AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Mkuu hatutaki wazeeRAKITIC & CAN
Ni Wachezaji Wawili Tofauti Wenye Kucheza Position Tofauti na Wana Majukumu Tofauti.
Bila ya Kueka Biase mbele basi Kila mmoja Namsifia Kwa Kuwa Bora Kwa Position Yake.
EMRE CAN
Ni natural DEFENSIVE MIDFIELDER ambaye Ana Sifa kuu Kama Vile:
I) Ni Destroyer
II) Anacheza Box-2-Box midfielder
III) Holding midfielder
IV) Not Good enough Creative Midfielder
V) Pace
VI) Not injury Prone
VII) Young boy
IVAN RAKITIC
Ni natural Central Midfielder ambaye anasifa Kuu kama vile:
I) Creative Midfielder
II) Holding Midfielder
III) Can't blay Box-2-Box
IV) Pace
V) Not destroyer
VI) Age problem
VII) About injury not too bad.
Kwahiyo Hapo Kila mmoja Ni Mzuri Kuliko Mwenziwe Kwa Sifa Zake na Position anayocheza!
Messi Ni Mzuri Lakini Ubora Wake Huwezi Mlinganisha na UMTITI.... Katika Position ya Ulinzi basi Umtiti atakuwa Bora Kuliko Messi.
Usajili WA keita na VVD hauhusiani na hela ya Cou ...usajili wa keita na VVD jumla yake ni paund mill 125..huku countinho akiuzwa kwa paund mill 145...hivyo kilichobaki ni paund mil 20..sitarajii usajili wowote wa kuzid hicho kilichobakia...au tupambane na vilivyopo..ni mawazo tuu ya kichaga yamenipeleka huku..
Kwa Keita lolote laweza tokea naona karudia tena utaratibu wa kugomea mazoezi ya pamoja£17m Just for 4 months?
Katika Mzungumzo Yanayoendelea Ya Liverpool na RBL kuhusu Kumchukua Nabby Keita Katika Mwezi huu Wa January Kuna jambo sijaliafiki bado..!
RBL ili wamruhusu NK Kuna Liverpool Katika Mwezi huu Wa January wametaka Ni lazima Liverpool ilipe nyongeza ya £17m...
Nahisi Haina Haja ya Kuongeza Hela Yoyote bora Tusubiri Mpaka Summer aje manake Wameziona Hela alizouziwa Coutinho basi Wanachachawa.
Intact Timu inamatatizo mengi lakini Kwasasa Baada Ya Kusawazisha Beki tatizo Kubwa lililobakia Ni Kipa na si Midfielder.
Then Striker Wa 20+ goals per season.
The last time our biggest player to leave for Spain Clubs tuliwin CL na alikuwa Michael Owen...alilia sana ohh niachieni niende nikabebe makombe then akapishana nalo mlangoniCoutinho will spend his season playing Alaves and Leganes when he could have helped Liverpool chase Champions League glory
McManamanThe last time our biggest player to leave for Spain Clubs tuliwin CL na alikuwa Michael Owen...alilia sana ohh niachieni niende nikabebe makombe then akapishana nalo mlangoni
Man City juma 2 kwa asilimia 90 lazima akae pale pale ethadWakuu hii mechi ya jumapili na man city inaniwazisha sana cjui tutaweza tetea point maana wale jamaa wako on fire. Naomba Mungu king salah awe amesha recover maana solanke sio wakumuamin kabisa tena hasa kwenye big match
Man City juma 2 kwa asilimia 90 lazima akae pale pale ethad
Mbele Nina Salah,mane,firmino
Kama hizo forwad 3 zitaanza Basi ushind upo
Hapana itakuwa ugenini ethad stadiumMkuu mechi itakuwa ni anfield sio etihad
Wakuu hii mechi ya jumapili na man city inaniwazisha sana cjui tutaweza tetea point maana wale jamaa wako on fire. Naomba Mungu king salah awe amesha recover maana solanke sio wakumuamin kabisa tena hasa kwenye big match
Ila nakumbuka Kama game ya kwanza walikuja anfield bas sio mbaya Kama wanajileta the kop