Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa Uzoefu Wangu Ninavyowajua FSG Wasingelitoa Pesa Hiyo (£75m) Hata Siku Moja isipokuwa Ni Wazi Kuwa Washamuuza Coutinho bado Kutiliana Saini na Kuannounce tu....

FSG Hawawezi Kutoa Hela Nyingi Kama Hizo Bali Wametega Hela za Coutinho Kuilipa Soton.

Sina Shaka VVD in, Coutinho out.
Hapana sidhani kama coutinho kashauzwa, bali mwanzo wa window iliopita klopp alipewa £200 nafikiri ndio kaimalizia kwa VVD, kama Lemar akija hapo ndio Coutinho atasepa maana pesa ya lemar ni ndefu
 
Aisee sasa huyo ni wa nini?
Dah mimi namuhitaji kipa kwanza

Mkuu imefika Pahala Lazima tuukubali Ukweli tu Hata kama haupendezi!!
Ni ukweli usiofichika Kuwa Coutinho Next season hatoichezea Liverpool..!!!
Sasa Klopp analazimika Kutafuta replacement Yake Kabla Hajaondoka! Na Ndiyomana Miongoni mwa Wachezaji Anaowataka Yumo Huyo Draxler na Lemar ili mmojawapo amsajili...

Kumbuka Kuwa Replacement Ya Mascherano Ni Lucas, Replacement ya Lucas Ni Can, Replacement ya Can Ni Keita.

Lakini Replacement Ya Alonso alikusudiwa Aquilani lakini Hakufiti, Kwahiyo tulikaa Muda Mrefu Bila ya Replacement Mpaka tukawa tunashikiwa na Gerrard, Sasahivi Banetushikia Ni Coutinho!! Je, Akiondoka Coutinho atatushikia nani????
Hapa ndiyo Panapo Umuhimu au Ulazima Wa Kusainiwa Lemar au Draxler na Mfano Wao.
Na hii Ni Kutokana Na Klopp Bado Hajamuani Gini Kama Ni Playmaker Wa First Choice (though yupo sahihi) Bali Ni average player.
 
Ila inaniuma sana kumuona Coutinho akiondoka Liverpool
 
Leon Goretzka for Liverpool!
Msiwe na wasi wasi hawa wachezaji wa America Kusini HUWEZI wazuia kwenda Barca au Madrid
Tumshukuru Coutihno kwa alichotufanyia LKN sasa tuna kocha ambaye wachezaji wengi wanapenda kuja kufundishwa na yy!
 
Tumewawashia Green Light:

• Goretzka

• Draxler

• Lemar

Kati Ya Hao Mmoja wapo Ni Lazima atuwe Liverpool Kuziba Nafasi Ya Coutinho
 
Beki wa kati wa Southampton Virgil van Dijk atajiunga na Liverpool wakati wa dirisha la uhamisho tarehe moja mwezi Januari kwa mkataba wa rekodi ya kimataifa ya £75m.
Raia huyo kutoka Uholanzi alitarajiwa kujiunga na Reds msimu uliopita baada ya kuomba uhamisho kutoka kwa klabu yake.
Lakini uhamisho huo haukufaulu pale Liverpool ilipoomba msamaha kwa madai ya kumtafuta mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 kinyume cha sheria.

Ada hiyo ni kubwa ambayo hakuna beki yoyote awewahi kupokea - Manchester City iliipa Monaco £52m kwa Mbeligiji Benjamin Mendy mwezi Julai.
Van Dijk amesema kwenye taarifa yake , ''amefurahia'' kusaini kwa mkataba na klabu ya Merseyside na amekiri amekuwa na wakati mgumu '' kwa miezi michache iliyopita'' akiwa Southapton.
Beki huyo aliwachwa nje ya mchezo kwenye mechi ya Premia waliposhindwa magoli 5-2 na Tottenham siku ya Jumanne, hali iliyo
 
VVD ana deni kubwa si kwa mashabiki wa liver tu...bali hata kwa wapenzi wa soccer ulimwenguni kuthibitisha kiwango chake na fedha zilizolipwa...hasa kwa nafasi yake kama beki...na liver wamempa kipaumbele kwa kumlipa mshahara mkubwa huku wakifungana na mbrazili...phillipe c..kiasi cha paund 180,000 per week...ni matumain yangu makubwa...atafanya vyema kwenye safu ya beki...kama anavyofanya countihno kwenye safu ya kiungo...
 
Tetesi
Southampton inataka kumsajili mshambuliaji wa Liverpool na Uingereza Daniel Sturridge, 28, kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu. (Telegraph)

Klabu hiyo pia inataka kutumia fedha zake ilizopata baada ya kumuuza beki wa Uholanzi Virgil van Dijk's ili kumrudisha mshambuliji wa Arsenal Theo Walcott. (Mirror)
 
Tetesi
Wolfsburg inataka kumsajili kwa mkataba wa kudumu mshambuliaji wa Liverpool Divock Origi. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 alijiunga na klabu hiyo ya Bundesliga kwa mkopo mwezi August. (ESPN)
 
Aende tu pengine kule atafanya maajabu zaidi..
 
Tetesi
Wolfsburg inataka kumsajili kwa mkataba wa kudumu mshambuliaji wa Liverpool Divock Origi. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 alijiunga na klabu hiyo ya Bundesliga kwa mkopo mwezi August. (ESPN)
Hiz fedha sio za kuacha...
 
