koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,787
- 10,394
Dogo anajua sanaHem mchunguze mechi zake asee bonge la beki huyu
Dogo anajua sanaHem mchunguze mechi zake asee bonge la beki huyu
Team hazimuoni liver wakimtaka nao haoo wanamtaka.Dogo anajua sana
Dau lako tu kila mchezaji yupo sokoni,Kipa gani yupo kwenye market na atatufaa?
Kumbuka pia hatuna natural center forward na Firmino amekuwa akicheza kama false 9
Huchangii hata kumi kivipi mkuu? Mpira huangalii wewe? Au mwenzetu unaangalia bure?Kweli kabisa mkuu, na most of us hatuchangii hata mia kwenye hiyo hela inayolipwa lakini ndio wa kwanza kulalamika. It's really hard to please everybody
Ni kweli Van Djik anakuwa ndiye mchezaji anayelipwa hela nyingi zaidi liverpool?
Nimeona sehemu kuwa atalipwa £180000 kwa wiki ambayo ni £30000 zaidi ya anayolipwa Philipe.Au ni uzushi tu wa mitandao?
Arsenal and Liverpool have been told they will need to fork out £40million to secure the transfer of Julian Draxler, reports say.
Naona makocha wameamua kuanza kumfungia busta pep bila vichapo hata liverpool iyo ela wasingelipa kumnunua bek
Aisee sasa huyo ni wa nini?Arsenal and Liverpool have been told they will need to fork out £40million to secure the transfer of Julian Draxler, reports say.