Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Mtamshusha city?Tukipata points 6 kwa mechi mbili zijazo nahisi itapendeza zaidi
Hakuna timu ya kumshusha cty pale,Mtamshusha city?
Ligi imeisha?Hakuna timu ya kumshusha cty pale,
Cty anawafunga wanaomkimbiza wakati huohuo wanaomkimbiza wanafungana wenyewe kwa wenyeweLigi imeisha?
Tuone round ya pili ni mech kama 5 tu huwez kujua mpira una maajabu yakeCty anawafunga wanaomkimbiza wakati huohuo wanaomkimbiza wanafungana wenyewe kwa wenyewe
Mpira una maajabu na ndio hayo cty anayafanya, mzee jipange next season mwaka huu huna chako unless kama ni shabiki wa ctyTuone round ya pili ni mech kama 5 tu huwez kujua mpira una maajabu yake
Tuna bunley na Leicester, hapo kuna mmoja ataamsha kelele za klopp outTukipata points 6 kwa mechi mbili zijazo nahisi itapendeza zaidi
ila hawa wachezaji wenye ma price tag makubwa wanakuwaga na changamoto sana kwenye ku deliver , lets hope jamaa ata settle mapema kwenye timu ili a-justify bei yake
Hasa huyu Burnley anakera sanaTuna bunley na Leicester, hapo kuna mmoja ataamsha kelele za klopp out