MANENO YA RONALDO DE LEMA KWA FELIPE COUTINHO

Liverpool's Philippe Coutinho warned that Barcelona 'treat Brazilians badly'

Ronaldo has warned Liverpool’s Philippe Coutinho that Barcelona “treat Brazilians badly”.

“Barcelona has always had issues with Brazilian players: Neymar, Romario, Ronaldinho and me.

“We were all treated badly by the club in the end, despite all our contributions and dedication.”

The legendary striker spent just one season at the Camp Nou in the mid-90s before moving on to Inter in Italy. He later enjoyed a much happier spell at Barca’s arch rivals Real Madrid.

“I felt much more happy and more connected to Real Madrid, despite having lived a great year in Barcelona,” Ronaldo told Esporte Interativo.

“In the end, my history with Barca was very bad, similar to the one Neymar had.
 
Mechi za Ligi Kuu kesho Jumamosi

Man United vs Southampton,

Watford vs Swansea City,

New Castle United vs Brighton,

Liverpool vs Leicester City,

Huddersfield Town vs Bunley,

Chelsea vs Stoke City,

AFC Bournemouth vs Everton.

Man city vs Crystal Palace
 
MANENO YA RONALDO DE LEMA KWA FELIPE COUTINHO

Liverpool's Philippe Coutinho warned that Barcelona 'treat Brazilians badly'

Ronaldo has warned Liverpool’s Philippe Coutinho that Barcelona “treat Brazilians badly”.

“Barcelona has always had issues with Brazilian players: Neymar, Romario, Ronaldinho and me.

“We were all treated badly by the club in the end, despite all our contributions and dedication.”

The legendary striker spent just one season at the Camp Nou in the mid-90s before moving on to Inter in Italy. He later enjoyed a much happier spell at Barca’s arch rivals Real Madrid.

“I felt much more happy and more connected to Real Madrid, despite having lived a great year in Barcelona,” Ronaldo told Esporte Interativo.

“In the end, my history with Barca was very bad, similar to the one Neymar had.
sijaelewa ni kwanini countihno anakuwa mkaidi kwa ushaur anao pewa na baadhi ya magwiji wa soccer kwa mabaya walio tendewa barca....anyway mtt akililia wembe...mpe panga..thn subiria mrejesho kutoka kwake..
 
Today Decembe 30, 2017

Liverpool vs Leicester City

18:00 Anfield

Another Three Points
Another Clean Sheet
Another 3 to 5 goals
Another game without Hendo
Another game without
Moreno

Hope there will be not the so-called fvcking rotation
 
Kwa Uzoefu Wangu Ninavyowajua FSG Wasingelitoa Pesa Hiyo (£75m) Hata Siku Moja isipokuwa Ni Wazi Kuwa Washamuuza Coutinho bado Kutiliana Saini na Kuannounce tu....

FSG Hawawezi Kutoa Hela Nyingi Kama Hizo Bali Wametega Hela za Coutinho Kuilipa Soton.

Sina Shaka VVD in, Coutinho out.
Hiyo ni tru tayari wana uhakika wa not less than £120 from barca. Pia wanajua watamuoffload sturidge ambaye anakula 150,000/ kwa wiki na hawatokosa hata £15 mpk £20.
Can ataishia bure...
Moreno atauzwa hapo watapata hata £20
So wanauhakika wa mpunga come to July
 
Sturidge Anataka Kuondona ili aende Tumu ambayo atachezaatacheza Kila Wiki na Wanaomtaka Ni Southampton January Hii Lakini Wameshaambiwa Kuwa Hawatauziwa Chini ya £25m.

Dany Ings Huenda Na Yeye Akaondoshwa Kwa Mkopo Kwenda Newcastle au Stoke City Kwa Hela isiyopungua £8m.
Vilevile tunaweza Pata hela Kwa Kuondoka Grujic & Woodburn Kwa Mkopo.
 
Kiasi Ya Mwezi Mmoja au Miwili iliyopita Niliwahi Kumnukuu Alan Shearer akisema Kuwa Striker Wa Spurs Henry Kane anathamani Ya £200m iwapo Real Wanamtaka.

Shearer huyuhuyu Jana Kalalamika Kwenye Media Kuwa Virgil Van Dijk Hana thamani ya Kufikia £75m...!!!

Hivi Waiengereza Wataacha link Sera Zao Za Kutukuzana Na Kuwazarau Wasiokuwa Waingereza??

Kwasababu Kane Ni Muengereza wamemrate Na Kumfikisha £200m kama ndiyi thamani Yake Halisi...
Lakini Kwasababu VVD sio Muengereza basi wanaona Hana Thamani ya £75m...
VVD angelikuwa Nayeye Ni Muengereza Basi Wangelisema ana thamani ya £100m, Na Hii £75m wangelisema Ni Bargain !

Tulimnunua Andy Carroll ambaye alikuwa ni Average Player Kwa £35m ambazo Kwa Wakati Huo Ni Pesa Kubwa Mno Kwani World Class Player walikuwa Bei Zao Ni Kati ya £25m Na 30m Lakini Hakuna Muengereza Aliyelalamikia Bei Ya Carroll Kuwa Haistahili!!!! Wakati Kipindi Hicho hicho alinunuliwa Suarez aliyebora Zaidi Yake Kwa £23m Na Akauzwa Alonso World Class Kwa £30m....

Hawa Waingereza Wana Maajabu Kweli!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom