Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Gemu zetu 7 za [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] zilizobakia ni:-
7) √ Palace (A)
6) √ Everton (A)
5) √ B'mouth (H)
4) √ WBA (A)
3) √ Stoke (H)
2) √ Chelsea (A)
1) √ Brighton (H)
Home (H} Ni 3 na Away (A) Ni 4.
Iwapo Tutashinda Mechi Zote 3 za Home na Kujikusanyia Points 9 na Katika Michezo 4 Ya Away Tukatoka Sare Mechi 3 (Palace, Everton & WBA) na Kupoteza Mechi 1 (Chelshit) basi Tutajikusanyia Points 12 Katika Hiyo Michezo 7.
Ukijumlisha Hizo Points 12 na 63 tulizonazo basi Tutapata Jumla ya Points 75.
Hizo points are enough to be in a Comfortable zone..
TrueKwa sasa klopp anamtendea vyema mo salah kitendo cha kumwacha amalize dk90 ni kumhakikishia salah kiatu cha dhahabu!
CP SIO game ngumu
Everton ugumu wake unakuja sababu siku mbili baadae tunacheza replay na Man City!
Anyway UCL berth tayari ipo kibindoni na Man City ni bingwa wa EPL!
Tukutane Kiev!
Huwezi kupanga draw ya UCL
Namba zinawekwa bakulini unachangua karatasi!
Huwezi panga ucheze na nani!
toka aingie van gaal ktk mech za ligi liverpool ushindi wake ni droo ukiwa unaandika haya ukumbuke pia hilomagoli yote mawili yamesababishwa na lovren halafu sijui klopp hataki kudeclare kuwa lovren ndio wakulaumiwa
honestly i prefer Ings kuliko Lalana japo wanacheza nafasi tofauti but this young lad seems to ready now baada ya majeraha ya muda....Danny Ings Ameingia Dakika Ya 79' Na Amefanikiwa Kupiga 2 shots on Target ambayo Moja inahesabika Kuwa Ni Assist Kwa Goli la 4 la Mo Salah.
Kwahiyo Nahisi Huyu Danny Ings iwapo atapatiwa Mechi Kadhaa ili apate Game Fitness basi Next Season Atakuja Kuwa Best Back up Ya Firmino Kwani Impact Yake imeonekana.
na pia mechi ya Man cty alishindwa kabisa kusoma game namna ya kumkaba Sane....japo mechi ya juzi ameonyesha improvement ila huyu ndogo kwa mechi kubwa hatufai kabisaaaView attachment 718761
Hili tatizo la Kuto Kucheza Mipira Ya Juu (Aerial Duels) limekuwa Ni Gangrene Kwa Joseph Gomez!
Yaani Hapa Mpira alikuwa ana Nafasi Ya Kuucheza Kwa Kichwa Lakini still Kashindwa Hata Kuruka na Akabakia Anamtazama tu Adui Yake Akiucheza Mpira hatimae Umakini Wa Karius ukafuta Makosa.
Ni Magoli Siku Ya Sevilla 3 -3 alitufungisha Kwa Kushindwa Kucheza Mpira Wa Juu, Na Siku Ya Arsenal 3 - 3 pia alitufungisha Goli La Mpira Wa Juu Kwa Sanchez, Na Jana Ndiyo tumekoswakoswa Mpira Wa Kichwa Kupitia Yeye.
Ni Mzuri Kwa Kukaba Mipira Ya Chini, Lakini Kwa Mipira Ya Juu Ni Tatizo Kubwa Kwake Kama ilivyo Kwa Lovren.
Anahitajika Abadilike.