Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Word mkuu. Nakukumbuka sana mkuu enzi za kina Tisha-TOTO. Wengine wamekuja juzi tu hapa wanataka kuuteka uzi na kuwa mali yao. Hii ni freeforum. Tunakosoa, tunashauri na hata kusifia.
Mwisho tunabakia wote kopites
[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
Ushauri ulikuwa Umpe Yule Jamaa Ajikite na Uchambuzi na Sio Kuattack Member wenziwe!
Mbona Sijawahi Kukuona Kumuelimisha Kuhusu Umuhimu Wa Kutofautiana mawazo na Wengine?
Au Huoni Kama Anatumia Muda Mwingi Kupost Mipasho Badala ya Kuchambua Maendeleo ya Timu?
Mkuu usiwe Biased Kiasi Hicho! Mshauri Vizuri aweze Kupost Mawazo Yake sio Asubiri Mtu Kashapost yeye aanze Kumuattack Kwa Mipasho badala ya Hoja!