Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Virgil Van Dijk: "There are plenty of games left. Today was a big one but we need to move on and look ahead - it starts next week."
 
Yaa nadhani tutaleta mtu pale CM na beki maana kwanza Can anaondoka na Keita anakuja!
Tunahitaji beki ngangari kwa kweli!
Lovren na Matip wapo laini sana!
 
Jipe moyo
 
Jipe moyo
 


Mkuu Kwamba Sisi Ni Wabishani! Lakini obviously TAA tokea aanze kupewa nafasi Liverpool basi Hajawahi Kufanya Makosa Ya Kizembe na Yakatuathiri isipokuwa Leo.

Na Makosa aliyofanya Leo ujue wazi kuwa amefanywa mbuzi Wa kafara (Scapegoat) Kwani Makosa Hayakuanzia Kwake Bali Yalianza Katikati pale Lovren aliposhindwa Kucheza Mipira ya juu mbele ya Powerful Lukaku.

So, Huyu dogo sio mbovu Ni Very Talented Lakini mpe haki Yake ya Utetezi Kuwa ndiyo kwanza anajifunza sasa bado hajawa mzoefu! Lakini after next two season I mean 2020/21 huyu dogo atakuwa Ni Zaidi ya Beki.

Dogo Makosa Yake Ni Leo tu, tena kakosea Katika Game kubwa iliyo na a lot of pressure!

Mkuu Hata Huyo Clyne Kashakosea Michezo mingi na Kutucost Points muhimu sana Lakini bado tulimuamini.

Hata Huyu Robertson amini iko siku wakati Ni mchezaji Ni lazima atakosea na atakuja kujifunga hasa! Je utakuja kusema mbovu asichezeshwe?

Mkuu Makosa ya Kimchezo usiyafanye ndiyo Udhaifu Wa Mtu.

Unakumbuka Msimu uliopita Pale Old Trashford Huyuhuyu TAA alicheza vyema na Kumdhibiti Anthony Martial kiasi ya Kwamba Martial Hakufurukuta na sote tukamsifu?

Kwanini Kukosea Leo moja tuanze personal attack dhidi Yake?
 
Yaa nadhani tutaleta mtu pale CM na beki maana kwanza Can anaondoka na Keita anakuja!
Tunahitaji beki ngangari kwa kweli!
Lovren na Matip wapo laini sana!


Kuhusu Beki Naona Sijamuona Klopp akilipa Kipaombele sana! inaonesha Karidhika na Mabeki Wetu.

Lakini Namuona Sana Kuwa Kapania Kwa Hawa Joginho na Lemar.

Kwahiyo Huenda Tukaja Kuwa na Mido Hizi.
Joginho - Keita - Lemar
Na mbele pana.
Salah - Bobby - Mane

Hapo no one atakae bakia salama.
 
Mo Salah vs Man Utd

√ 75% passing

√ 15 accurate passes (fewer than Karius 17)

√ 1 chance created

√ 0/1 take-ons

√ 0 aerial duels won

√ 3/4 tackles

√ Dispossessed 8 times - most on the pitch

Ni Siku Mbaya Zaidi Kwa Mo Salah
 
Virgil van Dijk vs Man Utd

√ 84% passing

√ 2 shots

√ 5/8 aerial duels - most on the pitch

√ 2/2 tackles

√ 1 clearance

√ 1 interception

√ Dribbled past 0 times

√ Ni Performance Nzuri, No doubt.
 
Emre Can completed the most passes at Old Trafford today with 71, creating one chance, and won 3 of his 4 attempted tackles.

He did well today
 
Roberto Firmino vs Man Utd

√ 70% passing

√ 1 chance created

√ 3 shots

√ 4/5 take-ons - most for LFC

√ 3/4 tackles - joint most for LFC

√ 2 clearances

He is our best player
 



Mimi Kwakweli Mpaka Sasahivi Sijajua Klopp anmpendea Nini Huyu Solanke!

Naona Hata bora Angemtoa Kwa Mkopo Huyu Solanke akamrudisha Huyu Harry Wilson manake Ni Mnuka Nyavu Mzuri tu huko Hull City aliko.
 
Hivi unajua point 70 msimu huu hamfikishi?
 
Hivi unajua point 70 msimu huu hamfikishi?


Upo Sahihi Mkuu! Tumeweza Kupata points 60, Lakini Hatuna uwezo Wa Kupata Points 10.

Naamini Katika Michezo 8 iliyobakika hatutoweza Kupata Points hizo 10 na Tutafungwa Yote hiyo michezo 8.

Nadhani Kwa kukukubalia Mawazo Yako Nimemalizana na Wewe Happy? right?
 
Dejan Lovren has been told by Jimmy Carragher to swallow his pride and use his brain – and will have nightmares about Manchester United striker Romelu Lukaku.
 
Carragher: “His pride takes over. There is nothing wrong with accepting that someone is stronger than you in a game. Don't fight someone who is stronger than you.”
 
Carragher: “I wasn’t the greatest in the air so I'd say to Sami Hyypia 'swap, you take him'. You’ve got to use your brain. He's a machine Lukaku, the size of him, don't let your pride get in the way of it!”
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…