Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Oh No! Mkuu umemisunderstanding Hapo! Tulikuwa tukimzungumzia Joginho Na sio Naby Keita na Ndiyo akaniuliza Ana miaka Mingapi (Huyo Joginho)?
Sio Keita ni Jorginho
Kaanza kuwa mtamu sio kipindi kile ukilenga tu goal nyavu izo zinatikisika!Karius kama sio yeye vile
Enzi ile alikuaga mtazamaji wa mpira. Sai akiwepo golini tu pale nakuaga na amaniKaanza kuwa mtamu sio kipindi kile ukilenga tu goal nyavu izo zinatikisika!
Safi sana karius kwa kupangua huo mkwaju umeanza kuimarika sasa
kweli kabisa asaiv klop roho yake imeanza kusuuzika!Sasahivi Anatakaka Kuzima Kwa Vitendo Mipango Ya Klopp Ya Kuketwa Kipya Mpya!
Nampongeza Sana Kwa Kutuprove Wrong.
Jamaa ameimarika Kiasi Ya Kumfanya Mignolet anune.
Hahahah inapendeza sana aiseeeEnzi ile alikuaga mtazamaji wa mpira. Sai akiwepo golini tu pale nakuaga na amani