Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Katika Mtu Mbaya Sana Katika Maisha ya Gurdiola Basi ni KLOPP!! 😀 😀 😀
Yani tokea Gurdiola aanze Ukocha basi Hakuna Kocha Yeyote aliyewahi Kumsumbua Gurdiola isipokuwa Klopp!
• Yani Gurdiola Alikuwa Na Beryan iliyosheheni Kila Kipaji lakini alishindwa Kutamba Kwa Klopp mwenye Dirtmond..
• Sasa hivi Gurdiola ana Mancity Yenye Kila Kipaji pia anashindwa Kutamba Kwa Klopp mwenye Liverpool...
😀 😀 😀 Ama Kweli Kila Mtu Na Mbabe Wake....
Dogo kaiva aisee alitumia akili sana kutokwenda chelsea angekuwa kama moses sasa anatamba na soka la kushambulia.
Katika Mtu Mbaya Sana Katika Maisha ya Gurdiola Basi ni KLOPP!! 😀 😀 😀
Yani tokea Gurdiola aanze Ukocha basi Hakuna Kocha Yeyote aliyewahi Kumsumbua Gurdiola isipokuwa Klopp!
• Yani Gurdiola Alikuwa Na Beryan iliyosheheni Kila Kipaji lakini alishindwa Kutamba Kwa Klopp mwenye Dirtmond..
• Sasa hivi Gurdiola ana Mancity Yenye Kila Kipaji pia anashindwa Kutamba Kwa Klopp mwenye Liverpool...
😀 😀 😀 Ama Kweli Kila Mtu Na Mbabe Wake....
Yaaaaaani hapo ndio Klopp anaharibu...hata Gini atapigwa benchi akipona Henderson...kwa sasa timu imebalance hata jana pengo la Coutino halijaonekana...Sasa klopp ataalibu moreno akirudi tu atakuwa anampanga moreno ,robertson bench.
Roberton ameanza kupata namba baada ya moreno kuumia[emoji3]
kabisa makipa ni mzigo wanavunja morali ya wachezaji wengine....Ward atolewe kwa mkopo huyu ni wa baadaeMosDef you are needed here breh!!
Btw! What a good win.. Sote tunajua Liverpool ndo huwa inaisumbua sana Man city miaka yote.. Mwaka huu ni kwasabab ya zile 5.. But huwa tuko vizuri because wote tunatumia attacking football
Ila 1 special thing.. Klopp apate GK ingekua vizur zaid.. Hatuwez kwende UEFa na hawa goalkeepers
Mignolet( Uzembe mwingi)
Karius(Ana bahatsha)
Ward(asje kumjarbu UEFa.. that is champions league.. not trial place)
hizo game za draw za West Albion, Everton na Arsenal kwa kweli zilituvurugia point muhimu sana....kwa sasa ni ushindi kwa kwenda mbeleLiverpool Katika Game 18 zilizopita:
✅ 3-0 Hudd
✅ 3-0 Maribor
✅ 1-4 West Ham
✅ 3-0 Soton
➖ 3-3 Sevilla
➖ 1-1 Chelsea
✅ 0-3 Stoke
✅ 1-5 Brighton
✅ 7-0 Spartak
➖ 1-1 Everton
➖ 0-0 W Brom
✅ 0-4 Bmouth
➖ 3-3 Arsenal
✅ 5-0 Swansea
✅ 2-1 Leicester
✅ 1-2 Burnley
✅ 2-1 Everton
✅ 4-3 City
Lile goli la Sane linaniuma mpaka sasa, ukijumlisha na uzembe wa Karius. Yaani Karius kila attemp in goal ina zaa goal....daaah !Nadhani Klopp ampe nafasi TAA ili nayeye aweze Kuprove Coz Gomez anatucost sana.
Kapiga precontract na JuventusKiukwel jana emre can alikuwa anatembea na de bruyne mwanzo mwisho na ndio maana mpaka can anatoka de bruyne alikuwa hachezeshi vzr Kama ilivyo kawaida yake Zaid ni ngoz yake tu ndio ilikuwa inakuwa nyekundu ila baada Jk kumfanyia mapumziko na kumchezesha milner ambae ni force mildfield jamaa alipata nguvu na kuanza kutawala dimba
All in All emre can sio wa kumuachia still we need him anfield
Y.N.W.A
hizo game za draw za West Albion, Everton na Arsenal kwa kweli zilituvurugia point muhimu sana....kwa sasa ni ushindi kwa kwenda mbele