It is possible, au pia ilikuwa mbinu ya kisaikolojia kwa Pep.Tulicheza Mechi na Everton! Baada ya Mechi Klopp Huwa ana post-match press conference na kufanya analysis ya Mchezaji ikiwepo Kutangaza Majeruhi.
Lakini Baada ya Mechi hii ya Everton Klopp hakusema Chochote Kuhusu [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG] Kuwa Ni Majeruhi.
Na tulimshuhudia huyu VVD katika viwanja Vya [HASHTAG]#Melwood[/HASHTAG] akifanya Mazoezi na Wachezaji wenziwe bila ya Majeruhi yoyote kwa siku zote.
Na Mpaka Kufikia Tarehe 13 January Wengi tulishuhudia [HASHTAG]#Live[/HASHTAG] VVD akifanya Mahojiano na Carragher akiwa ni Mzima bila ya injury yoyote.
Lakini Cha Kushangaza Siku ya tarehe 14 January ambayo tulicheza na Man City Klopp alitangaza Kuwa VVD ni Mgonjwa aliumia Siku ya Game na Everton!!!!
Swali: Ni kwanini siku Zote hakutangaza Kuwa injury Mpaka siku ya Mechi na Man Mancity?
Mbona alikuwa akifanya Mazoezi na Kikosi Kikamilifu?
Mawazo yangu: VVD alikuwa Mzima na Hana injury yoyote! ila Nadhani Bodi Ya Liverpool ilikaa na Klopp wakahisi Kuwa Mechi ya Man City na Liverpool itajaa Pressure na Mashabiki Kumuangalia VVD atafanya Nini! Kwahiyo itakapotokezea Liverpool kupoteza Mchezo huo na kutokana na thamani Kubwa waliyomnunulia ingelikuwa ni Pressure Kubwa Kutoka kwa [HASHTAG]#Mashabiki[/HASHTAG], [HASHTAG]#Media[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Pundits[/HASHTAG].
Kwahiyo wakaamua kutomchezesha! Lakini ilivyokuwa Tumeshinda I don't Care kwa Maamuzi yao...
Nilichokiona Klopp ni bingwa wa kutengeneza yaani AOC ni alikuwa kwenye form nyingine kabisaCOUTINHO ALIZANI AKIONDOKA YEYE NDIYO TIMU ITAKUFA??????
Hizi ni Salam Kwa Coutinho! AOC kafunga goli MOJA na Katoa Assist MOJA! Jumla tunasema Kashiriki Katika Magoli MAWILI tena Kwenye Big Match.
Alichokifanya AOC ndiyo kilekile alichokuwa Akikifanya Coutinho! Chenga ni Mbwembwe tu Mwache akapige Barcelona.
PROBLEM SOLVED
Ataendelea kuwasumbua nyinyi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Anfield ni mwiko kabisaDuuh, asanteni liverpool kwa msaada mliotupa... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haka kajamaa kalitusumbua sana
Walishapatiwa dawa zao utashuhudia kwa Swaslona weekend hiiTatizo la liverpool huwa ni timu ndogo, timu kama Bristol et al.
Jamaa anauliza maswalibya kipuuzi kweli yaani anashindwa kujiuliza timu yake iko nafasi ipi• Tumefungwa na Man City
• Tumefungwa na Spurs
• Tumedraw na Man United
• Tumedraw na Chelsea
• Tumedraw na Arsenal
Hizo zote ni Timu Kubwa!!! Points Tulizopoteza hapo Zinatosha Kutueka Hapa Tulipo!!!
Angelikuwa na Vibonde Vinatusumbua Basi Tungelikuwa Nafasi Ya 10.
Mwenyewe niljuaTulicheza Mechi na Everton! Baada ya Mechi Klopp Huwa ana post-match press conference na kufanya analysis ya Mchezaji ikiwepo Kutangaza Majeruhi.
Lakini Baada ya Mechi hii ya Everton Klopp hakusema Chochote Kuhusu [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG] Kuwa Ni Majeruhi.
Na tulimshuhudia huyu VVD katika viwanja Vya [HASHTAG]#Melwood[/HASHTAG] akifanya Mazoezi na Wachezaji wenziwe bila ya Majeruhi yoyote kwa siku zote.
Na Mpaka Kufikia Tarehe 13 January Wengi tulishuhudia [HASHTAG]#Live[/HASHTAG] VVD akifanya Mahojiano na Carragher akiwa ni Mzima bila ya injury yoyote.
Lakini Cha Kushangaza Siku ya tarehe 14 January ambayo tulicheza na Man City Klopp alitangaza Kuwa VVD ni Mgonjwa aliumia Siku ya Game na Everton!!!!
Swali: Ni kwanini siku Zote hakutangaza Kuwa injury Mpaka siku ya Mechi na Man Mancity?
Mbona alikuwa akifanya Mazoezi na Kikosi Kikamilifu?
Mawazo yangu: VVD alikuwa Mzima na Hana injury yoyote! ila Nadhani Bodi Ya Liverpool ilikaa na Klopp wakahisi Kuwa Mechi ya Man City na Liverpool itajaa Pressure na Mashabiki Kumuangalia VVD atafanya Nini! Kwahiyo itakapotokezea Liverpool kupoteza Mchezo huo na kutokana na thamani Kubwa waliyomnunulia ingelikuwa ni Pressure Kubwa Kutoka kwa [HASHTAG]#Mashabiki[/HASHTAG], [HASHTAG]#Media[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Pundits[/HASHTAG].
Kwahiyo wakaamua kutomchezesha! Lakini ilivyokuwa Tumeshinda I don't Care kwa Maamuzi yao...
Kwani kashaanza mazoezi?Kila ninapotembelea Liverpool Echo nikikutana Na Habari inayosema "HENDERSON IS BACK IN TRAINING " basi nazidi Kupata Headache!! [emoji16] [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani kashaanza mazoezi?
Salah kwa kiwango hiki cha uchezaji alichofikia inabidi timu imuongezee mshahara walau mpaka £140,000 kwa wiki hivi. Nitashangaa sana kama LFC ilimlipa Baloteli £130,000 kwa wiki halafu ikashindwa kumlipa Mo Salah hio hela!
Mshahara Hauongezwi Kama Wa Mfanyakazi Wa Serikali anapoongezewa na Raisi. Bali Huongezwa Pale Anapoongeza Mkataba Mpya tu...!
Kumbuka Mo Salah Aliponunuliwa Hakuwa hivi alivyo sasa! Kwahiyo alikubaliana Mshahara unaostahiki kulingana na Kiwango Cha Wakati huo.
Atakapoongeza Mkataba Mpya Ndiyo hapo Yeye Mwenyewe atadai new [HASHTAG]#salary[/HASHTAG] inayoendana na Kiwango Chake.
Kumbuka alipokuwa AS Roma alikuwa analipwa £50,000/= per week, Na Alipokuja Liverpool katika Negotiation alidai ili Asaini Mkataba na Liverpool ni Lazima alipwe £90,000/= kutokana na Kuwa ilikuwa ni hela ndefu kulingana na alikotokea na Liverpool wakamkubalia kumlipa hivyo.
Sasa Hapa hatuwezi ilaumu Timu wala kumlaumu Yeye..
Tusubiri Atakaposaini Mkataba mpya Ndiyo atadai hela Ndefu kama aliyodai VVD £180,000/= kwa week.
Kwahiyo Mo Salah kama atadumisha Kiwango hichi alichonacho basi Wanaweza kumzidi Hata VVD na akawa ni Mchezaji anaelipwa Zaidi Ndani ya Liverpool.