Kiongozi.What a performance in the second half, sasa Klop aachane na presha za Epl huko top 4 anayo tayari ,akomae na huku huku
Sadio ManeNani man of the match leo?
Naam.Hata kwenye next game hata semi final I believe klopp atasumbua,huyu kocha ana uzoefu wake
Vipi wamechomoa au bado kipindi xha pili hakijafikaaaaaaCity wanachomoa zote 2nd half
Kama wanavyosema mpira ni dk 90 bado hatujui next game man city watapindua matokeo au vpTatizo la timu zinazoremba uingereza ndio hufanya man city awe mbabe.
Mpira wa man city ni speed and accuracy,ukimuacha atembee peke yake,lazima atakukimbiza sana.
Nawapongeza Liverpool hawapendi ujinga ujinga wa kuremba,ndio maana city akifunguka na wao wanafunguka na matokeo ndo hayo
Sema huyu MANE mimi nilikuwa namuona Mchezaji tokea kipindi yuko SOUTHAMPTON.Sadio Mane
Mda wa kuswali ulifika, kaenda masjid kwanza kuswali na kurudi mpaka Mechi itakayo fuata.Salah kaumia
Jamani jamani inaniuma sana!
Yuko freshi tu.naomba kujua hali ya majeruhi ya salah
Hahahahah nami nacheka kiongoziSalama sana Kiongozi.
Nashukuru sana Kiongozi.
Mimi ni Mzima wa AFYA kiongozi.
Vipi na Wewe Kiongozi?
Unaendeleaje Kiongozi?
πππππ.Hahahahah nami nacheka kiongozi
Teh teh teh!! Inamchukua muda gani kuizoea?Klopp ni kocha mzuri sema ligi ya England hakuizoea,akiipatia watamkoma
Kama wanavyosema mpira ni dk 90 bado hatujui next game man city watapindua matokeo au vp