koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,787
- 10,394
Karibu mkuuWapuuzi hao pesa nyingi wanaingia mfukoni babazao hebu watuacha na Liverpool yetu wanafki wakubwa
Karibu mkuuWapuuzi hao pesa nyingi wanaingia mfukoni babazao hebu watuacha na Liverpool yetu wanafki wakubwa
Me Nazani Klop Kaona ujinga na sasa analitaka kombe kununua beki Kwa pesa kubwa kama hyo inamaanisha team imepevuka manake kulikua na utata sana Kwa Liverpool ku spend pesa nyingi But saivi ata wachezaji waliopo wataona kua team inataka vikombe me nakumbuka Torres aliondoka Liverpool kwakua hatukua na mikakati thabiti na malengo ya kubeba vikombe hizi zama natamani sana the real captain Steven G angekua inside the pitchTAA/GOMEZ - MATIP - VVD - ROBBO
GINI/CAN - KEITA - T. LEMAR/COUTINHO
SALAH - FIRMINO - MANE
Hivi penye Kikosi Hicho Klopp atakapoacha Sera Zake Za Rotation Basi Hakuna Atakaetuzibia Njia Yetu ya Trophy Yoyote hile.. Ni Zaidi ya Man City Hapo..
Hivi yule dogo wa swanswea jezi namba sita umemchekiNingependa sana Stefan De Vrij ndio aje badala Ya Huyu Van D
Si alikua Renato sanches? Yupo kwa mkopo pale, kiwango chake hua haktabirikiHivi yule dogo wa swanswea jezi namba sita umemcheki
Renato ni namba 16 huyo nnaemzunguzia ni beki jezi namba 6 katulia mnoo naamini lovlen anaingia mara nyingi kwakeSi alikua Renato sanches? Yupo kwa mkopo pale, kiwango chake hua haktabiriki
kipa wa as roma yuko sokoni hata wa Ac milan yuleKipa gani yupo kwenye market na atatufaa?
Kumbuka pia hatuna natural center forward na Firmino amekuwa akicheza kama false 9
Kweli kabisa mkuu, na most of us hatuchangii hata mia kwenye hiyo hela inayolipwa lakini ndio wa kwanza kulalamika. It's really hard to please everybodySiku Zote Baadhi Ya Mashabiki Ni Wapumbavu! Last window, fans were cursing klopp for no transfers and slating the owners for not cashing out the cash. Now it's suddenly too much for VVD?
Yani previous window tulibid kwa £60m wakakataa! Mashabiki wakalalamika kuwa FSG hawakuongeza hela! This window Walikuwa wanatembea Na £65m lakini Man City wakatia Nuksi Zao Kwa Kumfikisha £70m, ikatubidi tucompete na Man City na Chelsea kwa Kumfikisha £75m...
Sasa hapa Wanalalamika Kuwa Pesa Nyingi...
Hill Ndiyo Soko kwa Sasa! Si Mara Zote Utabahatika Bargain kama Kwa Mo Salah, Coutinho or Robertson..
Kipa gani yupo kwenye market na atatufaa?
Kumbuka pia hatuna natural center forward na Firmino amekuwa akicheza kama false 9
Hem mchunguze mechi zake asee bonge la beki huyuView attachment 661850
Anaitwa Alfiel Mawson dogo anajua sana.
Westham nasikia wanamuhitaji
Manga ML