BREAKING: Jorginho has officially been approached by Liverpool. The Napoli midfielder is waiting until the end of the season to make a decision. [@UOL]
predicted line up for tmro .. Karius
Trent
Lovren
Virgil
Robbo
Ox
Can
Henderson
Mane
Salah
Firmino [HASHTAG]#LFC[/HASHTAG]
hahahaa!Bro una akili za kiCCM kishenzi
Very stagnant!
YNWA
halafu ni forward passer mzuri sana, with 60% of these passes landing in the opposition's box.Huyu Ni Bonge La Defensive Midfielder aisee! Kama atakubali Kuja Basi Ni Zaidi Ya Replacement ya Emre Can.
Kwa clyne ni wazi namba yake bado ipo ni vile tu hana match fitness ndomaana naona aanza kuchezeshwa game za u23Hicho Kikosi Hakitakuwa na Madiliko Kwani Kwa Upande Wa FAB3 Ndiyo watakaoanza, Na Midos Gini & Millie Ni Doubt (illness & injury), Na Madifenders Hapo labda Kwa TAA & Lovren Ndiyo Bado Hapajawa na Mwenyewe Hasa Aliyekuwa Amezuia Hizo Namba Kwani Lovren na Matip bado Klopp hajajua Ni Yupi Atapartner na VVD.
Na Kati Ya TAA, Clyne & Gomez bado Klopp hajajua Ni Yupi hasa awe First Selection Right Back.
Na tutawabutua hapo hapo matofaliniWazee wa gegeni pressing,,, sie tunawasubiri tu kwenye matofali pale
Wazee wa gegeni pressing,,, sie tunawasubiri tu kwenye matofali pale
Ana miaka mingapi?Huyu Ni Bonge La Defensive Midfielder aisee! Kama atakubali Kuja Basi Ni Zaidi Ya Replacement ya Emre Can.
Ana miaka mingapi?